Mambo usiyoyafahamu kuhusu Ngamia

Point yangu ni kuwa kila Mnyama au ndege yuko unique.. kutokana na mazingira yake anayoishi.. hakuna mnyama mwenye upekee kwenye uumbaji..
Mkuu labda umeamua tu kuwa UKAWA wa kujitegemea usiku huu, ila kweli huoni upekee wa ngamia kulinganisha na wenzie? kweli kabisa kabisa mkuu?.
 
🀣🀣🀣 sili chochote chenye uhai zaidi ya Mimea yaani majani, mizizi na matunda....I'm Vegetarian
Hahaha, duu.

Lakini mimea ina uhai pia, otherwise isingekuwa na virutubisho.
 
Hahaha, duu.

Lakini mimea ina uhai pia, otherwise isingekuwa na virutubisho.
Ndio maana nikasema sili vyenye uhai isipokuwa mimea, yaani majani yake kama mboga, matunda na mizizi kama dawa au chakula (viazi, mihogo etc)
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…