sijahatibikiwa nikiwa 14 yrs, ila nilipofikisha 14 yrs ndio nilifanya physical sex kwa mala ya kwanza,
Hapa naomba nishauri wazazi, tafadhari sana , watoto wakifika umli wa kubarehe muwe makini sana , usipochukua tahadhari basi unaweza kuta watoto wamefanya mwmbo ya ajabu ambayo yatawa affect kiasi, sababu hapa mtoto anakua anaendeshwa na balehe zaidi kuliko uhalisia. Mala ya kwanza kusex ni sababu nililala room moja na rafiki angu wa utotoni, sijui ilikuaje ila tukajikuta tu imetokea, nakumbuka ilikua ndio mala yetu ya kwanza kupata mshindo (kama sio sahihi kiswahili jirekebishe)