Mambo tofauti tunayokutana nayo Madereva wa malori toka enzi

Mambo tofauti tunayokutana nayo Madereva wa malori toka enzi

Tatizo huwa huwa mna story nyingi zenye chumvi mpaka haziliki. Mfano hapa pekee, story ya kweli hapa ni uwepo wa Pori na hao wanyama (Simba na Twiga), lakini Simba wakubwa kuliko uliowahi kuwaona (nalo nisibishe) pia hakuna pori linaloitwa Mpembampazi. Nimelina sana asali pande hizo hadi kule Inyonga
Labda ugala
 
Watoto waliozaliwa getini, wakapanda school bus, wakafuliwa chupi, wakafanyiwa graduation primary, wakaenda advance, wakaenda chuo, wakatafutiwa kazi, kwenda kuoa wakalipiwa mahali, wakazaa watoto wazuri ( wasiokuwa na changamoto yoyote), bado wazazi wao wakawapa mtaji wa biashara na bado mpaka Leo wazazi wote wawili wapo wanawapa hela za matumizi, na wakifa watazikwa na wazazi wao.

Wamevamia Uzi.
 
Hata wale wenyeji(wazee) walitueleza hivyo.....ila huwezi kulichukua kienyeji...kuna vipengele kadhaa,,,,pamoja na vifaa (mafuta ya mizaituni),,,,pia usiwe ulilala na mwanamke jana yake...n.k.
kwa haraka haraka inaweza kuwa ni dini gani? Almasi au Tanzanite.. Hiyo mizimu ya majoka ina miliki hayo mawe mawe sana.

Kuna kijana mmoja nilimsikia akielezea kisa na mkasa wake huko ifakara alichukuliwa/kumezwa maana alikua porini na lilipotokea hilo Joka aliishiwa nguvu na akawa anaona anamezwa na na joka likampeleka kwenye mlima mmoja aiseeh akakutana na joka jingine kubwa sana japo yalikua yanamsemesha wanasikilizana anakuambia aseeh kwenye ule mlima alikopelekwa na hilo joka aiseeh kuna Madini/gemstones za kufa mtu ila sasa ndo mpaka yakupe menyewe.

Nasikia kila baada ya miaka fulani kutokana na wenyeji wa hapo wanasema kwenye huo mlima Joka huwa wanaliona kubwa linapaa kwa kwenda mawinguni.

Mambo ya Mizimu hayo! Dunia ni Zaidi ya tuijuavyo.
 
Hata wale wenyeji(wazee) walitueleza hivyo.....ila huwezi kulichukua kienyeji...kuna vipengele kadhaa,,,,pamoja na vifaa (mafuta ya mizaituni),,,,pia usiwe ulilala na mwanamke jana yake...n.k.
Pamoja na Ujasiri! Maana hivyo viumbe huwa vinajua kusoma nafsi/akili ya mtu unachowaza, Ujasiri wako..!
Hapo ndio penye mtiti neno Ujasiri.!
 
Tatizo huwa huwa mna story nyingi zenye chumvi mpaka haziliki. Mfano hapa pekee, story ya kweli hapa ni uwepo wa Pori na hao wanyama (Simba na Twiga), lakini Simba wakubwa kuliko uliowahi kuwaona (nalo nisibishe) pia hakuna pori linaloitwa Mpembampazi. Nimelina sana asali pande hizo hadi kule Inyonga
Ubishi mwingi wa nini mkuu, kwani kila jambo lazima ulielewe duniani humu?

Pembampazi ni pori la hifadhi ama akiba na kuna wanyama wa kila aina mle, tumewinda sana enzi nikiwa Tbr.

Ukitokea Tabora, kuna ki centre kidogo kinaitwa Tutuo, baada ya hapo kabla ya Sikonge unakata kulia, ni masafa marefu kufika kwennye mbuga hiyo.

Miaka ya 98/20 enzi tunaenda kuwinda kulikuwa na muwekezaji mzungu kwa sasa hivi sijui, ila pori(mbuga) hiyo ipo.
 
