cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]VIP juma rahibu inasemaekanai Ni shoga ninkweli au siasa tu zile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]VIP juma rahibu inasemaekanai Ni shoga ninkweli au siasa tu zile
Sasa haina budi kuwakubali maana ni wengi mno ndio maana hatupati waume jamaniUnacheka nini Dina?
We huoni huyo mpuuzi ana halalisha upuuzi
Kwa Nini itokee tu kwa binadamu hata mfano kwa ng'ombe sijawahi ona hiyo Hali.Yes, kwa sababu nimekua hivyo tangu najijua, hisia zangu ziko hivo, hata nikijaribu kuziswitch haiwezekani, labda nipretend (kitu ambacho ndio nafanya), ni kama wewe nikwambie saa hii uswitch feelings zako badala ya kupenda madem upende sqme gender, hutaweza , vivo hivyo kwangu na kwa mwingine pia, sababu hii sio tabia ila ni biological situation au fault kwa wale wanaoamini ni matatizo ya kibaiolojia.
Sijajua kuhusu agenda mkuu, pia sijasema kwamba basi gays wamekua wengi na straight wamepungua, hapana, ila nilichoeleza ni kwamba, watu hawa pia (gays) wameongezeka sana na wengi hawajionyeshi , hivyo nia yangu ni kujaribu kufahamisha tu watu wajue reality ya jambo husika ili wajue kudeal nalo, sababu ukijua jambo vizuri ni rahisi pia kulikabili kuliko ukiwa hujia inakuaje."The other gender" huwa mko na audacity sana, hili jambo lipo lakini sivyo kama mnavyojaribu kulielezea, ninyi mko wengi ila wanaume ambao bado ni straight nao ni wengi sana sio kama mnavyojaribu kumanipulate, we sometimes wonder what is your agenda!
Na fantasy zenu sasa mie hoi, ohh tunalala na watu wenye hela, sijui wanasiasa sijui wenye power na blah blah ila wengi tukiangalia maisha yenu tunaishia kujiuliza mbona hayareflect mnachosema. Haya ndugu kila la heri. I'm not judging you tho...
Huo ni ubinafsi, unajuaje mtoto wako atapenda kuwa na mzazi ambaye ni gay, au una mpango wa kuendelea kufake maisha yako yote?yes napenda kua na watoto, lazima nije kua nao hata kama ni kwa kutumia surrogate mother.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aaaah wapi hapana.Mdogo wangu nikajua ni wewe umekuja na ID mpya ujue! [emoji3]
Huwa natumia pills pia, japo hajui, hutumia pills za kuboost, hivyo hua nakua na hisia sana.nikiwa nae, tena nakua very strong na naweza sex hadi akachoka mie bado. Ila pills sio nzuri kiafya na sizipendi, thats why huwa aitaki kukutana nae mala kwa mala angalau nisimeze sana hayo ma pills.Hili swala ni kweli unavyosema wanaume wengi wao tz ni magay wanafanya kwa kujificha sana ,wanaogopa jamii zetu ila siku yakiruhusiwa tutabaki midomo wazi hakuna watu watachomwa moto kama wabongo maana gizan wanavifanya mno ,bora wazungu wenyewe kama nyeusi nyeusi tu kama nyeupe nyeupe tu ,
Umetoa ushauri mzuri
Nauliza swali ukiwa na demu mnafanyaje mapenzi?hisia unapataje nisimulie hapo
Mbona mi nipoSasa haina budi kuwakubali maana ni wengi mno ndio maana hatupati waume jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]Kwakuwa umesema ni mkristo basi mimi nikukumbushe kuwa hauwi mkristo kwasababu ulizaliwa familia ya kikristo wala kwasababu unaenda kanisani au unahudhuria mikutano.
Nimependa kwamba unaukubali udhaifu ambayo ni hatua ya mwanzo ya kupona.
Sasa basi ili uwe mkristo inakupasa umpokee Bwana Yesu Kristo moyoni mwako kwa kutubu dhambi zako. Ila hili jambo kwa aina ya maisha unayoishi unahitajika msaada wa kiroho kutoka kwa mtumishi wa Mungu.
Ningependa nikuunganishe na mchungaji mmoja ambaye hafahamiki sana hapa dar ingawa ndiye hasa mlezi wa kiroho wa wachingaji wengi sana wakubwa unaowasikia hapa Tanzania.
Amini jambo moja. Mimi kabla ya kuokoka nilikuwa na mambo mengi sana yasiyompendeza Mungu na sikujua nitayaachaje. Lakini nilipotoa maisha yangu kwa Yesu alinibadilisha na kuua ile kiu ya vile vitu viovu.
Kama utapenda msaada wa kuongea na huyu mchungaji niambie nikupatie namba yake uwasiliane naye straight. Ni mtumishi mmoja mnyenyekevu sana sana na amekuwa msaada kwa watumishi wengi wa Mungu hasa wanapokuwa kwenye changamoto au wanapoanguka dhambini. Nikuhakikishie itakuwa siri kati ya wewe na yeye.
Pole sana na Mungu akurehemu.
sawa nimekuelewaHuwa natumia pills pia, japo hajui, hutumia pills za kuboost, hivyo hua nakua na hisia sana.nikiwa nae, tena nakua very strong na naweza sex hadi akachoka mie bado. Ila pills sio nzuri kiafya na sizipendi, thats why huwa aitaki kukutana nae mala kwa mala angalau nisimeze sana hayo ma pills.
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ooh..muandiko wa kiingereza[emoji4]
Elezea basi nawe huna hisia na wanaume etii 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nyie mnanivunja mbavu wallah khaaah.
Ahaaa sawa nimekuelewazinafanya, ila sijapanga kuoa , nisingepensa nizae na mtu nisie na mpango nae.