Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

krb uslim mkuu....niko hapa mskiti mweupe
 
Hata ukitaka kusilimu wala hawana kelele wanakupokea na kanzu na kofia wanakupatia!
Niliuliza hivi; Kwanini mtu akitaka kusilimu lazima apewe jina la kiarabu..
Mfano, Bahati anataka kusilimu, kwanini sasa aitwe Abdul badala ya kubaki na Bahati lake.. Je kuna shida na Majina yasiyo ya kiarabu?

Naomba jibu kama unajua.
 
Madhehebu ya kiroho ni unyonyaji wakisomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…