Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana shobo wala ufundi.. Wanalengesha inazama wanamaliza maisha yanasongaTunajua wanyama jinsi wanyama kama punda na mbwa wanavyofanya mapenzi kwa ustadi mkubwa kiasi cha kuwasisimua watu hata wakaamua kujichua
Vipi kuhusu ngamia, wanapojamiiana wanaweza kupandisha mtu ashiki.
Vilevile sehemu alipo ngamia lazima majini mengi yamzunguke , majini yanapenda ngamiaNgamia hunywa maji safi na ya chumvi. Anaweza hata kunywa maji kutoka Bahari ya Chumvi na hakuna kitakachoipata. Hii ni kwa sababu figo za ngamia huchuja maji: hutenganisha na chumvi na kugeuza kuwa maji safi yanayofaa kwa kunywa.
Ngamia pia hula miiba na haidhuru tumbo lake au utumbo wake kwa sababu mate yake huyeyusha miiba kama asidi.
Ngamia ana kope mbili: moja ni nyembamba na ya uwazi, nyingine nene na yenye nyama. Dhoruba ya mchanga inapoanza katika jangwa, hufunga kope lake la uwazi ili kuzuia mchanga usiingie machoni pake.
Ngamia pia anaweza kubadilisha joto la mwili wake: ikiwa ni baridi joto lake huongezeka, ikiwa ni moto katika jangwa la joto joto la mwili wake hupungua. Sifa alizo nazo mnyama huyu mzuri na wa kipekee ni za kuvutia.
Credit: Jr[emoji769] Creators!
Kwanini unatupa kazi ya hesabu kubadilisha pound kwenda kilogram ungefanya tu ww uandike kwa kiloNgamia ni wanyama wa jangwani ambao wanaweza kuvumilia joto kali. Ngamia ni maalum sana katika utamaduni wa Kiarabu. Wanaashiria uvumilivu, uvumilivu, na uvumilivu.
Ngamia ni wanyama wakubwa wa futi 5.9 - futi 7.5 urefu na uzito wa pauni 660 - pauni 2,520. Wana maisha ya miaka 50 -60.
Ngamia wanaweza kuishi bila chakula na maji kwa wiki kadhaa.
Sio kweli toka enzi za ibrahim nabii ngamia alikwepo jagwaniLakini Kiasili Ngamia siyo wanyama wa Jangwani. Imetokea tu kwamba wame evolve na kuweza kuyamudu maisha ya Jangwani. Asili ya Ngamia ni North America, na baadaye Asias kabla ya kuingia north Afrika na baadaye arabian penisular.
Wapo meserani arusha njia ya kwenda monduliHivi bongo hapa Ngamia wapo??
Nundu haihifadhi chakula ila mafuta, ungeongezea kuwa Mtume alisema kila ngamia ana jini."Je hawamtazami ngamia. Jinsi alivyoumbwa?" 88:17 Qur anView attachment 3167381
Usilolijua kuhusu jicho la binaadamu, jicho lina kinga mbili, mboni na kope.Ngamia hunywa maji safi na ya chumvi. Anaweza hata kunywa maji kutoka Bahari ya Chumvi na hakuna kitakachoipata. Hii ni kwa sababu figo za ngamia huchuja maji: hutenganisha na chumvi na kugeuza kuwa maji safi yanayofaa kwa kunywa.
Ngamia pia hula miiba na haidhuru tumbo lake au utumbo wake kwa sababu mate yake huyeyusha miiba kama asidi.
Ngamia ana kope mbili: moja ni nyembamba na ya uwazi, nyingine nene na yenye nyama. Dhoruba ya mchanga inapoanza katika jangwa, hufunga kope lake la uwazi ili kuzuia mchanga usiingie machoni pake.
Ngamia pia anaweza kubadilisha joto la mwili wake: ikiwa ni baridi joto lake huongezeka, ikiwa ni moto katika jangwa la joto joto la mwili wake hupungua. Sifa alizo nazo mnyama huyu mzuri na wa kipekee ni za kuvutia.
Credit: Jrβ’ Creators!
Kigamboni Kuna shamba kabisa, wanawafuga,, wapo wengi sana. Shamba lipo karibu na kiwanda cha majina safi Afya...Wapi wapi au maeneo gan
Uliyaona hayo majini? ππVilevile sehemu alipo ngamia lazima majini mengi yamzunguke , majini yanapenda ngamia
Vipi kuhusu mbususu zao? Wanagegedeka?Ngamia ni wanyama wa jangwani ambao wanaweza kuvumilia joto kali. Ngamia ni maalum sana katika utamaduni wa Kiarabu. Wanaashiria uvumilivu, uvumilivu, na uvumilivu.
Ngamia ni wanyama wakubwa wa futi 5.9 - futi 7.5 urefu na uzito wa pauni 660 - pauni 2,520. Wana maisha ya miaka 50 -60.
Ngamia wanaweza kuishi bila chakula na maji kwa wiki kadhaa.