Tumbili wa mjini
JF-Expert Member
- Nov 2, 2024
- 1,125
- 2,233
Kaa kimya ujuaji mwingine ni wakipuziWabongo bana, ni wapi niliposema ni uongo? Anyways kila mtu na uelewa wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaa kimya ujuaji mwingine ni wakipuziWabongo bana, ni wapi niliposema ni uongo? Anyways kila mtu na uelewa wake
Hata mngeekuwa na camera, mngempiga ingekataa.Hii ni kwa ufupi juu ya mambo mbali mbali tunayokutana nayo toka enzi mpaka leo hii.....Mengine hudhaniwa ni ya kutunga mengine yanahusishwa na uchawi na ushirikina hasa kwenye makampuni ......
Basi hapa nitakuwa nampeni stori tofauti tofauti juu ya vituko na mambo ambayo si ya kawaida sana katika ulimwengu huuu.
Miaka mingi imepita tulikuwa tunasafiri kuelekea Mpanda tuna lori limekula nundu ya kutosha mixer vipeto ..unajua njaa tena.....sasa njia tuliyopita ni ya Manyoni halafu unakata kushoto kuelekea Rungwa kisha unakata kulia kuitafuta KItunda....hapa tulipishana na basi la SABENA linatoka Tabora kueleke Mbeya hii njia kwa miaka hiyo ni njia dume kwelikweli na tulikuwa tunapita nyakati za kiangazi...aidha tulikuwa tunatembea na kila kitu muhimu kwa dharura ya aina yoyote ile.....
Kwa kifupi kuna pori linaitwa Mpembampazi hapo kuna Simba wakubwa kuliko simba wote niliokwisha kuwaona pia kuna Twiga weupe....anyway .......ilikuwa majira ya kama saa kumi na mbili jioni hivi machine inaunguruma mdogo mdogo taa nilikuwa nimewasha ingawa giza lilikuwa sio zito bado kulikuwa na mwanga.....zingatia ni ndani ya msitu(pori ) nene.....mara taa za gari zikawa zinajiwasha na kujizima zenyewe kama vile zimechanganyikiwa...halafu gari likazima ghafla....kwenye gari tulikuwa watu sita..mmoja kwenye kiti kushoto..... wawili kitanda cha chini...... na wawili kitanda cha juu.....wote tukawa kimya tunatafakari....kujaribu kupiga starter hata switch on haionyeshi.....tukawa kimya kama dk. moja hivi.....mara ukapita upepo wa baridiii upepo mkali kiasi halafu kimyaaa......mara tukasikia mlia shwaa shwaaa shwaa shwaaa kama vile kuna kitu kinaji buruza....
Kuangalia mbele tulishuhudia nyoka mweupe kama maziwa hana madoa doa ni mweupe tuu unene wake ni kama sadolin yaani diameter yake.....halafu kakatiza barabara kwa mbele....wote tuko kimya tunamuangalia tu....kichwa kikapotelea chakani lakini kiwiliwili bado kinakatiza barabarani....,,na mlio shwaa shwaa shwaaa.....duuuh...sasa cha ajabu zaidi mkiani alikuwa anawaka taa...taa ya rangi ya blue..na ina mwanga wa kutosha.....yaani mkia wake ulisimama juu kama mkia wa ng'e..halafu kwa juu kuna kama kakikombe ndio kuna kama jiwe hivi ndio linalotoa huo mwanga........bahati mbaya zamani hizo tulikuwa hatutembei na kamera.....
kwa kifupi baada ya joka kupotelea kichakani gari lilikubali kuwaka na tukaendelea na safari...sasa baada ya kufika Mpanda tukawahadithia jambo tulilolishuhudia......wakafurahi sana wakatukaribisha sehemu fulani kuna wazee wanakunywa pombe za kienyeji...walituhoji na kupata uhakika kabisa kwamba huyo nyoka wanamfahamu na kumuona ni bahati kubwa sana na huonekana mara moja baada muda mrefu sana na lile jiwe linalowaka taa ni jamii ya LULU....
