Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Na kwanin mademu huwa wakijuwa kuwa wee Ni shoga huwa mnapendwa San n mademu hao mnafurahiana San sijui hiyo ikoje mnk nimeona Mara nyingi mfno gift sijui anakubalika San na mastar wa bongo
yeah sababu sijajua ila ni kama ladies huwaonea huruma tu gays sababu wanakua wanatengwa kiais na straight men, ila kitu nakiepuka ni hicho kua na marafiki wa kike, hapana nahisi kama naweza kua na tabia za kike kike pia, hivyo nawa avoid sana.
 
Yes, kwa sababu nimekua hivyo tangu najijua, hisia zangu ziko hivo, hata nikijaribu kuziswitch haiwezekani, labda nipretend (kitu ambacho ndio nafanya), ni kama wewe nikwambie saa hii uswitch feelings zako badala ya kupenda madem upende sqme gender, hutaweza , vivo hivyo kwangu na kwa mwingine pia, sababu hii sio tabia ila ni biological situation au fault kwa wale wanaoamini ni matatizo ya kibaiolojia.
Mkuu kwanza pole sana kwa tatizo nina imani unatamani kuwa kama wanaume wengine wakifurahia uanaume wao.

Lakini pia kuna kitu cha msingi sana umeongea kwamba mashoga wapo wengi hilo ni kweli.

Na kuna wengine mpaka wanakufa hatutawahi kuja kuwajua kama wwlikuwa mashoga.

Kuna point ya msingi umeizungumza kwwmba tuwajenge watoto kisaikolojia kwamba wao ni wanaume.

It is very very very very important point hii katika kuepusha mtoto.

Kinachotufanya sisi wengine tusiwe mashoga ni ile aibu kwwmba weee mimi nilawitiwe na mwanaume mwenzangu ? Aaah hapaana.

Sasq hii aibu ndio inatuepusha mpaka leo kutokufanyiwa hayo matendo.

Kwa sababu sisi hatuna hofu ya mungu ambayo tunajengewa kwenye familia ya kutufanya tuache jambo baya kwa kumuhofia Mungu,bado familia hazituweki allert kuhsu Mungu.

Ila ikiwa familia inamtambua Mungu ni vizuri pia kumueleza mtoto kwwmba mungu kakatwza na kumkuza mtoto katika hali hiyo huku ukimjengea mindset kwamba yeye ni mwanaume.

Kama ni movie awekewe zile movie za makomando,movie za kivita za zamani zile za wanaume wakipigana ambazo hazina contents za ushoga.

Movie hizo za kivita,za mapigano na ngumi na mieleka zinaweza kumfunza ukorofi lakini pia zinamjengea dhana kwamba yeye ni mwanaume.

Tuhakikishe 2atoto hawaangalii maudhui yoyote ya wanaume mashoga mtandaoni.

Mtoto hatakiwi kumuwngalia joti akiwa amevaa nguo za kike huku akijua kwamba joti ni mwanaume,hiyo inampeleka taratibu katika ushoga.

Mtoto asiangalie maudhui yoyote ya ushoga wala ya mapenzi akiwa katika umri mdogo kuanzia miezi ameanza kukaa(6-8)

Maadamu mtoto anaona hata kama ana miezi mitatu toka azaliwe ogopa sana macho ya mtoto.

Ogopa sana macho ya mtoto,ogopa sana macho ya mtoto.

Mtoto kila anachokiona hata kama haelewi lugha basi kile anachokiona anakiweka katika subconscious mind yake na baadae hizo image ataanza kuzipractice akishaanza kufanya activities za kucheza.

Ndio maana kuna watoto wana mwaka mmoja tu lakini mtoto huyo anamuweka mtoto mwenzie mbuzi kagoma na kuanza kumpush unajiuliza kaona wapi ? Kakna kwa wazee na wala hajui kwamba hilo ni jambo la matusi,lakini hajui yeye kila anachokiona anaona kwamba anastahili kukifanya..

Nimalizie kwa kusema kwamba watoto wadogo ambao hawajui kuongea wale hawaelewi lugha.

Kumuwmbia acha,usifanye,hii mbaya haelewi,so kitu cha muhimu ni wewe kumuepusha asione kitu chochote ambacho hutaki baadae aje kukifanya au aje kuwa kama kitu hiko anachokiona.
 
Doh haha, mkuu sio sawa kutaja majina ya watu katika jambo hili ili kuondoa mushkeri wa maswali kiasi, pia aitajibu hayo mengine sababu sio muktadha wa mada husika kuelezea hayo mkuu.
Mkuu nimetoa tu mfno bas tusema je wee ulishwai kutaka nawewe pia kumchakat boy wako anaye kuchakta na ilikuwaje
 
Mkuu nimetoa tu mfno bas tusema je wee ulishwai kutaka nawewe pia kumchakat boy wako anaye kuchakta na ilikuwaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkaka ,anatembea kike anapenda umbea huyoo.anachekesha ,muda wote analia shida ila mambo yake sijui kuna siku nilimuuliza akasema hana hisia na wanawake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] sasa mfanye awe shost ako nawee. Usimkimbie bhana lol
 
yeah sababu sijajua ila ni kama ladies huwaonea huruma tu gays sababu wanakua wanatengwa kiais na straight men, ila kitu nakiepuka ni hicho kua na marafiki wa kike, hapana nahisi kama naweza kua na tabia za kike kike pia, hivyo nawa avoid sana.
Saas were uko kimkati Zaid sna mnk kma una miak 26 na ulisema ukianza hi kazi ukiwa na miaka 14 different Ni miak 8 tu sas mbna inaweEkana ukkacha na hi tabia

Binaf mm niliwai kujatlribiwa na mwinyilist mmoja wa kkkt kunitka mm nikiwa Kam fom two HV ila hakafanikiwa ingwa alikuwa nananisumbua sna na baada nikja kugundua amesha tembea na baadhi wa vijana na mm niliye mkatali alinichukiaga sna
 
Back
Top Bottom