Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Wale nao walikosea ktk kupaparika, jamaa akawaumbua woiiiiiiih
Wanajifanya kufake, dunia haina siri bhana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii hebu tuelezee kwa undani ilikuaje maana Warumi angekuwepo angeleta uzi hapa kuwa ameenda hadi msibani 😂
 
Shukranu mkuu, pia nitajibu hilo suala pia.

Sio kweli, hama wewe ni straight, hata ukiingiliwa kwa nguvu, au ukabakwa , hiyo haitachange anything, sana sana utakua affected tu kisaikolojia, ila bado utapenda madem kama kawaida na pia utaerect. Wasichojua watu ni kwamba hata gays wana erect pia, hao ambao hawaerect kabisa pia wana matatizo tu mengine lakini sio sababu wanaingiliwa, sio kweli.
 
Shukrani mkuu, yes nilijiandaa kupokea hizo hasira na kejeli na maswali yasio na msingi.
 
Kwani what is the difference? Which is which?
Bisexual inatumika kwa mwanaume au mwanamke ambaye anajihusisha na both genders yaani yake na opposite.

Gay ni mwanaume ambaye yupo 100% involved na wanaume tu hana mahusiano na wanawake hata kidogo.

Lesbian ni mwanamke ambaye anahusiana na wanawake tu hana feelings kwa wanaume hata kidogo.

Gay ni male, lesbian ni mwanamke.
 
Hii hebu tuelezee kwa undani ilikuaje maana Warumi angekuwepo angeleta uzi hapa kuwa ameenda hadi msibani [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mie mbna maubuyu ya upande huu yapo km yote, nilishaacha, niliambiwa nikiendelea kuweka mada za hivi ntapigwa ban ya maisha.

Mbna mada km hii niliwahi weka ktk jukwaa la hoja mchanganyiko, tena nilidadavua wazi wazi. Na vingi mnoo, aaah ukafutwa uzi.

Hata hii mada mfano ndo ningeleta mie ingefutwa mda tyuuuh.
 
Duh mkuu umeshikilia ya wanasiasa, nilitolea mfano tu ndugu, wanasiasa wengi pia ni straight ndugu, haha potezea hayo mambo ya wanasiasa tafadhari.
 

Toa ufafanuzi kwenye bisexual njia panda mimi [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Siwez hayo mambo mm niliwekaga uzi umu ukafutwa wa poti wa kike nlozinguana nae kisa kutaka kunihamisha tigo pesa


Ila Pm walimiminika wanataka namba za dem ukiwaambia ni poti wanaogopa

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] wee ni liongo sanaaa khaaah.
 
Ndyoooooooh waelezeeeeee. [emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
 
umesema una girlfriend, sasa unawezaje kusex naye wakati mtu anayefirw@ hawezi kusimamishi uume?

swali la kichokozi: ukisex na girlfriend wako unaweza kupiga bao ngapi, na je uume wako unasimama imara kweli?
Niliuliza hajajibu mpaka sasa...akikuoa jibu niambie
 
Umesema ni hisia mm ni hand same najijua kwa hilo ss ww umetokea kunipenda tukaenda faraga kwa bahati mbaya ukakuta mimi niko na dushe kubwa yani tango hasa apo tupo kwa bed vpi hisia zko utazichukuliaje?

Sent from my SM-G930U using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tz siku haya mapenzi yawe ruksa, watu watatafutana Pa kukaaa.

Ila gays hawakomi kwa waume za watu, yule fidodido si aliuawa na mkewe wa danga lake. Lol
Aisee umeanza code zenu sasa
 
Kwani vilainishi hakna? Durex? KY? lube? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I loathe the idea of "doing it" reverse...not even with a woman... how come some have courage of doing it man to man?!🤮😱
Thats why is very hard to understand the situation , kama ilivyo veey hard for you or any straight to understand, then is hard also for gays to change as people think.
 
Una akili sana. Thank you for the enlightenment. I like p*u*ssy "the cookie" a lot. There is no chance nitakaa willingly nikubali kuingiliwa... ila nikawa nawaza apa kuna magereza maybe some unfortunate day nitatupwa huko... au haya mabazazi yanayofanyia uhuni wa hivyo fellow men martyr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…