Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alaah kumbee!!!Tecc kikundi cha mabwabwa tu,
Samia ni jemedari hatishwi na wagalatia wenye chuki
...Subiri Sikukuu yenyewe Jumapili kwenye Misa !!....[emoji120]Naona mambo sasa yamekaa sawa.
Yale matamko yaliyokuwa yanatolewa na Makanisa (TEC) na Ule Muunganiko wa Makanisa mengine hasa kipindi cha Pasaka, Yametulia kabisa.
Huu Mwaka hakuna kanisa lenye tamko.
Achilia mbali hali mbaya ya Uchumi inayolikumba taifa kwa sasa.
Inamaana Wameshakubali sasa kucheza ngoma ya watawala?
Sijasikia ila kama wamefanya hivyo itakuwa poa bima ni moto kwa Sasa ombea afya yakoHujasikia TEC na wao wameanzisha Bima zao?