Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
🤣Titanic 🤣🤣🤣
Kazakh destroyer
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣Titanic 🤣🤣🤣
Kazakh destroyer
Kwa kuwa anacheua ila hana kwato mbili, nyama yake msile wala mzoga wake msiguse maana ni haramu kwenu.Ngamia hunywa maji safi na ya chumvi. Anaweza hata kunywa maji kutoka Bahari ya Chumvi na hakuna kitakachoipata. Hii ni kwa sababu figo za ngamia huchuja maji: hutenganisha na chumvi na kugeuza kuwa maji safi yanayofaa kwa kunywa.
Ngamia pia hula miiba na haidhuru tumbo lake au utumbo wake kwa sababu mate yake huyeyusha miiba kama asidi.
Ngamia ana kope mbili: moja ni nyembamba na ya uwazi, nyingine nene na yenye nyama. Dhoruba ya mchanga inapoanza katika jangwa, hufunga kope lake la uwazi ili kuzuia mchanga usiingie machoni pake.
Ngamia pia anaweza kubadilisha joto la mwili wake: ikiwa ni baridi joto lake huongezeka, ikiwa ni moto katika jangwa la joto joto la mwili wake hupungua. Sifa alizo nazo mnyama huyu mzuri na wa kipekee ni za kuvutia.
Credit: Jr™ Creators!
Hukumwona kwenye albadil ya ACT?Hivi bongo hapa Ngamia wapo??
Wee! Usjaribu. UtapoteaTakucheki
Kitumbua hakina kitobooo😋...angalia vizuriHicho ni kitumbua ?🤣🤣🤣🤣
😂😂😂chai na donati.....halafu iwe ya maziwa sasaKitumbua hakina kitobooo😋...angalia vizuri
I feel happy wiz no rizoni, try tu be happier, be my friend... Joke😂😂😂chai na donati.....halafu iwe ya maziwa sasa
Sasa wewe si ungeruka TU 🤣 🤣 🤣Niliwahi kumpanda kwenye zoo flan hivi, sikujua kama ni mrefu vile, nina phobia ya height teh teh, kasheshe kwenye kushuka Ngamia akagoma kunishusha hatariiii🙌 ilikua ni bad and good experience ever
Kuwachinja hao aisee sio zoezi jepesi hata kidogo, huwa kuna mbinde za kibabe usipojiangalia unakufa wewe mchinjajiMnyama mzuri, mpole asiye na shida na kiumbe chochote
Najiuliza sana watu wanapata wapi ujasiri wa kumchinja
Yaani Mtu anayechinja Ngamia au Punda ana roho ngumu sana
Nivunje mgongo 😄Sasa wewe si ungeruka TU 🤣 🤣 🤣
Peponi kuna ngamia? Je nao wameoa mabikira wangapi?Ngamia hunywa maji safi na ya chumvi. Anaweza hata kunywa maji kutoka Bahari ya Chumvi na hakuna kitakachoipata. Hii ni kwa sababu figo za ngamia huchuja maji: hutenganisha na chumvi na kugeuza kuwa maji safi yanayofaa kwa kunywa.
Ngamia pia hula miiba na haidhuru tumbo lake au utumbo wake kwa sababu mate yake huyeyusha miiba kama asidi.
Ngamia ana kope mbili: moja ni nyembamba na ya uwazi, nyingine nene na yenye nyama. Dhoruba ya mchanga inapoanza katika jangwa, hufunga kope lake la uwazi ili kuzuia mchanga usiingie machoni pake.
Ngamia pia anaweza kubadilisha joto la mwili wake: ikiwa ni baridi joto lake huongezeka, ikiwa ni moto katika jangwa la joto joto la mwili wake hupungua. Sifa alizo nazo mnyama huyu mzuri na wa kipekee ni za kuvutia.
Credit: Jr™ Creators!
Mambo mengine ni kuongeza chumvi tu na hayana uhalisia.Hata kusema ukipiga dua anakubali achinjwe jaribu uone kama itatokea.Ni wapole ndio ila sio kwamba hawawezi kujitetea inapomuhitaji kufanya hivyo,teke lake moja tu linakuulia mbali,pia anaweza kung'ata akakuvunja vunja au kukuua kabisa kwa domo lake alilojaaliwa.Ni kama Twiga tu kama unazijua sifa za Twiga.Nasikia kumchinja ni mpaka dua ifanyike
Hatari sanaMambo mengine ni kuongeza chumvi tu na hayana uhalisia.Hata kusema ukipiga dua anakubali achinjwe jaribu uone kama itatokea.Ni wapole ndio ila sio kwamba hawawezi kujitetea inapomuhitaji kufanya hivyo,teke lake linakuulia mbali,pia anaweza kung'ata akakuulia mbali kea domo lake alilojaaliwa.Ni kama Twiga tu kama unazijua sifa za Twiga.