1. Hili tukio nadhani ndio lile lililotokea siku ya uchaguzi na siku zilizofuata tarehe 29-30,1.Bomu/kombora au ndege ya vita kutoka angani kufyatuka na kwenda kuteketeza makazi ya watu... Tukio hilo litafuatiwa na au litaambatana uvamizi wa watu wenye silaha za moto sehemu flani.
Bomu/kombora au ndege ya vita kutoka angani kufyatuka na kwenda kuteketeza makazi ya watu... Tukio hilo litafuatiwa na au litaambatana uvamizi wa watu wenye silaha za moto sehemu flani.
2.Mvua kubwa inayoambatana na radi nyingi, inayoweza kuleta madhara kama yale ya hanang na baadae anga litachafuka na kuleta upepo mkali sana wenye kasi ya ajabu(Kimbunga).
Duuh1.October 29 wakati wa uchaguzi.
2.Mamlaka ya utabili wa Hali ya hewa watoa tahadhari.