Mambo usiyoyafahamu kuhusu Ngamia

Mambo usiyoyafahamu kuhusu Ngamia

Uzoefu wako unauhamishia kwa wengine?
Kama ningekuwa nimeonyesha hasira yoyote basi hasira hiyo ingekuwa ni dhidi ya mujinga uliyo nayo kichwani ma si vinginevyo.
Hivi, inakuwaje unapata mihemko kwenye comment ya mtu ambaye humjui na wala hajui kama kuna user name kama hiyo humu Jf?
We 🐐nisikilize kwa makini tena kaa kitako nikujuze.

Ukiona comment ya mtu humu jukwaani ambayo unaona kabisa kuwa itakupandisha mori, mzuka, nyegge au aina yoyote ile ya mhemko....sio lazima um-quote huyo member.

Wengine najua mko humu kwa ufukunyuku tu na umbea wa kiume.
Mbona wengine wamesoma na kupita hivi?
Wewe ni nani hasa mpaka ujifanye kujibu?
Umetumwa?
Umeagizwa?
Ni ashuo au ndo mnataka muonekane wajuaji sana wa mambo?
We 🐄 hebu pita 👉 , halafu ukome kuniquote kwa kuwa huna la maana la kuniambia nikakusikiliza.
Mtoto wa kiume kabisa unataka ligi na mtoto wa kike?
Nakuuliza moto wangu utauweza?

Kama unanimudu KARIBU, 🐒mmoja we!
Na kuanzia dakika hii ukiona ID hii inapuyanga huko majukwaani KAA NAYO MBALI 💣⚰️🪦🗡️⚔️.
Au unatafuta 👤 wa kukutindua👁️?
🦵🦵🦵🦵🦵👣👣👣👣💨💨💨🖕.
 
Achaneni na kubebwa-bebwa kama viroba kwa story zisizo na ukweli.
Watu wanasoma dua huku wamemfunga miguu ngamia na kumuelekezea Kibra halafu zinatengenezwa story kuwa kabla ya kumchinja inasomwa dua halafu mwenyewe anakubali na kugeukia kibra. Nanyi bila hata
ya kufikiri mnameza tu, hata mkiona mnakuwa kama mnachezeshewa ka mchezo ka kekundu keusi.

Huyu kafungwa miguu yote, anabaki anagalagala hadi amechoka ndiyo ninyi mnanasema amekubali kuchinjwa.
View attachment 3167875
Ukatili mkubwa sanaa. Halafu wanaangalia wanafurahia
 
K
Mbona kama una hasira?
Pole sana PakiJinja tafuta pesa kaka ili hizi hasira za jukwaani zikupitie mbali.
Ukwel ni hasiraa?kajaribu kuwaelewesha watu ukwel kosa lake lipi? Watu wanadanganywa sana na hzo stori mie kwamachoyangu niliona akichinjwa mwanza mkiti maaruufu mabanzi hlo kasheshe lake si lakitoto skuona huko kuinama mwenyewe achinjwe
 
Ngamia hunywa maji safi na ya chumvi. Anaweza hata kunywa maji kutoka Bahari ya Chumvi na hakuna kitakachoipata. Hii ni kwa sababu figo za ngamia huchuja maji: hutenganisha na chumvi na kugeuza kuwa maji safi yanayofaa kwa kunywa.

Ngamia pia hula miiba na haidhuru tumbo lake au utumbo wake kwa sababu mate yake huyeyusha miiba kama asidi.

Ngamia ana kope mbili: moja ni nyembamba na ya uwazi, nyingine nene na yenye nyama. Dhoruba ya mchanga inapoanza katika jangwa, hufunga kope lake la uwazi ili kuzuia mchanga usiingie machoni pake.

Ngamia pia anaweza kubadilisha joto la mwili wake: ikiwa ni baridi joto lake huongezeka, ikiwa ni moto katika jangwa la joto joto la mwili wake hupungua. Sifa alizo nazo mnyama huyu mzuri na wa kipekee ni za kuvutia.

Credit: Jr™ Creators!

Wale jamaa wa Kigoma walimtoa wapi yule ambaye hawakumtendea haki?
 
Kwahiyo ukaichagua hii picha kwamba imekuvutia kabisa...!!!😀
 
Ngamia ni wanyama wa jangwani ambao wanaweza kuvumilia joto kali. Ngamia ni maalum sana katika utamaduni wa Kiarabu. Wanaashiria uvumilivu, uvumilivu, na uvumilivu.

Ngamia ni wanyama wakubwa wa futi 5.9 - futi 7.5 urefu na uzito wa pauni 660 - pauni 2,520. Wana maisha ya miaka 50 -60.

Ngamia wanaweza kuishi bila chakula na maji kwa wiki kadhaa.
Asante kwa elimu,boss ngamia ana uwezo wa kunywa maji kuadi gani kwa Mara moja?
Mf Lita ngapi at once?
 
Ngamia hunywa maji safi na ya chumvi. Anaweza hata kunywa maji kutoka Bahari ya Chumvi na hakuna kitakachoipata. Hii ni kwa sababu figo za ngamia huchuja maji: hutenganisha na chumvi na kugeuza kuwa maji safi yanayofaa kwa kunywa.

Ngamia pia hula miiba na haidhuru tumbo lake au utumbo wake kwa sababu mate yake huyeyusha miiba kama asidi.

Ngamia ana kope mbili: moja ni nyembamba na ya uwazi, nyingine nene na yenye nyama. Dhoruba ya mchanga inapoanza katika jangwa, hufunga kope lake la uwazi ili kuzuia mchanga usiingie machoni pake.

Ngamia pia anaweza kubadilisha joto la mwili wake: ikiwa ni baridi joto lake huongezeka, ikiwa ni moto katika jangwa la joto joto la mwili wake hupungua. Sifa alizo nazo mnyama huyu mzuri na wa kipekee ni za kuvutia.

Credit: Jr™ Creators!

Kinyesi cha ngamia kinatoka kikiwa kikavu bila maji maji unaweza washia moto kabisa
 
Ndio mnyama pekee analaza shingo yake kwa hiari umchinje
Kulaza shingo yake kwa hiari hadi umfanyie kisomo.
Bila kisomo halazi shingo.
Pale Tandika Devis corner walikua wanamchinja ngamia Kwa kulazimisha aisee hizo teke walizokula so poa.
 
There are some Muslims who think camels are not halal. Some also say horses are not halal. But, apparently, you can clean up after eating camel.
Those some Muslims who think camel are not halal they are not real Muslims.
Because even prophet Muhammad peace be upon him ate camel.
 
Back
Top Bottom