Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 1,028
- 1,790
1.Bomu/kombora au ndege ya vita kutoka angani kufyatuka na kwenda kuteketeza makazi ya watu... Tukio hilo litafuatiwa na au litaambatana uvamizi wa watu wenye silaha za moto sehemu flani.
2.Mvua kubwa inayoambatana na radi nyingi, inayoweza kuleta madhara kama yale ya hanang na baadae anga litachafuka na kuleta upepo mkali sana wenye kasi ya ajabu(Kimbunga).
2.Mvua kubwa inayoambatana na radi nyingi, inayoweza kuleta madhara kama yale ya hanang na baadae anga litachafuka na kuleta upepo mkali sana wenye kasi ya ajabu(Kimbunga).