Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Ule muda kubishana sina
Hakuna mwenye nao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule muda kubishana sina
Samahani ,wewe ni Ke au Me?? Kama ni Ke wewe ni mwanamke wa shoka!Halafu mnakuwa wahuni mpaka kitandani!Siku nikipata muda nitashare humu baadhi ya visanga vyangu!
Hadithi nzuri sana hii! Haya mtoto mzuri ebu tuambie hadithi yako inatufundisha nini?Hii ni kwa ufupi juu ya mambo mbali mbali tunayokutana nayo toka enzi mpaka leo hii.....Mengine hudhaniwa ni ya kutunga mengine yanahusishwa na uchawi na ushirikina hasa kwenye makampuni ......
Basi hapa nitakuwa nampeni stori tofauti tofauti juu ya vituko na mambo ambayo si ya kawaida sana katika ulimwengu huuu.
Miaka mingi imepita tulikuwa tunasafiri kuelekea Mpanda tuna lori limekula nundu ya kutosha mixer vipeto ..unajua njaa tena.....sasa njia tuliyopita ni ya Manyoni halafu unakata kushoto kuelekea Rungwa kisha unakata kulia kuitafuta KItunda....hapa tulipishana na basi la SABENA linatoka Tabora kueleke Mbeya hii njia kwa miaka hiyo ni njia dume kwelikweli na tulikuwa tunapita nyakati za kiangazi...aidha tulikuwa tunatembea na kila kitu muhimu kwa dharura ya aina yoyote ile.....
Kwa kifupi kuna pori linaitwa Mpembampazi hapo kuna Simba wakubwa kuliko simba wote niliokwisha kuwaona pia kuna Twiga weupe....anyway .......ilikuwa majira ya kama saa kumi na mbili jioni hivi machine inaunguruma mdogo mdogo taa nilikuwa nimewasha ingawa giza lilikuwa sio zito bado kulikuwa na mwanga.....zingatia ni ndani ya msitu(pori ) nene.....mara taa za gari zikawa zinajiwasha na kujizima zenyewe kama vile zimechanganyikiwa...halafu gari likazima ghafla....kwenye gari tulikuwa watu sita..mmoja kwenye kiti kushoto..... wawili kitanda cha chini...... na wawili kitanda cha juu.....wote tukawa kimya tunatafakari....kujaribu kupiga starter hata switch on haionyeshi.....tukawa kimya kama dk. moja hivi.....mara ukapita upepo wa baridiii upepo mkali kiasi halafu kimyaaa......mara tukasikia mlia shwaa shwaaa shwaa shwaaa kama vile kuna kitu kinaji buruza....
Kuangalia mbele tulishuhudia nyoka mweupe kama maziwa hana madoa doa ni mweupe tuu unene wake ni kama sadolin yaani diameter yake.....halafu kakatiza barabara kwa mbele....wote tuko kimya tunamuangalia tu....kichwa kikapotelea chakani lakini kiwiliwili bado kinakatiza barabarani....,,na mlio shwaa shwaa shwaaa.....duuuh...sasa cha ajabu zaidi mkiani alikuwa anawaka taa...taa ya rangi ya blue..na ina mwanga wa kutosha.....yaani mkia wake ulisimama juu kama mkia wa ng'e..halafu kwa juu kuna kama kakikombe ndio kuna kama jiwe hivi ndio linalotoa huo mwanga........bahati mbaya zamani hizo tulikuwa hatutembei na kamera.....
kwa kifupi baada ya joka kupotelea kichakani gari lilikubali kuwaka na tukaendelea na safari...sasa baada ya kufika Mpanda tukawahadithia jambo tulilolishuhudia......wakafurahi sana wakatukaribisha sehemu fulani kuna wazee wanakunywa pombe za kienyeji...walituhoji na kupata uhakika kabisa kwamba huyo nyoka wanamfahamu na kumuona ni bahati kubwa sana na huonekana mara moja baada muda mrefu sana na lile jiwe linalowaka taa ni jamii ya LULU....
.....ITAENDELEA>>>>>>>>
Ipemba mpazi ipo bhana mkuu kuna simba sana hilo eneo..ipo njia ya mbeya sio inyonga.....tabora-ipole-kitunda hiyo njia ndio kuna ipemba mpazi...Tatizo huwa huwa mna story nyingi zenye chumvi mpaka haziliki. Mfano hapa pekee, story ya kweli hapa ni uwepo wa Pori na hao wanyama (Simba na Twiga), lakini Simba wakubwa kuliko uliowahi kuwaona (nalo nisibishe) pia hakuna pori linaloitwa Mpembampazi. Nimelina sana asali pande hizo hadi kule Inyonga
wahuni kitandani kivipi? embu elezea kwa uzoefu wako! uhuni wao upo engo ipi?Samahani ,wewe ni Ke au Me?? Kama ni Ke wewe ni mwanamke wa shoka!Halafu mnakuwa wahuni mpaka kitandani!
Aisee. Uko vzuri mama
Mimi ni ke mama kabisa, hilo lingine uzoefu sinaSamahani ,wewe ni Ke au Me?? Kama ni Ke wewe ni mwanamke wa shoka!Halafu mnakuwa wahuni mpaka kitandani!
