karv
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 1,802
- 3,253
Habari za wakati huu nimepata kitu ningependa kushiriki nanyi wapendwa..
1)Mahusiano ni magumu na kila uhusiano ni tofauti kikubwa fuata hisia zako tu.
2)Subiri umri sahihi ufike usichekewe sana wala usiwahi sana. Umri sahihi ni ule ambao unaona wewe unaweza kuhimili majukumu na changamoto za ndoa (23 kwa mwanamke na 25 kwa mwanaume inafaa sana).
3)Msikae kwenye uchumba zaidi ya mwaka mmoja mnaweza kuchokana au ukakutana na kizuri zaidi halafu ukabadilisha maamuzi. Mkaishia kulaumiana tu.
4)Hutopata unachokitaka kutoka kwa mpenzi wako kwa asilimia zote maana kasoro kwa mwanadamu ni kawaida tu.
5)Ndoa zenye furaha ni zile zenye urafiki ndani yake. Mfanye mpenzi wako kama rafiki yako wa karibu sio mda wote hasira gubu na kisirani tu.
6)Usioe/Kuolewa na mtu ambaye mmeachana umri sana jitahidi usizidi miaka 5.
7)Furahia habari njema/nyakati njema za mpenzi wako mkiwa pamoja.
8)Fanyeni kazi nyingi hasa za nyumbani mkiwa pamoja. Jifunze kuosha vyombo na kupiga deki mzee [emoji1787][emoji1487]
9) Usiwe tegemezi wa kipato cha mwenza wako.
10)Usisikie maneno ya nje.
11)Thaminianeni mtadumu.
12)Jitahidi ufahamu vipaumbele vya mpenzi wako.
13)Jitahidi kuwa bora kitandani.
14)Oa sababu ya upendo na si vinginevyo.
15)Kuwa tayari kubadilika/kuacha baadhi ya mambo hasa yasiyofaa.
16)Kadri mnavyopunguza kupenda mali basi upendo na furaha kati yenu utazidi.
18).......
19)..........
Kama kuna mengine unaweza kuongeza
KAMA KUNA CHANGAMOTO ZA KIUANDISHI TUSAMEHENAE
Maendeleo hayana chama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]