Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Pole sana mkuu....

Endelea kumlilia Mwenyezi Mungu akuondolee hiyo tabia....kwa moyo mweupe....kwa kujishusha kwake na kumlilia mwambie kuwa hakuna wa kuweza kuondoa hilo isipokuwa yeye.....mueleze na urudierudie mara nyingi hivyo hususani nyakati za usiku mwingi.....

Mwenyezi Mungu akuondolee hali uliyonayo ,amen🙏

#YetzerHatov
 
kwa sababu mwenyewe pia unachukia hali hiyo na huipendi.....iambie nafsi yako na ulikatae suala hilo pamoja na kumuomba saana Mungu specifically akiepushe na hilo, muombe sana Mungu....

InshaAllah mwenyezi Mungu akuepushe na hilo pia atuepushe woote na familia na vizazi vyetu juu ya hili.
 
Aaamin🙏
 
Dah.pole sana ila now days naskia kuna dawa ya kutibu hizo hisia zinaitwa homofil kama skosei ni za uturuki.
Hilo ndilo suruhisho, sasa mtu kama hataki hizo dawa basi yeye alishanogewa na ushoga,
 
Hivi wewe kama ni me unaweza kuacha kupenda, yaan maisha yako yote usimpende mwanamke? labda uwe jela, nao mashoga wako hivyohivyo, njia sahihi ya kuacha ushoga ni kumeza dawa kama zipo.
 
Bharka Bharka Uko DEEP sana kaka katika Medani za U"Gay na uelewa wa kutosha coz ulichoandika mtu mwenye akili akisoma tuu lazma apate kitu.....

#Nikiwa Kama Curious Men [{MWAMBA}]....[emoji848][emoji848][emoji848] aah au basi!

[emoji3060][emoji3060][emoji3060]
 
Daaa pole sana mkuu, afu nimekuhurumia sana aisee daaaaah. Nlitamani san kula jichi dem wangu akanitunuku mwezi uliopita hii kitu ipo overated wala sio tam sana kama watu wanavyoisifia. Na yeye ndo ilikuwa mara ya kwanza akasema nlitaman pia kujaribu
 
inamaana mwanajeshi anasimama ila hutaki kumtumia ? kisa unapenda wanaume na sio mademu ? sasa hapo unalaumu nini watu
 
......gay na gay wanasex, mmoja anamshawishi wasitumie condom, bila kujua anamuambikiza mwenzake let say HIV, huyo mmoja anaenda tena kusex na mwingine, anamuambukiza pia, huyo mwingine ni straight ila curious , anenda kusex na gay anaambukizwa, nae anaenda kumuambukiza girlfriend wake, ambae huyo girlfriend ana mchepuko pia ambae ni mume wa mtu, nae anaambukizwa , nae anaenda kumuambukiza mke wake nyumbani, hatimae unafikiwa.........

...samaki mmoja akioza na wengine wote wanaoza..

ngumu kumeza
 
Sijaona sehemu kuonyesha umetumia jitihada gani kujitoa kwenye hali hiyo, kwa maana unaifurahia japo unatumia mwamvuli wa kulaumu hisia zako.

Lakini pia, naona unapigania sana NGOs. Hizi NGOs ndio zitaharibu watoto watakua wakiamini kwamba ushoga ni sehemu ya maisha na wao wanaweza kuchagua kua mashoga.

Kama hizo NGOs kazi yake ni kuwafundisha kufanya ngono salama badala ya kuwafundisha kujikwamua kutoka kwenye ushoga, hatuzihitaji kwakweli.
 
Aise kutolewa na Madirid uefa kumeniuma sana ila wewe kuwa shoga kumeniuma kinoma sana Yani ..dah ata sijui niseme Nini aise, kwenye Ile site yenu ya PAMOKO kule ndio chimbo lenu siyo?!
#CFC💙💙💙
 
Thanks mkuu, kiukweli sijawahi kupenda hii hali, na ningekua na uwezo ningejibadilisha niwe kamili , ila sijaweza, nimeamua kuishi kwa kupretend angalau nisiwe aibu kwa familia na jamaq na marafiki, naogopa siku wakujua nitapoteza wengi sana.
Vip kuhus manzi Ako, Huwa unamkazaga? Yani ukiwa gay unaeza dindisha mshedede ukasimama?
 
Nimeenda kwa psychologist kama wannw hadi sasa, kweli baada ya hizo session unaona unaweza kujaribu, lakini baada ya muda hisia zinazidi mwili na akili, well it shall be well one day i hope.
Mungu akusimamie kwa hili utapata faraja unayostahili
 
rikiboy njoo umfundishe kijana mbinu za kula tunda kimasihara mbususu tamu afu ukutane na bonge bonge

Pole sana, ila acha bhn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…