Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Hizi ndo comment zilitakiwa kwenye huu uzi nadhani ndo lengo la Barkh ila kama kawaida ujinga umekuwa mwingi
 
Halafu watu wanakuja na hadithi,tuombe Mungu atuepushe na kikombe hiki
 
Nimepata point za msingi sana.
Jambo moja tu hujaeleza hapa ambalo sina jibu lake.
Unaweza kusex na demu kawaida?
Maana huwa tunasikia hamuwezi kufanya hivyo
 
Huyu ni suala la muda tu si ana tamaa
 
Hujaongelea utandawazi kama source kubwa kabisa ya tatizo hili kwenye jamii.
 
14 ni umri mdogo sana kujua kuhusu hisia hasa kwa mtoto wa kiume na watoto wengi wa kiume wanachelewa kubalehe. Wewe uliharibiwa hukuzaliwa hivyo huo ndio ukweli halis ndio maana hiyo hali huipendi. Hakuna mtu anayezaliwa gay THE DEVIL IS AT WORK. ILA NIKUPONGEZE UMEONGEA VITU VYA MUHIMU SANA
 
Tatizo wabongo tumejawa unafiki sana huwa hatupendi ukweli. Na tukiambizana ukweli tunachukia tunajidai hivyo vitu havipo wakat vipo na tunaviona kila siku
 
Nimesoma nikarudia tena, tena nikasoma na nikarudia tena, alafu nikasoma tena alafu nikapiga magoti na kusema Mungu mwenye nguvu ambae una sifa zote na hufananishwi na chochote simama nami usiku na mchana asubuhi hata jioni.

Simama na ukoo wangu, simama na ndugu zangu, simama na watoto wa ndugu zangu, simama pia na watoto wangu watakaokuja.

Simama na taifa langu Tanzania, simama na Viongozi wote watendao kwa haki bali waovu walipe sawa na matendo yao, Mimi ni mwanadamu sijakamilika na bado nina dhambi nyingi ila nisamehe katika hizo, nasimama mbele zako nikihitaji msaada wako maana u rafiki mwema kwangu daima.

Nikurudishie nini Bwana kwa wema na fadhili zako ulizonitendea tangu kuzaliwa kwangu hata sasa bado wanilinda na dunia hii. Ahsante kwa upendo wako Mungu Ahsante kwa ulinzi wako.

Nakosa lugha nzuri ya kukueleza Muumba mbingu na nchi bali moyo wangu naumimina kwako kwa shukrani daima😥😥😥😥😭😭😭
 
Bharka
Pole na masahibu yanayokusibu.
Ninesikitika umeamini uongo wa shetani kuwa ulizaliwa hivyo. Hii sio kweli.

Pili tumaini pekee kwa mashoga ni Yesu Mnazareti. Keshabadilisha mashoga wengi sana. Nakuhakikishia kama utaamua kumtafuta kwa bidii, atakutoa huko na hutaamini.

Nje ya hapo hakuna tumaini.
Mungu alikuumba rijali wa kiume, akitegemea siku uongoze familia. Na bado hilo linawezekana ukimtafuta Yeye kwa msaada.

Nakuombea macho yako yafunguliwe!
 
Duh!! Unapataje mshindo sasa?

Possibly sijui mambo mengi. [emoji3064][emoji3064]

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Yes, kwa sababu nimekua hivyo tangu najijua, hisia zangu ziko hivo, hata nikijaribu kuziswitch haiwezekani,
Tafuta msaada ndugu yangu. Unahitaji msaada.
labda nipretend (kitu ambacho ndio nafanya), ni kama wewe nikwambie saa hii uswitch feelings zako badala ya kupenda madem upende sqme gender, hutaweza , vivo hivyo kwangu na kwa mwingine pia,
Nakusihi tena tafuta msaada
sababu hii sio tabia ila ni biological situation au fault kwa wale wanaoamini ni matatizo ya kibaiolojia.
Kisayansi hakuna gene inayosababisha ushoga au usagaji. Ni tabia. Na tabia inaweza kuanzwa na kuachwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…