makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Anzishia uzi wake mkuu.. Picha za maeneo tofauti tofauti, na maelezo yake, kwa wapenzi wa kusafiri utakuwa uzi mzuri sana.Mimi nimezunguka sana mkuu na hizo picha nilizopiga mwenyewe ninazo za kutosha.
Hebu tupe hadithi ya huyo wa tukuyumkuu hlo jina lake t pakijinja , n busara t kutobishana nae, ulizia hadith y huyo pakijnja wa tukuyu utaelew mkuu
We andika, wengine haya mambo ya itaendelea endelea yanatuchosha.Nipo nasubiria kupoe kidogo.....naona disco limeingia mmasai...🙂
Ntakuwa nakukumbusha mkuu....utupe madiniHiii ulikua ni miaka hiyo2012,,, boss humjui hela inatumwa kwa Kota ananunua anakusanya dhahabu ikiwa tayari ni simu unaipeleka kwa boss bila kujua boss ni nani??? Sijui Kama huo utaratibu Bado upo.... Muhimu kijana jichanganye hii Tanzania Ina harakati nyingi sana. Siku nikipata muda nitashare humu baadhi ya visanga vyangu!
huyo pakijinja wa tky alikuwa mbish sana hakuwah kukubal kushndwa na ktu, mfan kwny sherehe misos ikiletwa anaweza kula plate10 af bd wat wngn wakgafua yeye analiendleza. akawa maalufu sanHebu tupe hadithi ya huyo wa tukuyu
Nitajitahidi nikipata nafasi mkuu wangu, shukran kwa highlight.Anzishia uzi wake mkuu.. Picha za maeneo tofauti tofauti, na maelezo yake, kwa wapenzi wa kusafiri utakuwa uzi mzuri sana.
Nyie sindo wale bon in town,,Uwe unaweka sukari, chai bila sukari ni mateso.
Hebu malizia dada yangu mzuri, nipo hapa na glass wanzuki siinywi mpaka umalizie 😀Mtoa mada nimemkumbuka dereva wa zamani kidogo anaitwa babaa kasongo.... Nilisikia amefariki sasa sina uhakika mwenyezi Mungu amrehemu!!! Alikua sukari ya warembo enzi hizo za high way.... Jamaa alijua kutumia viungo vyake vya uzazi!!!!!!
Sasa babaa kasongo alikua na matashtiti siku hiyo Kajq demu wake alikua mpangaji wetu harafu sebule tulikua tunampangisha,,, ile sebule tukimpangisha anakaa na kasongo harafu Bibi tunampiga Stella atwas mbili analewa.... Sasa siku hiyo hawara yake kaandaa satoo mkubwa katenga tunamsubiri kasongo demu wake anauza grocery yake hana habari si tukamla yule samaki harafu alikua kafunikwa na vile vikapu vyenye maneno ya mahaba!!!! Tumemaliza kula tukafunika.... kilichotupata sitasahau mpka naenda kaburini.