Nimekuwa nikiskia kampuni haimilikiwi na mtu mmoja, je nitafanyaje kama nina mtaji wa kutosha kufunga kampuni ninyohitaji lakini ama sitaki kuwa na wanahisa wengine kwenye kampuni yangu au sina watu wengine wa kuwa wanahisa wa kampuni yangu?
Ahsante.
Umenisaidia sana mkuu Nina kampuni yangu sasa nitayazingatia
sawa shukrani kwa elimu, je kama share nikiwaweka wanangu ambao ni wadogo ki umri kuwa miongoni mwa wamiliki wa kampuni kuna tatizo lolote kwenye hizo company acts?Ndugu hili nitakwa la kisheria Section 186 of company act lazima wawepo angalau wawili . Sasa tafuta mke/mume, rafiki au hata ndugu mpe asilimia kidogo kuanzia 1-5% ya share utakuwa na nguvu kama unamiliki pekee yako.
sawa shukrani kwa elimu, je kama share nikiwaweka wanangu ambao ni wadogo ki umri kuwa miongoni mwa wamiliki wa kampuni kuna tatizo lolote kwenye hizo company acts?
safi sana.
Mada nzuri sana hii, waandaji nawapa shukrani zangu.
Swali zuriNinafaidika nn nikisajili kampuni
Mm nilifungua kampuni mwaka 2012 nikaoperate mwaka mmoja tu na in that yr sikufanya cha hesabu zozote zile wala Tra sikwenda kulipa na baada ya hapo nikapata matatizo sikuendelea tena na biashara mpaka leo so nafanyeje sbb km ni mapenalties yatakua ya kufa mtu nishauri hapa mkuu.