Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau fat storage , though kuna baadhi ya wanyama huifanya ila yeye anahifafhi kwa muda mredu kama source ya kuzalisha nguvu na maji kwa muda wote atakaokuwa jangwani.Ngamia hunywa maji safi na ya chumvi. Anaweza hata kunywa maji kutoka Bahari ya Chumvi na hakuna kitakachoipata. Hii ni kwa sababu figo za ngamia huchuja maji: hutenganisha na chumvi na kugeuza kuwa maji safi yanayofaa kwa kunywa.
Ngamia pia hula miiba na haidhuru tumbo lake au utumbo wake kwa sababu mate yake huyeyusha miiba kama asidi.
Ngamia ana kope mbili: moja ni nyembamba na ya uwazi, nyingine nene na yenye nyama. Dhoruba ya mchanga inapoanza katika jangwa, hufunga kope lake la uwazi ili kuzuia mchanga usiingie machoni pake.
Ngamia pia anaweza kubadilisha joto la mwili wake: ikiwa ni baridi joto lake huongezeka, ikiwa ni moto katika jangwa la joto joto la mwili wake hupungua. Sifa alizo nazo mnyama huyu mzuri na wa kipekee ni za kuvutia.
Credit: Jr™ Creators!
Doesn't make any sense , according to evolution kila mnyama ana evolve kuweza kuyamudu mazingira ambayo anayaishi .Lakini Kiasili Ngamia siyo wanyama wa Jangwani. Imetokea tu kwamba wame evolve na kuweza kuyamudu maisha ya Jangwani. Asili ya Ngamia ni North America, na baadaye Asias kabla ya kuingia north Afrika na baadaye arabian penisular.
sijui unaongelea ku evolve kwa kitu gani mkuu? Maana nijuavyo siyo kila Evolution inayohitaji miaka yote hiyo.Doesn't make any sense , according to evolution kila mnyama ana evolve kuweza kuyamudu mazingira ambayo anayaishi .
Kwa mamalia ku evolve inaweza chukua millions of years ili kuweza kupata features ambazo zitamsaidia kwa mazingira husika take human according to evolution it took us six million years to reach at this point.
Arabian desertification accoding to scientific researches imeanza kutokea 5000 years ago kwa watu wa imani za abrahmaic ni roughly kipindi cha nabii ibrahim (alaih salaam) .
Evolutionary ni ngumu kwa ngamia ku evolve kwa kipindi hicho kifupi cha miaka 5000 while it took a human million of years kufikia hapa .
Maybe u clarify a bit
sijui unaongelea ku evolve kwa kitu gani mkuu? Maana nijuavyo siyo kila Evolution inayohitaji miaka yote hiyo.
Mfano mdogo tu, muangalie mbwa alivyoanza ku evolve kutoka kuwa just mlinzi wa binaadam na kuwa sehemu ya family members, kuwa sehemu 'watoto/mtoto' ndani ya familia huko Ulaya.
Kuna nchi haki za mbwa hazitaji pamoja na haki za wanyama, wanyama wana haki zao, mbwa pia ana haki zake za tofauti.
Kuhusu Ngamia maandiko yamo mitandaoni.
Domestication ina fall under Evolution. So ni subset ya Evolution.ku domesticate mnyama haihusiani na evolution kuna kitu kinaitwa symbiotic relationship hii ipo kwa viumbe wote na huwa si part ya evolution meaning ni pale kiumbe anapogundua umuhimu wa kiumbe mwengine katika maisha yake ya kila siku na hivyo huondoa chuki zao ili wote wafaidike .
Piga mfano samaki aina ya "cleaner fish" ambaye huwa anatumia njia mbadala kujipatia chakula yaani huwa anakula ngozi zilizokufa , mabaki ya chakula pamoja na parasaiti wadogo wadogo waliojishikiza kwenye maeneo tofauti tofauti ya samaki hapo yeye hujipatia chakula na wakati huo huo anamsafisha samaki husika na licha ya kuingia hadi mdomoni mwa baadhi ya samaki mf papa hauwezi kuta hata siku moja wameliwa na hao samaki hii ni kutokana kwamba wote wanafaidika.
Kuhusu mbwa tuli wa tame kwanza kwa ajili ya shughuli za awali za uwindaji na kutokana na wao pia kujipatia chakula na malazi kwa urahisi ikawa rahisi kwao kuishi na binadamu kuna hadi wikd animals wengine wamekuwa tamed na watu wanaishi nao though wanashauriwa kuwa tahadhari nao maana hawatabiriki.
So domestication =/= evolution
True imenibidi ni review that part ina fall under evolution by artificial selection , but the thing is how did domestication of camels led to the changes in their bodily functionality mfano hizo alizotaja mshana hapo juu , hauwezi kuniambia walipata features zoote hizo kwa sababu tu walifugwa maeneo ya jangwani.Domestication ina fall under Evolution. So ni subset ya Evolution.
