Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitawaiga, nimechoka kuonesha ufundi usio na tija.Hawana shobo wala ufundi.. Wanalengesha inazama wanamaliza maisha yanasonga
Umeelewa nilicho koment?Nundu haihifadhi chakula ila mafuta, ungeongezea kuwa Mtume alisema kila ngamia ana jini.
Mjimwema kule zamani ilikuwa beach unawakuta.Hivi bongo hapa Ngamia wapo??
Kwanini ya ngamia iwe kubwa kuliko ya wanyama wengine?Wanyama wote wana dua kuanzia kuku ila ya ngamia ndio kubwa
Ng'ombe ana ladhaKama ng'ombe tuu
Bora punda,ila ngamia namuoneaga huruma sana.Mnyama mzuri, mpole asiye na shida na kiumbe chochote
Najiuliza sana watu wanapata wapi ujasiri wa kumchinja
Yaani Mtu anayechinja Ngamia au Punda ana roho ngumu sana
Quran imemtaja kama kielelezo cha mazingatio kwa mwanadamu, jinsi ALLAH alivyo muumbaNgamia hunywa maji safi na ya chumvi. Anaweza hata kunywa maji kutoka Bahari ya Chumvi na hakuna kitakachoipata. Hii ni kwa sababu figo za ngamia huchuja maji: hutenganisha na chumvi na kugeuza kuwa maji safi yanayofaa kwa kunywa.
Ngamia pia hula miiba na haidhuru tumbo lake au utumbo wake kwa sababu mate yake huyeyusha miiba kama asidi.
Ngamia ana kope mbili: moja ni nyembamba na ya uwazi, nyingine nene na yenye nyama. Dhoruba ya mchanga inapoanza katika jangwa, hufunga kope lake la uwazi ili kuzuia mchanga usiingie machoni pake.
Ngamia pia anaweza kubadilisha joto la mwili wake: ikiwa ni baridi joto lake huongezeka, ikiwa ni moto katika jangwa la joto joto la mwili wake hupungua. Sifa alizo nazo mnyama huyu mzuri na wa kipekee ni za kuvutia.
Credit: Jrβ’ Creators!
Anamtii ALLAH, hiyo kwake ni amri lakini binaadamu tuna asiBora punda,ila ngamia namuoneaga huruma sana.
Kuna siku nilishuhudia ngamia anatii na kuchinjwa, aisee, mnyama yule sio poa
Sawa, yaani nilishangaa mnyama kutii na kulaza kichwa na shingo ili achinjweπ€Anamtii ALLAH, hiyo kwake ni amri lakini binaadamu tuna asi
Hai (Kilimanjaro)Mjimwema kule zamani ilikuwa beach unawakuta.
Dar es salaam zoo wapo.
Mkuranga kwa ndani kuna jamaa anafuga kama 20 hivi.
Bora punda,ila ngamia namuoneaga huruma sana.
Kuna siku nilishuhudia ngamia anatii na kuchinjwa, aisee, mnyama yule sio poa
Achaneni na kubebwa-bebwa kama viroba kwa story zisizo na ukweli.Anamtii ALLAH, hiyo kwake ni amri lakini binaadamu tuna asi
Mbona kama una hasira?Achaneni na kubebwa-bebwa kama viroba kwa story zisizo na ukweli.
Watu wanasoma dua huku wamemfunga miguu ngamia na kumuelekezea Kibra halafu zinatengenezwa story kuwa kabla ya kumchinja inasomwa dua halafu mwenyewe anakubali na kugeukia kibra. Nanyi bila hata
ya kufikiri mnameza tu, hata mkiona mnakuwa kama mnachezeshewa ka mchezo ka kekundu keusi.
Huyu kafungwa miguu yote, anabaki anagalagala hadi amechoka ndiyo ninyi mnanasema amekubali kuchinjwa.
View attachment 3167875
Uzoefu wako unauhamishia kwa wengine?Mbona kama una hasira?
Pole sana PakiJinja tafuta pesa kaka ili hizi hasira za jukwaani zikupitie mbali.
Wapi inapatikana sijawah Kula ngamiaUpate mpishi akutolee kitu cha biriani ya ngamia, acha kabisa mzee. π€€
hakuna uhusiano wowte ..ni swala la kibaiolojia tu walivyoumbwa..kuna wanyama wana maajabu mengi zaid ya ngamia.. ushawahi kumsikia pweza.. vipi kuhusu POPO.. au ushawahi kumsikia kinyonga...Vipi uhusiano wa ngamia na masuala ya kiimani..?
Asante sana kwa ufafanuziNg'ombe ana ladha
Ngamia nyama yake kidogo ina kaukavu hivi na haifikii ya ng'ombe japo ukiweka mezani zinafanana.
Na inafaa sana kwa kuchoma, kuoka au namna ya kuifanya isiwe ya mchuzi.
Ikiwa ya mchuzi unaweza usiile kwa ladha na unyambuzi wake