Mambo usiyoyafahamu kuhusu Ngamia

Mambo usiyoyafahamu kuhusu Ngamia

Vipi kuhusu mbususu zao? Wanagegedeka?
Na nayama yao inalika?
Dah..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏ
 
Ngamia hunywa maji safi na ya chumvi. Anaweza hata kunywa maji kutoka Bahari ya Chumvi na hakuna kitakachoipata. Hii ni kwa sababu figo za ngamia huchuja maji: hutenganisha na chumvi na kugeuza kuwa maji safi yanayofaa kwa kunywa.

Ngamia pia hula miiba na haidhuru tumbo lake au utumbo wake kwa sababu mate yake huyeyusha miiba kama asidi.

Ngamia ana kope mbili: moja ni nyembamba na ya uwazi, nyingine nene na yenye nyama. Dhoruba ya mchanga inapoanza katika jangwa, hufunga kope lake la uwazi ili kuzuia mchanga usiingie machoni pake.

Ngamia pia anaweza kubadilisha joto la mwili wake: ikiwa ni baridi joto lake huongezeka, ikiwa ni moto katika jangwa la joto joto la mwili wake hupungua. Sifa alizo nazo mnyama huyu mzuri na wa kipekee ni za kuvutia.

Credit: Jrβ„’ Creators!

Quran imemtaja kama kielelezo cha mazingatio kwa mwanadamu, jinsi ALLAH alivyo muumba
 
Bora punda,ila ngamia namuoneaga huruma sana.
Kuna siku nilishuhudia ngamia anatii na kuchinjwa, aisee, mnyama yule sio poa
Anamtii ALLAH, hiyo kwake ni amri lakini binaadamu tuna asi
Achaneni na kubebwa-bebwa kama viroba kwa story zisizo na ukweli.
Watu wanasoma dua huku wamemfunga miguu ngamia na kumuelekezea Kibra halafu zinatengenezwa story kuwa kabla ya kumchinja inasomwa dua halafu mwenyewe anakubali na kugeukia kibra. Nanyi bila hata
ya kufikiri mnameza tu, hata mkiona mnakuwa kama mnachezeshewa ka mchezo ka kekundu keusi.

Huyu kafungwa miguu yote ya mbele, anabaki anagalagala hadi amechoka ndiyo ninyi mnanasema amekubali kuchinjwa.
 
Achaneni na kubebwa-bebwa kama viroba kwa story zisizo na ukweli.
Watu wanasoma dua huku wamemfunga miguu ngamia na kumuelekezea Kibra halafu zinatengenezwa story kuwa kabla ya kumchinja inasomwa dua halafu mwenyewe anakubali na kugeukia kibra. Nanyi bila hata
ya kufikiri mnameza tu, hata mkiona mnakuwa kama mnachezeshewa ka mchezo ka kekundu keusi.

Huyu kafungwa miguu yote, anabaki anagalagala hadi amechoka ndiyo ninyi mnanasema amekubali kuchinjwa.
View attachment 3167875
Mbona kama una hasira?
Pole sana PakiJinja tafuta pesa kaka ili hizi hasira za jukwaani zikupitie mbali.
 
Mbona kama una hasira?
Pole sana PakiJinja tafuta pesa kaka ili hizi hasira za jukwaani zikupitie mbali.
Uzoefu wako unauhamishia kwa wengine?
Kama ningekuwa nimeonyesha hasira yoyote basi hasira hiyo ingekuwa ni dhidi ya mujinga uliyo nayo kichwani ma si vinginevyo.
 
Vipi uhusiano wa ngamia na masuala ya kiimani..?
hakuna uhusiano wowte ..ni swala la kibaiolojia tu walivyoumbwa..kuna wanyama wana maajabu mengi zaid ya ngamia.. ushawahi kumsikia pweza.. vipi kuhusu POPO.. au ushawahi kumsikia kinyonga...

wanyama wameumbwa na uwezo tofauti wa kibiologia ili waweze kustahimili mazingira waliyokuwepo... kuna wanyama wanaweza wakaji hibernate hata zaidi ya mwaka.. kuna sammaki anakauka kabisa hata mwaka mzima... na bado ukimtia kwenye maji after few minutes anarudi kuwa hai
 
Ng'ombe ana ladha
Ngamia nyama yake kidogo ina kaukavu hivi na haifikii ya ng'ombe japo ukiweka mezani zinafanana.
Na inafaa sana kwa kuchoma, kuoka au namna ya kuifanya isiwe ya mchuzi.
Ikiwa ya mchuzi unaweza usiile kwa ladha na unyambuzi wake
Asante sana kwa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom