Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

Pamoja na ukristo wangu yapo mambo kadhaa nayoyapenda kwa waislamu.

1. Kutoruhusu mtume wao adhalilishwe au kudhihakiwa. Huwezi kumkashfu mtume au kitabu chao cha quran mbele yao halafu wakutazame tu. Lazima wakuletee noma

2. Mavazi ya staha kwa wanawake
Napenda sana dress code kwa wanawake. Wanavaa mavazi ya staha. Sehemu za ibada huwezi kuvaa kihuni-huni ukaingia

3. Kutengana wanawake na wanaume kwenye ibada zao

4. Kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja kwa mtu mwenye uwezo wa kuwatunza.

5. Utoaji wa sadaka usiotia umasikini
krb uslim mkuu....niko hapa mskiti mweupe
 
Hata ukitaka kusilimu wala hawana kelele wanakupokea na kanzu na kofia wanakupatia!
Niliuliza hivi; Kwanini mtu akitaka kusilimu lazima apewe jina la kiarabu..
Mfano, Bahati anataka kusilimu, kwanini sasa aitwe Abdul badala ya kubaki na Bahati lake.. Je kuna shida na Majina yasiyo ya kiarabu?

Naomba jibu kama unajua.
 
Pamoja na ukristo wangu yapo mambo kadhaa nayoyapenda kwa waislamu.

1. Kutoruhusu mtume wao adhalilishwe au kudhihakiwa. Huwezi kumkashfu mtume au kitabu chao cha quran mbele yao halafu wakutazame tu. Lazima wakuletee noma

2. Mavazi ya staha kwa wanawake
Napenda sana dress code kwa wanawake. Wanavaa mavazi ya staha. Sehemu za ibada huwezi kuvaa kihuni-huni ukaingia

3. Kutengana wanawake na wanaume kwenye ibada zao

4. Kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja kwa mtu mwenye uwezo wa kuwatunza.

5. Utoaji wa sadaka usiotia umasikini
Madhehebu ya kiroho ni unyonyaji wakisomi
 
Back
Top Bottom