.....ITAENDELEA>>>>>>>>
Nashukuru Ujumbe umefika.Kuteseka sio sifa au achievement. Somesheni watoto wenu na muwaachie mali, mateso sio sifa au jambo la kujivunia.
Hakuna cha kujifunza katika stori za uchawi, ushirikina n.k labda uburudike tu.mkuu endeleza hi stori tupate watu kujifunz ukisubili wabishi wamalize kubisha n wazi hutaweza kuendlea mana watu wnabishaga t hyo n kawaida yetu wnadam. lete hadithi watu tupate kujua mamb y dunia
Mateja wengi ni masikini,😂😅 Ukiyadekeza matoto kupita kiasi yanaharibikiwa.. wafundishe skills za mikono , wafundishe kupata na kukosa, wafundishe NJAA DHIKI UMASKINI una Ladha gani?
Bila kusahau tisiwanyime mapigo wanapo kosea period!
NB.
Mifano ipo mingi ya watoto walio dekezwa kwa kupewa kila kitu na baadae yanakuja kua mateja au kuwa wasio taka kufanya kazi wanezoea (KKB)
KULA, KULALA, BUREE (KKB)
Madereva wa malori tunawajua, usikute mlikuwa mshavuta mibangi yenu ikawaletea wenge.Hii ni kwa ufupi juu ya mambo mbali mbali tunayokutana nayo toka enzi mpaka leo hii.....Mengine hudhaniwa ni ya kutunga mengine yanahusishwa na uchawi na ushirikina hasa kwenye makampuni ......
Basi hapa nitakuwa nampeni stori tofauti tofauti juu ya vituko na mambo ambayo si ya kawaida sana katika ulimwengu huuu.
Miaka mingi imepita tulikuwa tunasafiri kuelekea Mpanda tuna lori limekula nundu ya kutosha mixer vipeto ..unajua njaa tena.....sasa njia tuliyopita ni ya Manyoni halafu unakata kushoto kuelekea Rungwa kisha unakata kulia kuitafuta KItunda....hapa tulipishana na basi la SABENA linatoka Tabora kueleke Mbeya hii njia kwa miaka hiyo ni njia dume kwelikweli na tulikuwa tunapita nyakati za kiangazi...aidha tulikuwa tunatembea na kila kitu muhimu kwa dharura ya aina yoyote ile.....
Kwa kifupi kuna pori linaitwa Mpembampazi hapo kuna Simba wakubwa kuliko simba wote niliokwisha kuwaona pia kuna Twiga weupe....anyway .......ilikuwa majira ya kama saa kumi na mbili jioni hivi machine inaunguruma mdogo mdogo taa nilikuwa nimewasha ingawa giza lilikuwa sio zito bado kulikuwa na mwanga.....zingatia ni ndani ya msitu(pori ) nene.....mara taa za gari zikawa zinajiwasha na kujizima zenyewe kama vile zimechanganyikiwa...halafu gari likazima ghafla....kwenye gari tulikuwa watu sita..mmoja kwenye kiti kushoto..... wawili kitanda cha chini...... na wawili kitanda cha juu.....wote tukawa kimya tunatafakari....kujaribu kupiga starter hata switch on haionyeshi.....tukawa kimya kama dk. moja hivi.....mara ukapita upepo wa baridiii upepo mkali kiasi halafu kimyaaa......mara tukasikia mlia shwaa shwaaa shwaa shwaaa kama vile kuna kitu kinaji buruza....
