Mambo niliodharau kwenye uchumba yananitesa ndoani

Mambo niliodharau kwenye uchumba yananitesa ndoani

Pole sanaa mkuu... kiukweli yaliyo kukuta wewe ndo yananikuta mimi yan natamani hata nimuache lkn tusha fika kwao na Mpunga tulitoa yan natamani nimuache sijui nianzie wap yan mwanamke hataki kula ugali dagaa, hataki kula mboga za majani mda mwingine hataki kupika anasimgizia anaumwa ... naombeni msaada na mimi jamani
Aiseeee
 
Huyu mwanamke nilikua najiona kama najilazimisha kua nae ila sijui ni nini kilichokua kama kinaniforce kuwa nae, kwanza alikua anapenda kudanganya vitu vodogo vidogo, nikimuangalia naona kabisa hafai kuwa na mimi ila sasa sijui shida nini mpaka tukafika mbali, nilipaswa hufikia mwisho kipindi ile kile
Ulipigwa kipapai cha kihindi yalaaaah ☺️
 
Shida ni moja mkuu... tumesha enda kwao na mahali tushatoa sina kwakutokea yani
Bado mapema, unayo nafasi mbona ila uking'ang'ana utajuta mbele ya safari aisee kuna kuyumba kiuchumi ati.
 
Huyu mwanamke nilikua najiona kama najilazimisha kua nae ila sijui ni nini kilichokua kama kinaniforce kuwa nae, kwanza alikua anapenda kudanganya vitu vodogo vidogo, nikimuangalia naona kabisa hafai kuwa na mimi ila sasa sijui shida nini mpaka tukafika mbali, nilipaswa hufikia mwisho kipindi ile kile
Mwanaume ambaye hana maamuzi bado ni mvulana mdogo kiakili, na utapata shida sana maisha yako yote sbb unamajibu alafu hufanyi maamuzi, na bado ukome
 
Maisha ni mafupi, kamwe usijaribu kukbadilisha mtu mwingine maana katika prosessya kumbadilisha ndiyo Wewe binafsi unapoteza amani yako ya ndani, ikiwa jambo linakutatiza weka wazi ili muhusika ajuwe, ukikaa kimya ukiraraji mabadiliko ni uongo, simama kataa kuishi katika udhaifu sababu ya tabia za mtu mwingine.
 
Maisha yako yanathamani kuliko hiyo mali. Kwa maelezo yako inaonyesha hiyo ndoa itakusumbua Sana mkuu umeoa mtu asiye wa level yako, piga chini huyo Kama Ni mali zinatafutwa!!
Nikwel tena naona kama naachia virago
 
Bado mapema, unayo nafasi mbona ila uking'ang'ana utajuta mbele ya safari aisee kuna kuyumba kiuchumi ati.
Nikweli but yaani anataka kukaa nyumba ya laki ya ef50 hataki duu jmn
 
Au ulipewa k tamu tena bila kikomo tena ulipewa yote. Mguu mmoja mashariki na mguu mmoja magharibi. Yaani k tamu mpaka unamwaga ubongo. Unajikuta huwezi kumuacha. Hata haujielewielewi

Au mpenzi ulimpata kwa kitonga (bila kutongoza sana). Yaani binti unaempata bila kutongoza sana halafu akawa na chemistry na wewe ni vigumu kuachana nae 😂😂 tena kama wewe ni domo zege unajikuta huwezi kumuacha kabisa. Maana umepata kitonga. Na kutongoza huwezi 😂😂
 
Huyu mwanamke nilikua najiona kama najilazimisha kua nae ila sijui ni nini kilichokua kama kinaniforce kuwa nae, kwanza alikua anapenda kudanganya vitu vodogo vidogo, nikimuangalia naona kabisa hafai kuwa na mimi ila sasa sijui shida nini mpaka tukafika mbali, nilipaswa hufikia mwisho kipindi ile kile
Mwendo umeumaliza
 
Dah, one man down ...Kumbe tunavyokubaliana kwenye kikao cha kutokuoa wengine mkiondoka mnatung'ong'a haya pole.
 
Hivi wanaoshauri mdau apige chini wameoa kweli? mtu yoyote alie kweny ndoa anajua sio jambo jepes kuacha mtu ni complicated mno hata kama hamjazaa, na haya maisha utaacha wangapi? labda kwa yasiyovumilika kama kushikwa ugoni au ushirikina.

ushauri wangu pambana na hiyo vita kisaikolojia, ukiona hajali wala haogopi kukupoteza apo ndo utajua ulilamba garasa.
 
Huyu mwanamke nilikua najiona kama najilazimisha kua nae ila sijui ni nini kilichokua kama kinaniforce kuwa nae, kwanza alikua anapenda kudanganya vitu vodogo vidogo, nikimuangalia naona kabisa hafai kuwa na mimi ila sasa sijui shida nini mpaka tukafika mbali, nilipaswa hufikia mwisho kipindi ile kile
Hujachelewa bado
 
Pambana jifunze kumpuuza la sio utakuwa RIP kwa kuweka hasira moyoni
 
Back
Top Bottom