Mtoa mada nimemkumbuka dereva wa zamani kidogo anaitwa babaa kasongo.... Nilisikia amefariki sasa sina uhakika mwenyezi Mungu amrehemu!!! Alikua sukari ya warembo enzi hizo za high way.... Jamaa alijua kutumia viungo vyake vya uzazi!!!!!!
Sasa babaa kasongo alikua na matashtiti siku hiyo Kajq demu wake alikua mpangaji wetu harafu sebule tulikua tunampangisha,,, ile sebule tukimpangisha anakaa na kasongo harafu Bibi tunampiga Stella atwas mbili analewa.... Sasa siku hiyo hawara yake kaandaa satoo mkubwa katenga tunamsubiri kasongo demu wake anauza grocery yake hana habari si tukamla yule samaki harafu alikua kafunikwa na vile vikapu vyenye maneno ya mahaba!!!! Tumemaliza kula tukafunika.... kilichotupata sitasahau mpka naenda kaburini.