AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Pesa kitu gani ndugu ...samehe...hakuna kumess up na mtu ambaye unatarajiwa kuishi nae maisha yote...au yule ambae atakuwa baba au mama wa watoto wako...hakuna huruma kabisa...usichague mwenza kwa huruma...Pole sanaa mkuu... kiukweli yaliyo kukuta wewe ndo yananikuta mimi yan natamani hata nimuache lkn tusha fika kwao na Mpunga tulitoa yan natamani nimuache sijui nianzie wap yan mwanamke hataki kula ugali dagaa, hataki kula mboga za majani mda mwingine hataki kupika anasimgizia anaumwa ... naombeni msaada na mimi jamani