Mambo unayopaswa kuyafahamu katika maisha ya wamaasai

Mambo unayopaswa kuyafahamu katika maisha ya wamaasai

Mambo ya kipekee ambayo katika maisha ya umasaini ni nadra sana kuyasikia au kuyaona,ili hali sehemu nyingine ni mambo ya kawaida kutoke katika jamii

Huta sikia wake wanagombania mume, ndo kwanza mke mkubwa humwambia mumewe aoe mke mwingine wasaidiane katika majukumu. Wake hawaoneani wivu, hawapigani wala kununiana
Wewe unafikiri kwanini wamasai na makabila mengine yanakeketa! Tuanzie hapo
 
Hapo kwny kuoa sio kweli kwamba wanawaoa watoto wadogo isipokuwa wanaweka order, kuwa mtoto flani akikuwa nitamuoa
Ndyo wanaweka order, but uvumilivu wanakosa,binti wakati mwingine huchukuliwa anaenda kukulia kwa mume huku majaribio yakiendelea kama itapenya
 
Hili hapa ndiyo linaweka equilibrium kwenye Mila na tamaduni zao, ukishafanikiwa kumkandamiza mwanamke basi hayo yote yatafuata, machungu yao watayabeba mpaka wanaingia kaburini.
HAKUNA kitabu chochote cha dini mwanamke amepewa uper hand kwa mwanaume.

Haya maswala ya usawa ni agenda za kuzimu tu.

Marekani wamepata uhuru miaka zaidi ya 200 hawajawahi kuwa na Rais mwanamke.

Sisi hapa nadhani unaona wanavyomchezea bibi yenu.

Wakishamwita mama tu basi wanamalizia kwa kutupiga.

Mfano mzuri tumepigwa bandari tayari na mengine mengi tu.
 
Uko sawa kabisa, hata Mimi si kati ya wataka usawa.
Nimetumia neno "kandamiza"
 
Back
Top Bottom