Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naomba kuuliza...Siku zinakaribia muda wakulipa kodi ya robo ya pili kama ulifanya makadirio ni mwezi huu.
Kubwa lao ni kwamba kwa wale wanaopeleka audited financial zinatakiwa kwenda TRA by tarehe 30 June tafadhali wahi. Ahsante
Habari mkuu nyumba lao
Hivi naweza kufungua kampuni ambayo itakuwa inamiliki maduka ya jumla mikoa na wilaya tofauti tofauti?
Kama jibu ni ndiyo, kwenye kodi nalipa kama kampuni au kwa mauzo ya duka moja moja?
Mkuu naomba kuuliza...
Mfano, marekani kuna kampuni inajiita ABC softwares... Ila na mimi nataka nifungue kampun inayo itwa ABC marketing hapa tanzania.
Je kuna shida yeyote kama nikitumia ilo jina??
Mkuu! Naweza kukucheki PM?Kaka hiyo aina shida, Maana kila nchi ina utaratibu wake. Ila Brela nao kuna majina kutokana na umaarufu wake wanaweza wasikuruhusu kusajili kwa kutumia jina hilo hilo ila unaweza kubadilisha vitu vichache nayo ikawa sawa.
Hii ya returns za Brela unaenda unajaza fomu au ni online kama wafanyavyo TRA?
Hapo napangojeaMkuu, ivi kama nataka kufungua kampuni ya kilimo (kulima mboga mboga na kufuga) taratibu zikoje? Kodi je?
Naomba mawazo tafadhali!!
Hapo napangojea
Utapewa TIN mpya ya kampuni ambapo kwa mfumo wa sasa No ya usajili ya cheti cha kampuni inakuwa ndiyo no ya TIN. Lkn ili upate TIN ni lazima upeleke TIN zenu wanahisa ambapo mtajaza fomu za kuonyesha TIN zenu binafsiAisee naomba kujua ukiwa na TIN binafsi na unataka kufungua kampuni na umeshamaliza kusajili Brela hio kampuni, Je ile TIN yko binafs ndio itatumika au inabd Ukaazie/kupatiwa nyingine TRA?
Utatumia TIN ile ile ya kwako "individual" lkn kama na kama tu majina ya biashara na TIN ni yenye kuwa sawa. Kama kuna kasoro ya majina wataangalia kwa mfano "standard ID ya usajili kwa sasa ni National ID" hivyo utalazimika kufanya marekebisho ya jina TRA ili yaendane na lililosajiliwa BRELA kwa kutumia "national id". Hivyo ukishawasilisha ushahidi wa vyeti vya usajili wa jina kutoka BRELA, TIN itafanyiwa "ammendment" na kusoma jina lako pamoja na jina la biashara. Mfano JOHN ISAACK MENSAH T/A IPILIMO CONSULTANTUkisajili business name, je TIN unatumia ya individual, yaani ya mtu mwenyewe biashara au watatoa nyingine?
Shida ya wengi ni returns za nyuma hazijafanywa, pia hawana hesabu zilizo kaguliwa, sababu system inataka hizo nyaraka ndipo uupdate. au iko kivingine?Kwa waliona makampuni na majina ya biashara ni muda wa kuhakikisha ume update taarifa zako brela. Maana usichelewe kufanya hivyo ukawa siku unatakiwa kutafuta mkopo Benki wakawa wanashidwa kupata taarifa zako na hivyo kukunyima mkopo.
SAFI SANA, KUNA MTU NILIMWELEKEZA THE SAME ILA MBISHI SANA....Very clearUtatumia TIN ile ile ya kwako "individual" lkn kama na kama tu majina ya biashara na TIN ni yenye kuwa sawa. Kama kuna kasoro ya majina wataangalia kwa mfano "standard ID ya usajili kwa sasa ni National ID" hivyo utalazimika kufanya marekebisho ya jina TRA ili yaendane na lililosajiliwa BRELA kwa kutumia "national id". Hivyo ukishawasilisha ushahidi wa vyeti vya usajili wa jina kutoka BRELA, TIN itafanyiwa "ammendment" na kusoma jina lako pamoja na jina la biashara. Mfano JOHN ISAACK MENSAH T/A IPILIMO CONSULTANT
Ni kweli kabisaShida ya wengi ni returns za nyuma hazijafanywa, pia hawana hesabu zilizo kaguliwa, sababu system inataka hizo nyaraka ndipo uupdate. au iko kivingine?