Mambo niliyojifunza katika maisha yangu nikiwa nina miaka kati ya 20 mpaka 30

bado hujaongea kwa kufunguka zaidi maana umerudia kitu kimoja mara nyingi sana, ongea kwa point sio kutaka kuaminisha watu view yako.

Nàandika kile ninachotaka kuandika. Msomaji anaweza kutafsiri vile akili yake ilivyo, au anavyotaka kuamini.
 
Kama Wewe kinajan na umepra mda wa kusoma Alivo Adika basi soma Tena na Tena face sana 🙏🏾🙌🏾
 
Na hisi Kama ni hekima kutoka nchi za mbali , kumbe adi Tanzania Kuna watu wenye busara Sana .
 
Hii inafundisha sana lakin inahitaji mwenye ufaham kuelewa unamanisha nn hasa wale walioishi maisha yanayofanana na ww mfano mm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…