Mambo usiyoyafahamu kuhusu Ngamia

Mambo usiyoyafahamu kuhusu Ngamia

Asante kwa elimu,boss ngamia ana uwezo wa kunywa maji kuadi gani kwa Mara moja?
Mf Lita ngapi at once?
Ngamia anaweza kunywa galoni 30 (lita 135) za maji kwa dakika 3.
Camels can drink 94 litres of water in less than 3.jpeg
 
Achaneni na kubebwa-bebwa kama viroba kwa story zisizo na ukweli.
Watu wanasoma dua huku wamemfunga miguu ngamia na kumuelekezea Kibra halafu zinatengenezwa story kuwa kabla ya kumchinja inasomwa dua halafu mwenyewe anakubali na kugeukia kibra. Nanyi bila hata
ya kufikiri mnameza tu, hata mkiona mnakuwa kama mnachezeshewa ka mchezo ka kekundu keusi.

Huyu kafungwa miguu yote, anabaki anagalagala hadi amechoka ndiyo ninyi mnanasema amekubali kuchinjwa.
View attachment 3167875
Unachobisha wewe ni nini!?
Mchukue nyati mfunge miguu mchoshe kama unavyodai huyu ngamia anachoshwa halafu sogelea umchinje uone pembe utakazokula.
Huyu akilala hapo unamuweka kisu shingoni hatikisiki hata kidogo.
 
Hivi, inakuwaje unapata mihemko kwenye comment ya mtu ambaye humjui na wala hajui kama kuna user name kama hiyo humu Jf?
We 🐐nisikilize kwa makini tena kaa kitako nikujuze.

Ukiona comment ya mtu humu jukwaani ambayo unaona kabisa kuwa itakupandisha mori, mzuka, nyegge au aina yoyote ile ya mhemko....sio lazima um-quote huyo member.

Wengine najua mko humu kwa ufukunyuku tu na umbea wa kiume.
Mbona wengine wamesoma na kupita hivi?
Wewe ni nani hasa mpaka ujifanye kujibu?
Umetumwa?
Umeagizwa?
Ni ashuo au ndo mnataka muonekane wajuaji sana wa mambo?
We 🐄 hebu pita 👉 , halafu ukome kuniquote kwa kuwa huna la maana la kuniambia nikakusikiliza.
Mtoto wa kiume kabisa unataka ligi na mtoto wa kike?
Nakuuliza moto wangu utauweza?

Kama unanimudu KARIBU, 🐒mmoja we!
Na kuanzia dakika hii ukiona ID hii inapuyanga huko majukwaani KAA NAYO MBALI 💣⚰️🪦🗡️⚔️.
Au unatafuta 👤 wa kukutindua👁️?
🦵🦵🦵🦵🦵👣👣👣👣💨💨💨🖕.
Aisee🤐🤐🤐🤐.
 
K

Ukwel ni hasiraa?kajaribu kuwaelewesha watu ukwel kosa lake lipi? Watu wanadanganywa sana na hzo stori mie kwamachoyangu niliona akichinjwa mwanza mkiti maaruufu mabanzi hlo kasheshe lake si lakitoto skuona huko kuinama mwenyewe achinjwe
Mie nimeshuhudia akiinama mwenyewe kuchinjwa.
Ukimlazimisha kumchinja haifai kidini.
Hata katika wasifu wa uislam yupo mtu aliyekatazwa kumchinja ngamia wake pale alipogoma kuinama na kukimbia.
Haifai kumlazimisha ngamia kuchinjwa.
 
Ngamia ni wanyama wa jangwani ambao wanaweza kuvumilia joto kali. Ngamia ni maalum sana katika utamaduni wa Kiarabu. Wanaashiria uvumilivu, uvumilivu, na uvumilivu.

Ngamia ni wanyama wakubwa wa futi 5.9 - futi 7.5 urefu na uzito wa pauni 660 - pauni 2,520. Wana maisha ya miaka 50 -60.

Ngamia wanaweza kuishi bila chakula na maji kwa wiki kadhaa.
Viumbe wenye sifa za kipekee katika sayari hii
 
Usipotoshe watu ngamia sio Haram.
Usiongee mambo usiyo na ushahidi nayo.
Umekurupuka mkuu, nukuu hii hapa, acha kula vitu najisi.

Mambo ya Walawi 11:4
'Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na katika wale walio na kwato; ngamia, kwa sababu yuacheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.'
 
Mambo ya Walawi 11:4 Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na katika wale walio na kwato; ngamia, kwa sababu yuacheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
Kumbe walawi?
Mie nazungumzia Qur'an.
Kama jambo halijatoka kwenye Sheria za Qur'an na Sunnah basi halifanyi kazi kwangu muislam.
 
Kumbe walawi?
Mie nazungumzia Qur'an.
Kama jambo halijatoka kwenye Sheria za Qur'an na Sunnah basi halifanyi kazi kwangu muislam.
Qur an ni porojo kama porojo nyingine mkuu, qur an ndiyo inadai kuwa jua linazama kwenye matope. Ndiyo inadai peponi kuna wanawake wenye macho makubwa kama vikombe, ndiyo ilipelekea muhamnad kubaka (alimbaka binti Ausha)nk.
 
Kuna msemo kuwa ukila nyama ya mnyama fulani kwa muda mrefu una adopt tabia za huyo mnyama. Inawezekana watu wa jangwani wanadopt uvumilivu wa ngamia kwa kuweza kusavaivu jangwani kusiko na maji wala mimea kwa kuls nyama yake

Sasa wale wenzangu wala kitimoto sijui wataadopt na tabia za aina gani? 🤭
Wananenepa kama kitimoto
 
Back
Top Bottom