Nimemkumbuka miaka hiyo nilipita Kuna pori kabla hujatoka inyonga gari iliharibika hapo..... Tulikaaa masaa kabla haijapita gari zile za wajenga barabara ndio walitupa msaada¡!!!!! Nimemkumbuka pia boss wangu enzi hizo nilikua nasafirisha dhahabu naitoa mpanda, mbeya dar..... Alikua ananiambia leo kuwa makini dhahabu Ina harufu kuwa makini mama!!!!! Wakati huo magu hajui Kama pamoja na soko lake la dhahabu lakini muhindi dhahabu ilimfikia Kama kawaida bila kuacha trace yoyote
Harufu ya dhahabu huwa ni kuchomana tu.
 
Mtoa mada nimemkumbuka dereva wa zamani kidogo anaitwa babaa kasongo.... Nilisikia amefariki sasa sina uhakika mwenyezi Mungu amrehemu!!! Alikua sukari ya warembo enzi hizo za high way.... Jamaa alijua kutumia viungo vyake vya uzazi!!!!!!
Sasa babaa kasongo alikua na matashtiti siku hiyo Kajq demu wake alikua mpangaji wetu harafu sebule tulikua tunampangisha,,, ile sebule tukimpangisha anakaa na kasongo harafu Bibi tunampiga Stella atwas mbili analewa.... Sasa siku hiyo hawara yake kaandaa satoo mkubwa katenga tunamsubiri kasongo demu wake anauza grocery yake hana habari si tukamla yule samaki harafu alikua kafunikwa na vile vikapu vyenye maneno ya mahaba!!!! Tumemaliza kula tukafunika.... kilichotupata sitasahau mpka naenda kaburini.
 
Watoto waliozaliwa getini, wakapanda school bus, wakafuliwa chupi, wakafanyiwa graduation primary, wakaenda advance, wakaenda chuo, wakatafutiwa kazi, kwenda kuoa wakalipiwa mahali, wakazaa watoto wazuri ( wasiokuwa na changamoto yoyote), bado wazazi wao wakawapa mtaji wa biashara na bado mpaka Leo wazazi wote wawili wapo wanawapa hela za matumizi, na wakifa watazikwa na wazazi wao.

Wamevamia Uzi.
Kuna watu hawajawai ku hustle MAISHA kabisa...ni mwendo wa rula ni mstari mnyoofu..
 
Kuteseka sio sifa au achievement. Somesheni watoto wenu na muwaachie mali, mateso sio sifa au jambo la kujivunia.
 
Tatizo huwa huwa mna story nyingi zenye chumvi mpaka haziliki. Mfano hapa pekee, story ya kweli hapa ni uwepo wa Pori na hao wanyama (Simba na Twiga), lakini Simba wakubwa kuliko uliowahi kuwaona (nalo nisibishe) pia hakuna pori linaloitwa Mpembampazi. Nimelina sana asali pande hizo hadi kule Inyonga
ujuaji wako ni wa kishamba kusema hakuna pori linaitwa mpembampazi kisa eti ww hujawai lisikia hio haimaanishi halikuwahi kuwepo kwani inategemea umezaliwa lini..ukute mtoa mada anasimulia mapito yake ya miaka 1970-80 huko zamani alafu ww unabishia wakati umeijua dunia kuanzia miaka ya 2000 ukute hilo pori sahivi lina jina lingine ambalo ndio ww unalijua ila zamani lilikywa hilo alotaja mleta mada kwani majina ya maeneo mengi ya zamani yamebadilika kutokana mabadiliko ya vizaz..au ww unafikiri humu JF kila mtu unalingana nae kiumri wenzako wanatoa stori zao za miaka 20- 30 iliyopita ila ww unasoma kama vile ni mwezi uliopita lazima useme ni chai tu sababu unaona maisha yalianza baada ya ww kuzaliwa..penda kujifunza usiyojua
 
Back
Top Bottom