Hahahah mmeshindwa kuelewana tu, the appropriate statement ilikuwa “epukeni tamaa”
Hakunaga kukinai kwa mtu ambaye ana tamaa ya pesa au mali😅...Kama alichagua mwenye tamaa atafute mali nyingi zaidi ampe kumaliza tamaa yake
Sio aseme tusipende mali..... maana fikra za hivyo ni za kizembe, kivivu na kimaskini mnoo
Mali tunazipenda na kama huna mali ya kutosha tafuta ili akupende zaidi, na akiwa na tamaa mpe, mpe mali hadi akinai na tamaa iishe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hakunaga kukinai kwa mtu ambaye ana tamaa ya pesa au mali😅...
Mie ndio maana napendaga wanawake type ile inayoonekanaga washamba flani hivi. Hio aina huwa sio wasumbufu kabisa ila hawa wabandika kucha na kope nimewaachia vijana wapambane nao..maana wasione kitu ni kufosi na kung’ang’ania tu mwisho wantoe roho. Napenda kuishi kwa amani wether ninacho au sina😅
Mwanamke wangu anapenda mali na anajuhudi ya kuitafuta binafsi. She acts responsibly hajanigeuza punda like most women do to their men.Tafuteni mali tafuteni pesa na mzipende na kuzitunza ila nanyi ziwatunze na kuwabariki, acheni kutafuta excuses ya kutotafuta mali kwa bidii maana hili ndio anguko mojawapo la wanaume
Kama mwanamke au mwanaume unayeamua kujenga nae maisha hapendi mali hamuwezi saidiana kutafuta mali. Matokeo yake kila siku mtakua watu mliojawa na matatizo na stress ya mahitaji mnayoshindwa kuyatatua na mahusiano yatakufa.
Mwanamke wangu anapenda mali na anajuhudi ya kuitafuta binafsi. She acts responsibly hajanigeuza punda like most women do to their men.
Hanishurutishi kufanya yalio nje ya uwezo wangu sababu ya tamaa zake. Hilo kwangu sio tatizo she is a go getta yani.
Mie nimesema nashukuru wangu hanishurutishi, na huwa sipendi kuwa na mwanamke mwenye tamaa ya mali halafu hana akili ya kutafuta hizo mali zaidi ya kuni pressurize kuwa anataka hiki na kile ilihali strategy na uwezo wa kutafuta hana. Completely useless partner nehii!Huyo anayekushurtisha bila kukisaidia si ulimchagua mwenyewe lakini😅😅😅😅 au alikushurtisha pia kuwa nae?
Halafu cha ajabu mke anasisitiza kutafuta mali sababu anaona mlichonacho ni kidogo hakitoshi leo na kesho anaonekana kero.... mkitoka hapo mnapeleka kile kidogo kwa mchepuko!
Tafuteni mali mke azizoee atulie na nyie muwe huru😅😅
Hongera kwa kupata mke mwenye kupenda mali
Suala la imani kwa Muumba nalo ni muhimu, kuna watu waliopishana imani wamekuwa wakilazimisha kuoana halafu baadaye mambo yakuja kuwa mazito...
Ww mbona hoja zangu hujibu unaruka ruka tuTafuteni mali tafuteni pesa na mzipende na kuzitunza ila nanyi ziwatunze na kuwabariki, acheni kutafuta excuses ya kutotafuta mali kwa bidii maana hili ndio anguko mojawapo la wanaume
Kama mwanamke au mwanaume unayeamua kujenga nae maisha hapendi mali hamuwezi saidiana kutafuta mali. Matokeo yake kila siku mtakua watu mliojawa na matatizo na stress ya mahitaji mnayoshindwa kuyatatua na mahusiano yatakufa.
Cc karv aveki
Imani sio kipaumbele kwa wapendanao isipokuwa ni nakubaliano yao wenyewe watalea watoto wao kwa kufuata misingi ipi ya kiimani ya baba au mamaUnakuta mwanaume analipa mahari kabisa lakini anakuambia kila mtu ataenda kusali kwake, au mwanamke ndani ya ndoa anaenda kusali ambako mume hapajui na mume nae ananyamaza ati kila mtu na imani yake.
