Mambo niliodharau kwenye uchumba yananitesa ndoani

Mambo niliodharau kwenye uchumba yananitesa ndoani

Huyu mwanamke nilikua najiona kama najilazimisha kua nae ila sijui ni nini kilichokua kama kinaniforce kuwa nae, kwanza alikua anapenda kudanganya vitu vodogo vidogo, nikimuangalia naona kabisa hafai kuwa na mimi ila sasa sijui shida nini mpaka tukafika mbali, nilipaswa hufikia mwisho kipindi ile kile
Ukweli sijaelewa
 
Ww si mjinga ndio maana hata uandishi wako ni wakijinga jinga lazima dem akuone fala
 
Kuna vitu sio vya kupuuza kikweli wakati wa uchumba ukiviona kwa mchumba wako
(1)Tabia ya kusema uongo
(2)Matumizi mabaya ya pesa
(3)Wivu uliopitiliza
(4)Cheating
(5)Anayeonyesha kutowapenda ndugu zako
(6)Single maza
(7)Tabia ya kutukana matusi au kupiga akiwa amekasirika
(8)Mpenda starehe
(9)Mvivu asiyetaka kujishughulisha
(10)Asiye na hofu ya Mungu
Katika hivi vigezo vyako kuna mwanamke anakosa hata kimoja hapa labda malaika
 
Katika hivi vigezo vyako kuna mwanamke anakosa hata kimoja hapa labda malaika
Ni kweli wote tuna madhaifu na mapungufu ila sipuuze madhaifu kama ni makubwa.

Tatizo linaanza pale upendo na mahaba yakizidi yanampumbaza mtu ni rahisi mtu kupotezea madhaifu hayo yakiwa makubwa wakati wa uchumba na urafiki

Balaa linakuja wakianza maisha halisi kwenye ndoa

NB: NA NDIO MAANA MLETA UZI KWENYE HEADING AMETUMIA MANENO MAMBO NILIYODHARAU
 
Mna muda gani kwneye ndoa? Mna mtoto/watoto??

Kama huwezi kuyapotezea mapungufu yake bora muachane mapema kabla mambo hayajawa mengi...amani yako ni muhimu kuliko kitu chochote.
 
Back
Top Bottom