Mambo ni Shwari, Hakuna tena Matamko ya Pasaka kutoka kwa Wakatoliki na ACT(Umoja wa Makanisa).

Mambo ni Shwari, Hakuna tena Matamko ya Pasaka kutoka kwa Wakatoliki na ACT(Umoja wa Makanisa).

Watoe tamko juu mapadre na maaskofu kutoa baraka kwa wapenzi wa jinsi moja. Hapo ndiyo nitaamini wako silias na matamko.
Kuna mdau amesema Mama alikuwa Vatican recently
 
Naona mambo sasa yamekaa sawa.

Yale matamko yaliyokuwa yanatolewa na Makanisa (TEC) na Ule Muunganiko wa Makanisa mengine hasa kipindi cha Pasaka, Yametulia kabisa.

Huu Mwaka hakuna kanisa lenye tamko.

Achilia mbali hali mbaya ya Uchumi inayolikumba taifa kwa sasa.

Inamaana Wameshakubali sasa kucheza ngoma ya watawala?
...Subiri Sikukuu yenyewe Jumapili kwenye Misa !!....[emoji120]
 
Back
Top Bottom