Soka Ndio Maisha Yangu
Member
- Nov 27, 2024
- 43
- 127
1. Nimejifunza kuwa Chama cha Mapinduzi bado kinastahili kuendelea kuaminiwa na watanzania
2.Chadema ni chama cha siasa ambacho hakina tofauti na wacheza karata tatu
3.Wasomi wote waliokuwa wanashabikia na kuweka imani zao kwa chama hiki waliiba vyeti shule na vyuo walivyohitimu
4.Wengi wako kwenye siasa kwa maslahi na chuki tu binafsi dhidi ya CCM
5.Tundu Lissu hafai kuwa kiongozi hata kwa kulumagia
6.Mbowe amekomaa sana kisiasa, tangu atangaze nia sijamsikia akibwabwaja popote tofauti na Lissu ambaye kila eneo yupo akitukana wenzake
7.Chadema waliwakosea sana watanzania kumteua Lissu kuwa mgombea Urais, kama Lissu angekuwa Rais nchi ingefutika kabisa
8.CCM haiwezi kuingilia chaguzi za ndani ya Chadema kwa sababu imeshabaini hakina uwezo wala sifa ya kuongoza nchi
9.Msitumie kivuli cha migogoro yenu ndani ya chama kusingizia CCM, huo ni ujinga
10.Viongozi wa dini akina Padre Kitima ambao wameaminiwa na kondoo wao na leo wako kimya hawafai kuaminiwa tena
11. Wanasheria wanampigia sana chapuo Lissu ili michakato ya katiba wanasheria waweze kupata ulaji kwenye bunge la Katiba na mambo mengine ya kisheria
12.Mwabukusi na Lissu ni baba mmoja mama mmoja, chama cha wanasheria kimepoteza kabisa imani kutokana na kukosa kiongozi mwenye weledi
13.Ni afadhali Lissu awe Mwenyekiti wa Chadema ili chama hicho kife kabisaaa kuliko Mbowe ambaye naona akishinda ataisumbua sana CCM na Serikali kutokana na utulivu, ukomavu, maridhiano na ustahimilivu
14.Augustine Mrema alishindwa, Prince Bagenda alishindwa, Mabere Marando alishindwa, Mtikila alishindwa, Lipumba, Maalim Seif ndio usiseme, alienda UK, USA, Oman, Jumuiya zote za kimataifa alimaliza ili kuiondoa CCM madarakani, kote huko alijibiwa Tanzania is a sovereign country, utaweza wewe Lissu? Siasa sio nyepesi kama mnavyodhania.