Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Huu ni uongo naoukataa mie hapa, eti kisa handsome ndo Gay akupende? Labda gays wa mchongo lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bisha ngoja aje akuchukulie uyo mshikaji wako
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bisha ngoja aje akuchukulie uyo mshikaji wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mshikaji gan? Akichukuliwa yeye ndo kataka, sio kosa la gays.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko wee unachukulia serious? Mwenzio niko ktk jokes mood khaaah
Mi nauliza maswali ya msingi wewe unachukulia mizaha.
Usiwe unajibu maswali usiyokuwa na majibu yake.

Shoga mwanamme anayefanywa nyuma anafikaje kileleni ?

Wacha Mashoga wajibu wewe kaa pembeni kama sio Shoga.
 
Mkuu swali lako hilo ni kama na wewe unataka kufika kileleni kwa kupitia mlango wa shoga…Hilo sio swali la msingi
 
Swali langu ni gumu kidogo.

Kama upo hivo naturally, kwa hio mpango wa Mungu ni nini..!? au hakuna Mungu..!? Sasa kwa nini aumbe wanawake na mashoga tena..!? Mbona sielewi...!! Au kumbe naye Mungu anakosea japo tunaambiwa misikitini na makanisani Mungu huwa hakosei ... Sasa hisia za kike kwa mwanaume zinatoka wapi kama sio makosa ya kiuumbaji...!!? Chimbeni mtupe majibu hapa ...
 
nimerudi tena maana imenifikirisha sana yaani mno...jambo la msingi la mtafute mtumishi wa MUNGU face to face ambaye unayemuamini lets say Mwakasege muelezee hali halisi na nini maoni yako pia jikane kabisa kwamba hitaji langu nimempelekea Mtumishi wa Mungu na Mungu atatenda muujiza juu yangu

Kuendelea kujificha shetani atakumiliki maisha yako yote ...ni kweli ni aibu kubwa kugundulika lakini ndipo mabadiliko ya kweli yataanzia
 
Mkuu swali lako hilo ni kama na wewe unataka kufika kileleni kwa kupitia mlango wa shoga…Hilo sio swali la msingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjibu we mwenzangu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mshikaji gan? Akichukuliwa yeye ndo kataka, sio kosa la gays.

Nakuombea yasikukute maana uyo kaniganda balaa ata nikiomb namb yake af nimpigie nashida na kiti fulani ananipa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Weka hapa huo ushahidi, kwan uzi si unahusu ushoga pia huu.
 
Nakuombea yasikukute maana uyo kaniganda balaa ata nikiomb namb yake af nimpigie nashida na kiti fulani ananipa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo zenu kuwachuna gays, mbna mnajulikana sana, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mmejaa tele mitaan. Lol
 
Mi nauliza maswali ya msingi wewe unachukulia mizaha.
Usiwe unajibu maswali usiyokuwa na majibu yake.

Shoga mwanamme anayefanywa nyuma anafikaje kileleni ?

Wacha Mashoga wajibu wewe kaa pembeni kama sio Shoga.
Kwan mwanaume anaifikaje kileleni?
 
Honestly speaking this time gays wamekuwa ni wengi mno.. Yani wanaongezeka sana Kama ni mtu wa viwanja lazima utakubaliana na mimi..

Miaka michache iliyopita nilipata kutongozwa na gay mmoja kwenye wizara moja nyeti tena yupo makao makuu kabisa.. jamaa aliniambia nimla atanifanyia mpango niwenae ofisi moja bila chenga mixer video call na picha za ajabu.

Nilichofanya nikamchana kuwa Niko straight.. baada ya hapo nikamuuliza kwanini awe gay wakati anauwezo wa kupata watoto wakali ukizingatia pesa ipo.. ndipo akanihapa mkasa hadi kuwa gay

Ni kwamba alipelekwa kusoma nnje(Canada) kule hostel na wazungu wakawa na michezo yakulana koni n.k

From there hatamani tena mwanamke.. ingawa Kama jamaa hapa anavyoongea anae demu wa kizugia.

Alinisumbua Sana ikabidi nimle block..

Mtu Kama huyu huwezi sema alizaliwa gay..

Lakini ni mazingira ya nnje yamemfanya kuwa shoga..

So wazazi kazi ya kulea msiikimbie.. sio boarding,madrasa wala kanisani kuna usalama huko kote shetani yupo Yani anaaubiri jitu liteleze.

All in all Kama ukiacha u Gay haufi ni kheri uache tuu.. mshahara wa dhambi ni mauti[emoji1431]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi nyie straight mnajua mnachekesha sana?
 
Mkuu swali lako hilo ni kama na wewe unataka kufika kileleni kwa kupitia mlango wa shoga…Hilo sio swali la msingi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila amekupa onyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndo zenu kuwachuna gays, mbna mnajulikana sana, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mmejaa tele mitaan. Lol

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tema mate juu
Yy kasema ukiwa nashida ni [emoji338]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila amekupa onyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] muhisika yuko bed anakunwa kinyeo na basha wake, watu wanapovukwa na comments hapa lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…