Imani yake which!? Imani yake how?
Nini maana ya familia? Ipi maana ya mume/baba kuwa kichwa cha familia? Mkijaliwa watoto mnawaleaje? Huko anakochepukia kila mmoja kwa imani yake kuna mafundisho ya aina gani?
Halafu mambo yakiharibika kwenye nyumba zenu mnaanza kuwasema wenye nyumba za ibada
Ww mbona hoja zangu hujibu unaruka ruka tu
Halafu ww mwanamke unaonekana una kichwa kigumu sana kuelewa hebu naomba unipe tofauti ya
1)kupenda mali na tamaa ya mali
Halafu uniambie mwenye kupenda mali ataitafuga kwa njia gani na mwenye tamaa ya mali ataitafuta kwa njia gani halafu baada ya hapo ndio twende sawa sasa
Hakuna majibu huko naona maelezo mengi halafu hakuna facts ongea vitu open na vyenye kueleweka wengine hatuna muda wa kusoma maelezo meeengiNimeshakujibu kila kitu rudi kwenye posts zangu ukutane na majibu
Na wewe mwenyewe Hapo ulipo umeshajivuruga Wala huelewi Tena ulileta mjadala gani na unatea hoja gani.
Ninachokushauri tuu ni kwamba kupenda Mali NI kitu chema na kuzitafuta kwa bidii NI kitu kizuri zaidi.
Unaposema tusipende mali sababu inasababisha watu kugombana na kuuana unakua umetumia kiasi kidogo sana Cha ubongo wako kuwaza.
Ni sawa na kusema tusinunue Wala kuendesha magari sababu ajali zinaua watu wengi
Acha kurukaruka tafuta mali tafuta pesa na umtumikie Mungu kwa Mali na pesa ulizopata na make wako atakutii na kukuheshimu zaidi kwasababu Mali zako NI Mali ZAKE na NI Mali zenu
Imani sio kipaumbele kwa wapendanao isipokuwa ni nakubaliano yao wenyewe watalea watoto wao kwa kufuata misingi ipi ya kiimani ya baba au mama
Nakupa mifano hai
~jimbo kuu la Karagwe Askofu Bagonza na Askofu wa kanisa katoriki walikubali kuwa na ndoa mseto kati ya madhehebu yao mawili ila malezi ya watoto watazungumza wenyewe
~Ndoa ngapi zimedumu huku wazazi ni watu wa imani mbili tofauti tena wanaishi kwa furaha kuliko hao wa imani moja
~Hapo upendo ulimfanya nini Suleiman hadi kuwa na yule mke muabudu vimiungu vya kuchonga
Kama yesu mwenyewe kasema tupendane imani ni nini hapo
Hakuna majibu huko naona maelezo mengi halafu hakuna facts ongea vitu open na vyenye kueleweka wengine hatuna muda wa kusoma maelezo meeengi
Unapojibu nenda direct kwenye hoja yako
Nyie ndio mnauaga waume zenu sababu ya mali nishaanza kuona dalili
Na wale wanaoa waua imekaaje iyoSasa namuuaje mtu ambaye ananitafutia mimi Mali.
Wewe nawe Kama ni mwanaume basi NI mwanaume wa ajabuajabu [emoji2][emoji2]
Yaani una wasiwasi Kama mwizi.
Wanaume kwelikweli huwa wanatafuta Mali wanaleta nyumbani.. mke anamtunza mume mtafutaji anatunza na mali zilizotafutwa
Pumzika kiongozi. Point zako zimeeleweka kwa aliyetaka kuelewa wala halikuwa somo gumu. Mama D huyo she just had time.Na wale wanaoa waua imekaaje iyo
he should be specific then, kwani tamaa kiuhalisia ni mbaya na si kwenye pesa tu hata kwa vitu vinavyoshikikaHahahah mmeshindwa kuelewana tu, the appropriate statement ilikuwa “epukeni tamaa”