Kuangalia mbele tulishuhudia nyoka mweupe kama maziwa hana madoa doa ni mweupe tuu unene wake ni kama sadolin yaani diameter yake.....halafu kakatiza barabara kwa mbele....wote tuko kimya tunamuangalia tu....kichwa kikapotelea chakani lakini kiwiliwili bado kinakatiza barabarani....,,na mlio shwaa shwaa shwaaa.....duuuh...sasa cha ajabu zaidi mkiani alikuwa anawaka taa...taa ya rangi ya blue..na ina mwanga wa kutosha.....yaani mkia wake ulisimama juu kama mkia wa ng'e..halafu kwa juu kuna kama kakikombe ndio kuna kama jiwe hivi ndio linalotoa huo mwanga........bahati mbaya zamani hizo tulikuwa hatutembei na kamera.....
kwa kifupi baada ya joka kupotelea kichakani gari lilikubali kuwaka na tukaendelea na safari...sasa baada ya kufika Mpanda tukawahadithia jambo tulilolishuhudia......wakafurahi sana wakatukaribisha sehemu fulani kuna wazee wanakunywa pombe za kienyeji...walituhoji na kupata uhakika kabisa kwamba huyo nyoka wanamfahamu na kumuona ni bahati kubwa sana na huonekana mara moja baada muda mrefu sana na lile jiwe linalowaka taa ni jamii ya LULU....
.....ITAENDELEA>>>>>>>>
Uwe unaweka sukari, chai bila sukari ni mateso.Hzo story za majoka nikweli kabisa,,Kuna sehemu moja hv pori lakwenda na Kenya Kuna nyoka pia mkuubwa ye mkiani anakitu Kama chungu ana mayai yana waka usiku..pia kuna mwingine yuko huko upareni..ye kichwani ana kitu Kama jiwe linawaka usiku sana ukibahatisha kulichukua umetoboa sema ndokimbembe..pia kuna mahali kijijini huko ndanndani Kuna joka mkubwa akikatiza barabara nimpaka amalize kupita ndo mpite ukimruka tu umekwisha..maana anapopita anakuwa Kama amezungukwa na mvuke mvuke,,Kuna mgeni mmoja alienda kutembeleaga huko akajitia kichwa ngumu ,,naharaka zake akamruka akaenda zake..joka lilivomaliza kupita kwenda mbele wana mkuta kakatamoto amekaa chini ya mti..so ushukuru gari ilizima maana Kama mnge mpita huyo nyoka mbele mngepata ajali ndokwisha yenu..
Mkuu endeleza story tujifunze
Kwahiyo tukubaliane kuna nyoka mweupe mwenye upana wa sadolin na mkia unaosimama kama wa ng'e wenye jiwe linalotoa mwanga wa blue!? Tumia akili yako vema.ujuaji wako ni wa kishamba kusema hakuna pori linaitwa mpembampazi kisa eti ww hujawai lisikia hio haimaanishi halikuwahi kuwepo kwani inategemea umezaliwa lini..ukute mtoa mada anasimulia mapito yake ya miaka 1970-80 huko zamani alafu ww unabishia wakati umeijua dunia kuanzia miaka ya 2000 ukute hilo pori sahivi lina jina lingine ambalo ndio ww unalijua ila zamani lilikywa hilo alotaja mleta mada kwani majina ya maeneo mengi ya zamani yamebadilika kutokana mabadiliko ya vizaz..au ww unafikiri humu JF kila mtu unalingana nae kiumri wenzako wanatoa stori zao za miaka 20- 30 iliyopita ila ww unasoma kama vile ni mwezi uliopita lazima useme ni chai tu sababu unaona maisha yalianza baada ya ww kuzaliwa..penda kujifunza usiyojua
Mweupe, mwenye mkia wenye jiwe linalotoa mwanga wa blue!? Na mkia kasimamisha kama ng'e!Nyoka mkubwa hivyo ni kweli wapo,Mimi nimewahi kumuona,,mufindi huko.iringa yaaani anavuka barabara kajaa koote[emoji23]
kimewahi eneo lingine kuuza chaiDah nimehuzunika sana kijamaa kimesimulia kidogo tu halafu kimetembea mazima
Utaweza kumudu kununua heroin au cocaine Kama ni maskini..?!Mateja wengi ni masikini,
Bado anatunga. Mpe muda akimaliza ataleta tu..mkuu endeleza hi stori tupate watu kujifunz ukisubili wabishi wamalize kubisha n wazi hutaweza kuendlea mana watu wnabishaga t hyo n kawaida yetu wnadam. lete hadithi watu tupate kujua mamb y dunia