Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Sio kuonja wewe; kuna watu wana nyota; yaani unaona Kila dalili lakini kamoyo bado kanamdondokeaKosa lako ni kuonja ukishaonja tu lazima uwe kipofu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kuonja wewe; kuna watu wana nyota; yaani unaona Kila dalili lakini kamoyo bado kanamdondokeaKosa lako ni kuonja ukishaonja tu lazima uwe kipofu
Hahah, si unamuacha tu unaendelea na mambo mengine Mkuu au unaona uchungu mahari uliyotoa?.Pole sanaa mkuu... kiukweli yaliyo kukuta wewe ndo yananikuta mimi yan natamani hata nimuache lkn tusha fika kwao na Mpunga tulitoa yan natamani nimuache sijui nianzie wap yan mwanamke hataki kula ugali dagaa, hataki kula mboga za majani mda mwingine hataki kupika anasimgizia anaumwa ... naombeni msaada na mimi jamani
Nipe namba zake mkuu nipo hapa mtaalamu wa kurekebisha ndoa zinazoyumba, niPM hio namba yake faster niokoe hilo jahazi lisije likazama mkuu
Mimba ya kwanza akiwa namna gan tia nyingine unamsikilizia namna gani tia nyingine unaangalia upepo namna gani tia mimba nyingine unaangalia hali ya hewa bado hajajifunza tia mimba nyingineUkute na yeye anajuta kuwa na wewe kama ambavyo na wewe unajuta so hapo ni ngoma draw..mbwa kala mbwa hiyo[emoji23]
Tayari huko
Aaah! Kumekucha...wanakuja na wengine.
Isiwe anakuwekea mizizi fulani kwenye chakula!Huyu mwanamke nilikua najiona kama najilazimisha kua nae ila sijui ni nini kilichokua kama kinaniforce kuwa nae, kwanza alikua anapenda kudanganya vitu vodogo vidogo, nikimuangalia naona kabisa hafai kuwa na mimi ila sasa sijui shida nini mpaka tukafika mbali, nilipaswa hufikia mwisho kipindi ile kile
Pole mkuu.. umeandika kwa uchungu sana.Pole sanaa mkuu... kiukweli yaliyo kukuta wewe ndo yananikuta mimi yan natamani hata nimuache lkn tusha fika kwao na Mpunga tulitoa yan natamani nimuache sijui nianzie wap yan mwanamke hataki kula ugali dagaa, hataki kula mboga za majani mda mwingine hataki kupika anasimgizia anaumwa ... naombeni msaada na mimi jamani
Mahari kitu gan aiseee,angalia furaha yako cha msingi waambie wazee hili siliwezi mapema tuuShida ni moja mkuu... tumesha enda kwao na mahali tushatoa sina kwakutokea yani
Maisha yako yanathamani kuliko hiyo mali. Kwa maelezo yako inaonyesha hiyo ndoa itakusumbua Sana mkuu umeoa mtu asiye wa level yako, piga chini huyo Kama Ni mali zinatafutwa!!Shida ni moja mkuu... tumesha enda kwao na mahali tushatoa sina kwakutokea yani
Hapo ndio na mimi naposhindwa kushangaa,hio hela isamehe mkuuYaani ndoa bado haijafungwa, halafu unasema huna kwa kutokea?
Sio mtu wa kagera wilaya flani huyo!!!?Pole sanaa mkuu... kiukweli yaliyo kukuta wewe ndo yananikuta mimi yan natamani hata nimuache lkn tusha fika kwao na Mpunga tulitoa yan natamani nimuache sijui nianzie wap yan mwanamke hataki kula ugali dagaa, hataki kula mboga za majani mda mwingine hataki kupika anasimgizia anaumwa ... naombeni msaada na mimi jamani
Asante mkuuu daaahPole mkuu.. umeandika kwa uchungu sana.