Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Bora tu ufake familia zetu kuelewesha kazi mno haya mambo maana ni kinyume ,
Unaambiwa uende kwa wachungaji hao hao wachungaji balaaa,kashfa za kanisa la Roma kule Italy ndio usiseme
A fake ataweza bas? Anajidanganya huyu, nashindwa kufunguka mengi hapa, couz kasema anajichukia na anachukia hali hiyo,

Na siku ikija julikana ndo ataijua dunia vizuri, kwa sasa aendelee kusubirisha in4.

Kuna wenzie wawili walijiua baada ya mke wa m1 kuwakuta wapo chumba cha watoto wanainamishana.

Tena hawa wanaojifanya kufake ndo wanaishia kufa kwa stress, upweke na majichukizo yao.
 
Mkuu kwanza pole sana kwa tatizo nina imani unatamani kuwa kama wanaume wengine wakifurahia uanaume wao.

Lakini pia kuna kitu cha msingi sana umeongea kwamba mashoga wapo wengi hilo ni kweli.

Na kuna wengine mpaka wanakufa hatutawahi kuja kuwajua kama wwlikuwa mashoga.

Kuna point ya msingi umeizungumza kwwmba tuwajenge watoto kisaikolojia kwamba wao ni wanaume.

It is very very very very important point hii katika kuepusha mtoto.

Kinachotufanya sisi wengine tusiwe mashoga ni ile aibu kwwmba weee mimi nilawitiwe na mwanaume mwenzangu ? Aaah hapaana.

Sasq hii aibu ndio inatuepusha mpaka leo kutokufanyiwa hayo matendo.

Kwa sababu sisi hatuna hofu ya mungu ambayo tunajengewa kwenye familia ya kutufanya tuache jambo baya kwa kumuhofia Mungu,bado familia hazituweki allert kuhsu Mungu.

Ila ikiwa familia inamtambua Mungu ni vizuri pia kumueleza mtoto kwwmba mungu kakatwza na kumkuza mtoto katika hali hiyo huku ukimjengea mindset kwamba yeye ni mwanaume.

Kama ni movie awekewe zile movie za makomando,movie za kivita za zamani zile za wanaume wakipigana ambazo hazina contents za ushoga.

Movie hizo za kivita,za mapigano na ngumi na mieleka zinaweza kumfunza ukorofi lakini pia zinamjengea dhana kwamba yeye ni mwanaume.

Tuhakikishe 2atoto hawaangalii maudhui yoyote ya wanaume mashoga mtandaoni.

Mtoto hatakiwi kumuwngalia joti akiwa amevaa nguo za kike huku akijua kwamba joti ni mwanaume,hiyo inampeleka taratibu katika ushoga.

Mtoto asiangalie maudhui yoyote ya ushoga wala ya mapenzi akiwa katika umri mdogo kuanzia miezi ameanza kukaa(6-8)

Maadamu mtoto anaona hata kama ana miezi mitatu toka azaliwe ogopa sana macho ya mtoto.

Ogopa sana macho ya mtoto,ogopa sana macho ya mtoto.

Mtoto kila anachokiona hata kama haelewi lugha basi kile anachokiona anakiweka katika subconscious mind yake na baadae hizo image ataanza kuzipractice akishaanza kufanya activities za kucheza.

Ndio maana kuna watoto wana mwaka mmoja tu lakini mtoto huyo anamuweka mtoto mwenzie mbuzi kagoma na kuanza kumpush unajiuliza kaona wapi ? Kakna kwa wazee na wala hajui kwamba hilo ni jambo la matusi,lakini hajui yeye kila anachokiona anaona kwamba anastahili kukifanya..

Nimalizie kwa kusema kwamba watoto wadogo ambao hawajui kuongea wale hawaelewi lugha.

Kumuwmbia acha,usifanye,hii mbaya haelewi,so kitu cha muhimu ni wewe kumuepusha asione kitu chochote ambacho hutaki baadae aje kukifanya au aje kuwa kama kitu hiko anachokiona.
Absolutely Mkuu, umamaliza point zote hata ambazo nilikua sjui niandike vipi, shukrani, nwenye masikio na asikie na mwenyw macho aone na aelewe.
 
Mmm... Nani huyu! Yule mwenye jina la antibiotics maarufu?
Modes nimeamua kutumia ID tofauti na ambayo huwa natumia kwa sababu za privacy tu sababu ID nayotumia nafahamika personally na baadhi ya watu, kwa hivyo naomba msije ku reveal hata mkijua (the matter of privacy), nataka tu kutoa elimu kiasi kuhusu hili jambo kwa faida ya wote.
 
Mbona u sound like a Fraud?! [emoji23][emoji23]

Anyways ulicho describe hapo sio Gay person bali ni Bisexual.

Na the way umejiexpress u definitely failed kuconnect spirit yako na hii matter maana nimeshindwa kuestablish connection ya matendo yako, historia yako, hisia zako na uhalisia wa hizi tabia.

Anyways umefanya jambo zuri kujaribu kuvaa uhusika na kujaribu kutengeneza a strong message kuisaidia jamik yetu.

But kwa mtu anaelewa hayo mambo kiundani na vyanzo plus visababishi vyake, u r definitely not a match of reality.
 
Saas were uko kimkati Zaid sna mnk kma una miak 26 na ulisema ukianza hi kazi ukiwa na miaka 14 different Ni miak 8 tu sas mbna inaweEkana ukkacha na hi tabia

Binaf mm niliwai kujatlribiwa na mwinyilist mmoja wa kkkt kunitka mm nikiwa Kam fom two HV ila hakafanikiwa ingwa alikuwa nananisumbua sna na baada nikja kugundua amesha tembea na baadhi wa vijana na mm niliye mkatali alinichukiaga sna
Duh some tena maelezo mkuu, nilisex kwa mala ya kwanza nilipokua 14yrs, ila hisia ninazo since nikiwa 5 years uko.
 
Mbona u sound like a Fraud?! [emoji23][emoji23]

Anyways ulicho describe hapo sio Gay person bali ni Bisexual.

Na the way umejiexpress u definitely failed kuconnect spirit yako na hii matter maana nimeshindwa kuestablish connection ya matendo yako, historia yako, hisia zako na uhalisia wa hizi tabia.

Anyways umefanya jambo zuri kujaribu kuvaa uhusika na kujaribu kutengeneza a strong message kuisaidia jamik yetu.

But kwa mtu anaelewa hayo mambo kiundani na vyanzo plus visababishi vyake, u r definitely not a match of reality.
Bora useme wee, nilitaka niandike waraka hapa, ila tatizo mie kitunguu nanuka, moderators hawakawii kufuta au kunipiga pin.

Huyu ni bisexual sio Gay. Ndo maan hata mie pia sijataka kujisumbua kudadavua.
 
Doh, sijawahi kumtaka mkuu.
Jaribu embu uone nn kitatokea ukifanya hvyo nataka uone nni hao wanfikiria kuhusu hyo Hali Kam ya kwako huenda ikawa mwisho na wee unampenda sna
 
Kwa jinsi ulivyojieleza, itakuwa wewe ndiye ulianza. Rafiki yako ameendeleaje. Naye ni gay ukubwani?
sijui ilikuaje ila tukajikuta tu imetokea, nakumbuka ilikua ndio mala yetu ya kwanza kupata mshindo
 
Back
Top Bottom