Mambo usiyoyafahamu kuhusu Ngamia

Mambo usiyoyafahamu kuhusu Ngamia

Point yangu ni kuwa kila Mnyama au ndege yuko unique.. kutokana na mazingira yake anayoishi.. hakuna mnyama mwenye upekee kwenye uumbaji..
Mkuu labda umeamua tu kuwa UKAWA wa kujitegemea usiku huu, ila kweli huoni upekee wa ngamia kulinganisha na wenzie? kweli kabisa kabisa mkuu?.
 
🤣🤣🤣 sili chochote chenye uhai zaidi ya Mimea yaani majani, mizizi na matunda....I'm Vegetarian
Hahaha, duu.

Lakini mimea ina uhai pia, otherwise isingekuwa na virutubisho.
 
Hahaha, duu.

Lakini mimea ina uhai pia, otherwise isingekuwa na virutubisho.
Ndio maana nikasema sili vyenye uhai isipokuwa mimea, yaani majani yake kama mboga, matunda na mizizi kama dawa au chakula (viazi, mihogo etc)
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom