Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Jambo la kwanza, wavulana huingia kwenye uanaume pale wanapoanza kuelewa kwamba,hakuna anayewajali kama hawana mchango wowote katika maisha,kama unataka kuwa mwanaume basi onyesha thamani yako katika maisha.
Jambo la pili, jifanye hauna uwezo wa kupata mkate wako wa kila siku mpaka pale watakapo kuja kugundua unamiliki bakery ya mikate. Naam kuwa humble hata kama uko fresh kimaisha ishi katika low profile,waache wenyewe siku wagundue kumbe wewe ni mtamu kama asali.
Jambo la tatu,kama utakutana na mtu ana akili mingi kushinda wewe basi usishindane nae ila shirikiana. nae,achana na ule upuuzi wacha nimuonyeshe mimi ni nani, hautafika popote just be the legend
Jambo la nne,ukitaka kuwa wewe kama wewe basi kuwa tayar kukimbiwa na watu wengi sana,kwakawaida ukiwa na misimamo yako na kutaka kuishi maisha yako kuna ambao wenyewe watajiondoa katika maisha yako
Jambo la tano,namna bora ya kufanikiwa ni kuanza kufanya mambo yako sasa na mambo mengine utakutana nayo huko mbeleni,kumbuka huwezi kujifunza gari likiwa limepaki bali likianza kutembea
Jambo la sita,kwakuwa mtu fulani ni ndugu yako au sehemu ya familia yako haimaanishi,eti uvumilie uongo,drama,kuvunjiana heshima na kadhalika,maisha hayako hivyo kila kitu lazima kichukue nafasi yake
Ni hayo tu!