Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngamia ana tabia ya kuisoma negative energy kama farasi.Ngamia hutumiwa kusafirisha bidhaa jangwani. Ni wanyama rafiki na mara chache huonyesha tabia ya chuki labda tu wawe wamekasirishwa.
Unachobisha wewe ni nini!?Achaneni na kubebwa-bebwa kama viroba kwa story zisizo na ukweli.
Watu wanasoma dua huku wamemfunga miguu ngamia na kumuelekezea Kibra halafu zinatengenezwa story kuwa kabla ya kumchinja inasomwa dua halafu mwenyewe anakubali na kugeukia kibra. Nanyi bila hata
ya kufikiri mnameza tu, hata mkiona mnakuwa kama mnachezeshewa ka mchezo ka kekundu keusi.
Huyu kafungwa miguu yote, anabaki anagalagala hadi amechoka ndiyo ninyi mnanasema amekubali kuchinjwa.
View attachment 3167875
Aisee🤐🤐🤐🤐.Hivi, inakuwaje unapata mihemko kwenye comment ya mtu ambaye humjui na wala hajui kama kuna user name kama hiyo humu Jf?
We 🐐nisikilize kwa makini tena kaa kitako nikujuze.
Ukiona comment ya mtu humu jukwaani ambayo unaona kabisa kuwa itakupandisha mori, mzuka, nyegge au aina yoyote ile ya mhemko....sio lazima um-quote huyo member.
Wengine najua mko humu kwa ufukunyuku tu na umbea wa kiume.
Mbona wengine wamesoma na kupita hivi?
Wewe ni nani hasa mpaka ujifanye kujibu?
Umetumwa?
Umeagizwa?
Ni ashuo au ndo mnataka muonekane wajuaji sana wa mambo?
We 🐄 hebu pita 👉 , halafu ukome kuniquote kwa kuwa huna la maana la kuniambia nikakusikiliza.
Mtoto wa kiume kabisa unataka ligi na mtoto wa kike?
Nakuuliza moto wangu utauweza?
Kama unanimudu KARIBU, 🐒mmoja we!
Na kuanzia dakika hii ukiona ID hii inapuyanga huko majukwaani KAA NAYO MBALI 💣⚰️🪦🗡️⚔️.
Au unatafuta 👤 wa kukutindua👁️?
🦵🦵🦵🦵🦵👣👣👣👣💨💨💨🖕.
Mie nimeshuhudia akiinama mwenyewe kuchinjwa.K
Ukwel ni hasiraa?kajaribu kuwaelewesha watu ukwel kosa lake lipi? Watu wanadanganywa sana na hzo stori mie kwamachoyangu niliona akichinjwa mwanza mkiti maaruufu mabanzi hlo kasheshe lake si lakitoto skuona huko kuinama mwenyewe achinjwe
Mbona wapo ng'ombe mkuu wanafika kilo 700 na wanachinjwa kabisa?Eti mnyama mwny zaidi ya nusu tani za uzito..utawezaje kumchinja kiwepesi wepesi
Usipotoshe watu ngamia sio Haram.Naam
Viumbe wenye sifa za kipekee katika sayari hiiNgamia ni wanyama wa jangwani ambao wanaweza kuvumilia joto kali. Ngamia ni maalum sana katika utamaduni wa Kiarabu. Wanaashiria uvumilivu, uvumilivu, na uvumilivu.
Ngamia ni wanyama wakubwa wa futi 5.9 - futi 7.5 urefu na uzito wa pauni 660 - pauni 2,520. Wana maisha ya miaka 50 -60.
Ngamia wanaweza kuishi bila chakula na maji kwa wiki kadhaa.
Watu wanakera sanaAisee🤐🤐🤐🤐.
Umekurupuka mkuu, nukuu hii hapa, acha kula vitu najisi.Usipotoshe watu ngamia sio Haram.
Usiongee mambo usiyo na ushahidi nayo.
Kumbe walawi?Mambo ya Walawi 11:4 Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na katika wale walio na kwato; ngamia, kwa sababu yuacheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
Qur an ni porojo kama porojo nyingine mkuu, qur an ndiyo inadai kuwa jua linazama kwenye matope. Ndiyo inadai peponi kuna wanawake wenye macho makubwa kama vikombe, ndiyo ilipelekea muhamnad kubaka (alimbaka binti Ausha)nk.Kumbe walawi?
Mie nazungumzia Qur'an.
Kama jambo halijatoka kwenye Sheria za Qur'an na Sunnah basi halifanyi kazi kwangu muislam.
Hana shida Kabisa. Mpole..wenyewe 🤣Mnyama mzuri, mpole asiye na shida na kiumbe chochote
Najiuliza sana watu wanapata wapi ujasiri wa kumchinja
Yaani Mtu anayechinja Ngamia au Punda ana roho ngumu sana
Mpk atake mwenyewe.HUYO MNYAMA JINSI YA KUMCHINJA IMEELEZWA KATIKA MAANDIKO YA KIDINI SIO WA KAWAIDA KAMA MBUZI
ANATHAMINIWA SANA
Wananenepa kama kitimotoKuna msemo kuwa ukila nyama ya mnyama fulani kwa muda mrefu una adopt tabia za huyo mnyama. Inawezekana watu wa jangwani wanadopt uvumilivu wa ngamia kwa kuweza kusavaivu jangwani kusiko na maji wala mimea kwa kuls nyama yake
Sasa wale wenzangu wala kitimoto sijui wataadopt na tabia za aina gani? 🤭
Wameenda mbali zaid mwanaume anampanda mwenzake hata wanyama hawafanyi hivoIla kuna binadamu wamejaribu hilo😭
Hana shida Kabisa. Mpole..wenyewe 🤣
Hapo wamemchefua, labda alikuwa na njaa au kiu halafu wanamlazimisha kubeba watuHana shida Kabisa. Mpole..wenyewe 🤣
Wapo, kuna mahali panaitwa kwa Wasomali karibu na KIA au Bomang'ombe Kilimanjaro wanafuga na wanauza nyama na maziwa yakeHivi bongo hapa Ngamia wapo??
Anachinjwaje? Analiwaje? Ukiwa umesimama au umelala kifudifudi?
Kwanini anahusishwa na mambo magumu?
Normads have brought a confusion. Walikuwa wanawatumia sana jangwani