Mambo niliodharau kwenye uchumba yananitesa ndoani

Ukweli sijaelewa
 
Ww si mjinga ndio maana hata uandishi wako ni wakijinga jinga lazima dem akuone fala
 
Katika hivi vigezo vyako kuna mwanamke anakosa hata kimoja hapa labda malaika
 
Katika hivi vigezo vyako kuna mwanamke anakosa hata kimoja hapa labda malaika
Ni kweli wote tuna madhaifu na mapungufu ila sipuuze madhaifu kama ni makubwa.

Tatizo linaanza pale upendo na mahaba yakizidi yanampumbaza mtu ni rahisi mtu kupotezea madhaifu hayo yakiwa makubwa wakati wa uchumba na urafiki

Balaa linakuja wakianza maisha halisi kwenye ndoa

NB: NA NDIO MAANA MLETA UZI KWENYE HEADING AMETUMIA MANENO MAMBO NILIYODHARAU
 
Mna muda gani kwneye ndoa? Mna mtoto/watoto??

Kama huwezi kuyapotezea mapungufu yake bora muachane mapema kabla mambo hayajawa mengi...amani yako ni muhimu kuliko kitu chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…