Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Sitaki kuitumia nataka tu nione huo mkato unique huwa ukoje, naomba picha kama hautajali.Nipo hapa
Karibu mama yoyoo nikuonyeshe yenye ujazo wa kukufikisha safari yako kwa raha zaid
Ntumie picha basi rafiki anguNjoo getho kwangu nikuoneshe
Nioneshe basi picha ya mkato wa kimasai dia wanguKupata picha utasubiri sana, cha muhimu uje nikuazime huyu wangu😀
WanaachajeKwani Wamasai nao ni walozi au ?
Ngoja asinzie nimfotoeNioneshe basi picha ya mkato wa kimasai dia wangu
Nfanyie wepesi mdogo angu, ntaftie masai aliechafua hali ya hewa hukoUnakwama sasa,
Wewe unafikiri kwanini wamasai na makabila mengine yanakeketa! Tuanzie hapoMambo ya kipekee ambayo katika maisha ya umasaini ni nadra sana kuyasikia au kuyaona,ili hali sehemu nyingine ni mambo ya kawaida kutoke katika jamii
Huta sikia wake wanagombania mume, ndo kwanza mke mkubwa humwambia mumewe aoe mke mwingine wasaidiane katika majukumu. Wake hawaoneani wivu, hawapigani wala kununiana
[emoji28][emoji28]Wamasai wa kijijini, sio hawa wa jambo rafiki
Hawa wa mtaani feki kuna wale wapori maji ya kunywa yamechangwanywa na mizizi michungu😃Wamasai wa kijijini, sio hawa wa jambo rafiki
Mkielewana watakuelewa Sana, hawana makuu hawa nduguWamasai ni watu wema sana. Hakuna mfano.
Ndyo wanaweka order, but uvumilivu wanakosa,binti wakati mwingine huchukuliwa anaenda kukulia kwa mume huku majaribio yakiendelea kama itapenyaHapo kwny kuoa sio kweli kwamba wanawaoa watoto wadogo isipokuwa wanaweka order, kuwa mtoto flani akikuwa nitamuoa
Hili hapa ndiyo linaweka equilibrium kwenye Mila na tamaduni zao, ukishafanikiwa kumkandamiza mwanamke basi hayo yote yatafuata, machungu yao watayabeba mpaka wanaingia kaburini.Wanawake hawana haki za msingi wala hawana maamuzi yeyote mbele ya mwanaume, wakiitwa hata vikaoni wao ni wasikilizaji tu.
HAKUNA kitabu chochote cha dini mwanamke amepewa uper hand kwa mwanaume.Hili hapa ndiyo linaweka equilibrium kwenye Mila na tamaduni zao, ukishafanikiwa kumkandamiza mwanamke basi hayo yote yatafuata, machungu yao watayabeba mpaka wanaingia kaburini.
Uko sawa kabisa, hata Mimi si kati ya wataka usawa.HAKUNA kitabu chochote cha dini mwanamke amepewa uper hand kwa mwanaume.
Haya maswala ya usawa ni agenda za kuzimu tu.
Marekani wamepata uhuru miaka zaidi ya 200 hawajawahi kuwa na Rais mwanamke.
Sisi hapa nadhani unaona wanavyomchezea bibi yenu.
Wakishamwita mama tu basi wanamalizia kwa kutupiga.
Mfano mzuri tumepigwa bandari tayari na mengine mengi tu.
Mimi mwenyeweNfanyie wepesi mdogo angu, ntaftie masai aliechafua hali ya hewa huko
Hili nimelisikia ila napata shida kuamini kama ni kweli.Kule Zanzibar maasai wanaongoza Kwa ushoga , je wakirud umasain hawaendelez?
Camera mbovu, kwnn usije kuona live mtoto mzuri?Ntumie picha basi rafiki angu
Ni maneno mbofu mbofu tuHili nimelisikia ila napata shida kuamini kama ni kweli.