mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Hahahah mmeshindwa kuelewana tu, the appropriate statement ilikuwa “epukeni tamaa”
Kama alichagua mwenye tamaa atafute mali nyingi zaidi ampe kumaliza tamaa yake
Sio aseme tusipende mali..... maana fikra za hivyo ni za kizembe, kivivu na kimaskini mnoo
Mali tunazipenda na kama huna mali ya kutosha tafuta ili akupende zaidi, na akiwa na tamaa mpe, mpe mali hadi akinai na tamaa iishe🤣🤣🤣🤣🤣🤣