Hujasema kitu kuhusu hilo Basi la SABENA je na jenyewe ilijizima? Kiufupi mwenye hiyo kampuni alijipiga risasi miaka kadhaa nyumaHii ni kwa ufupi juu ya mambo mbali mbali tunayokutana nayo toka enzi mpaka leo hii.....Mengine hudhaniwa ni ya kutunga mengine yanahusishwa na uchawi na ushirikina hasa kwenye makampuni ......
Basi hapa nitakuwa nampeni stori tofauti tofauti juu ya vituko na mambo ambayo si ya kawaida sana katika ulimwengu huuu.
Miaka mingi imepita tulikuwa tunasafiri kuelekea Mpanda tuna lori limekula nundu ya kutosha mixer vipeto ..unajua njaa tena.....sasa njia tuliyopita ni ya Manyoni halafu unakata kushoto kuelekea Rungwa kisha unakata kulia kuitafuta KItunda....hapa tulipishana na basi la SABENA linatoka Tabora kueleke Mbeya hii njia kwa miaka hiyo ni njia dume kwelikweli na tulikuwa tunapita nyakati za kiangazi...aidha tulikuwa tunatembea na kila kitu muhimu kwa dharura ya aina yoyote ile.....
Kwa kifupi kuna pori linaitwa Mpembampazi hapo kuna Simba wakubwa kuliko simba wote niliokwisha kuwaona pia kuna Twiga weupe....anyway .......ilikuwa majira ya kama saa kumi na mbili jioni hivi machine inaunguruma mdogo mdogo taa nilikuwa nimewasha ingawa giza lilikuwa sio zito bado kulikuwa na mwanga.....zingatia ni ndani ya msitu(pori ) nene.....mara taa za gari zikawa zinajiwasha na kujizima zenyewe kama vile zimechanganyikiwa...halafu gari likazima ghafla....kwenye gari tulikuwa watu sita..mmoja kwenye kiti kushoto..... wawili kitanda cha chini...... na wawili kitanda cha juu.....wote tukawa kimya tunatafakari....kujaribu kupiga starter hata switch on haionyeshi.....tukawa kimya kama dk. moja hivi.....mara ukapita upepo wa baridiii upepo mkali kiasi halafu kimyaaa......mara tukasikia mlia shwaa shwaaa shwaa shwaaa kama vile kuna kitu kinaji buruza....
Kuangalia mbele tulishuhudia nyoka mweupe kama maziwa hana madoa doa ni mweupe tuu unene wake ni kama sadolin yaani diameter yake.....halafu kakatiza barabara kwa mbele....wote tuko kimya tunamuangalia tu....kichwa kikapotelea chakani lakini kiwiliwili bado kinakatiza barabarani....,,na mlio shwaa shwaa shwaaa.....duuuh...sasa cha ajabu zaidi mkiani alikuwa anawaka taa...taa ya rangi ya blue..na ina mwanga wa kutosha.....yaani mkia wake ulisimama juu kama mkia wa ng'e..halafu kwa juu kuna kama kakikombe ndio kuna kama jiwe hivi ndio linalotoa huo mwanga........bahati mbaya zamani hizo tulikuwa hatutembei na kamera.....
kwa kifupi baada ya joka kupotelea kichakani gari lilikubali kuwaka na tukaendelea na safari...sasa baada ya kufika Mpanda tukawahadithia jambo tulilolishuhudia......wakafurahi sana wakatukaribisha sehemu fulani kuna wazee wanakunywa pombe za kienyeji...walituhoji na kupata uhakika kabisa kwamba huyo nyoka wanamfahamu na kumuona ni bahati kubwa sana na huonekana mara moja baada muda mrefu sana na lile jiwe linalowaka taa ni jamii ya LULU....
.....ITAENDELEA>>>>>>>>
wahuni kit
Mh,hapa ulitisha!hilo lingine uzoefu sina
WEWE KAMA UNAONA NI UONGO JAMBA UKAKUNWE! UNALETA KELELE TUkuna Mahala nimesema halipo au halitambuliki? Nilichokikataa ni hadhi yake, haikuwa hiy iliyopewa
Kuna muda inabidi utumie maneno makali ujumbe ufikeMh,hapa ulitisha!
"Anaangalia movie hebu vua nguo vaa kimtandio au kinguo cha mtego kamuinamie hapo uone Kama ataangalia hiyo movie... Mpe gemu part one halufu mkimaliza unamchukua bafuni mnaoga unampa gemu mnato "
Ushauri: Dada yupo kwenye ndoa miezi miwili sasa anaona ndoa kama utumwa
Tumpe ushauri huyu dadawww.jamiiforums.com
P'mbafShuleni mlisomea ujinga 😂😂
Tulisomea mabadiliko ya,mwafrica kutoka kuwa nyani mpaka kuwa binadamShuleni mlisomea ujinga 😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tarangire mkuu, ila huyu ni zeruzeru[emoji16]
View attachment 3182333
Hata wale wenyeji(wazee) walitueleza hivyo.....ila huwezi kulichukua kienyeji...kuna vipengele kadhaa,,,,pamoja na vifaa (mafuta ya mizaituni),,,,pia usiwe ulilala na mwanamke jana yake...n.k.Mngeshuka kwenda kuchukua dini hilo sasa hivi mngekua mabilionea.