Nyama yake sio nzuri sana na inaharibika mapema.Wapi inapatikana sijawah Kula ngamia
Ngamia huwezi kumfananisha na kinyonga unless hujui upekee wa uumbaji wa ngamia.hakuna uhusiano wowte ..ni swala la kibaiolojia tu walivyoumbwa..kuna wanyama wana maajabu mengi zaid ya ngamia.. ushawahi kumsikia pweza.. vipi kuhusu POPO.. au ushawahi kumsikia kinyonga...
wanyama wameumbwa na uwezo tofauti wa kibiologia ili waweze kustahimili mazingira waliyokuwepo... kuna wanyama wanaweza wakaji hibernate hata zaidi ya mwaka.. kuna sammaki anakauka kabisa hata mwaka mzima... na bado ukimtia kwenye maji after few minutes anarudi kuwa hai
Huwa nasema watu wenye akili hawawezi kuongelea upuuzi kama evolution, hizo ni theories za watu wasio na maarifa ijapokuwa wanatajwa kwa heshima kama wameongea cha maana vile, eti hata twiga shingo zao zimerefuka kwasababu majani yaliisha chini ikabidi wayafuate juu, mxeww.True imenibidi ni review that part ina fall under evolution by artificial selection , but the thing is how did domestication of camels led to the changes in their bodily functionality mfano hizo alizotaja mshana hapo juu , hauwezi kuniambia walipata features zoote hizo kwa sababu tu walifugwa maeneo ya jangwani.
why mbuzi , kondoo na ng'ombe waliofugwa maeneo hayo hawajaonesha same features?
Hahaahhaha aisee nimecheka sana.Hivi, inakuwaje unapata mihemko kwenye comment ya mtu ambaye humjui na wala hajui kama kuna user name kama hiyo humu Jf?
We 🐐nisikilize kwa makini tena kaa kitako nikujuze.
Ukiona comment ya mtu humu jukwaani ambayo unaona kabisa kuwa itakupandisha mori, mzuka, nyegge au aina yoyote ile ya mhemko....sio lazima um-quote huyo member.
Wengine najua mko humu kwa ufukunyuku tu na umbea wa kiume.
Mbona wengine wamesoma na kupita hivi?
Wewe ni nani hasa mpaka ujifanye kujibu?
Umetumwa?
Umeagizwa?
Ni ashuo au ndo mnataka muonekane wajuaji sana wa mambo?
We 🐄 hebu pita 👉 , halafu ukome kuniquote kwa kuwa huna la maana la kuniambia nikakusikiliza.
Mtoto wa kiume kabisa unataka ligi na mtoto wa kike?
Nakuuliza moto wangu utauweza?
Kama unanimudu KARIBU, 🐒mmoja we!
Na kuanzia dakika hii ukiona ID hii inapuyanga huko majukwaani KAA NAYO MBALI 💣⚰️🪦🗡️⚔️.
Au unatafuta 👤 wa kukutindua👁️?
🦵🦵🦵🦵🦵👣👣👣👣💨💨💨🖕.
Pole, tuvumilie tu mpwa!!!Hahaahhaha aisee nimecheka sana.
Yaani umerusha intercontinental ballistic missile halafu mwenzio ana manati, vibaya hivyo.Pole, tuvumilie tu mpwa!!!
Hata ingekuwa sahihi, wewe ni katika walawi? mambo ya walawi yanakuhusu nini? kwetu ngamia ni halali.Umekurupuka mkuu, nukuu hii hapa, acha kula vitu najisi.
Mambo ya Walawi 11:4
'Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na katika wale walio na kwato; ngamia, kwa sababu yuacheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.'
Ukiulizwa uhalisia wa hayo yote wala huelewi, si vyema kuongea uongo hata kama hukipendi kitu.Qur an ni porojo kama porojo nyingine mkuu, qur an ndiyo inadai kuwa jua linazama kwenye matope. Ndiyo inadai peponi kuna wanawake wenye macho makubwa kama vikombe, ndiyo ilipelekea muhamnad kubaka (alimbaka binti Ausha)nk.
Hahahahaahhaahahahahahaha dah huu uzi mmenivunja mbavu leo, sasa huyo jamaa kwanini anamuamsha ngamia kabla wenzie hawajakaa vizuri.Hana shida Kabisa. Mpole..wenyewe 🤣
Hamna jamaa amemuamrisha aamke wakati hao abiria hawajashika vizuri, aisee nimecheka mpaka mbavu zinauma.Hapo wamemchefua, labda alikuwa na njaa au kiu halafu wanamlazimisha kubeba watu
Ila jamaa hawanaga shida kabisa hao
KumbeNyama yake sio nzuri sana na inaharibika mapema.