Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Basi andika in a summary hata kwa kugusia kwa mbali tu.
''where we dare speak freely''
Labda ni nyie wenzangu, ila mie humu nikiandika mada ya hivi uzi unafutwa, na mie naweza kupewa onyo.

Wakati wa shindano la story of change, nliandika mada ya hivi pia, nkaishia kupigwa ban ya 2 months, na uzi kufutwa. Nakuja kurud hapa shindano lishaisha mdaa.

Kilanga komo na kiliiniisha now sitaki mie, niliambiwa nikiwa mbishi kitachofuata n ban ya maisha, nawasoma wenzangu tyuuh now.
 
Mshindo ulipata wakati unashughulikiwa? Au nawe ulimshughulikia rafiki yako ndio ukapata mshindo?
 
Mmmmmh wee sasa hapo ulikuwa unataka uwe versatile, uonje ladha zote? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu mnafunguka tyuuh.
 
Ah kudadeki! Pole kwa majanga, pia props kwa elimu uliyotoa.

I got a phobia for dudes playing for the same team, but I got no qualms with y'all, just keep y'all shit private (literally and figuratively).

Tatizo letu wengi (wabongo) ni unafiki na ujinga. Binafsi nikialikwa mtanange wa wadada wanaocheza same team, nahudhuria bila maswali, iwe kama referee, mtazamaji, au mshiriki. Na siku my little girl akikua akaamua kuwa alphabetic, I'd be a little disappointed but not mad at all.
 
Mmmmmh wee sasa hapo ulikuwa unataka uwe versatile, uonje ladha zote? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu mnafunguka tyuuh.
Hapana, sikujua chochote kabla, nafikiri unafahamu si rahisi kuzuia hisia ikifikia hatua kama ile, ila nashukuru sijawahi tamani shoga tangu niwe mbali na huyo rafiki yangu.
 
Andika huo uzi alaf umtumie humu mtu yeye ndio aupandishe hewani

NB: awe mtu ambaye yeye huwa azinguliwi
 
Hapana, sikujua chochote kabla, nafikiri unafahamu si rahisi kuzuia hisia ikifikia hatua kama ile, ila nashukuru sijawahi tamani shoga tangu niwe mbali na huyo rafiki yangu.
Yeaaah ni kweli pia hili, na hongera pia.
 
Andika huo uzi alaf umtumie humu mtu yeye ndio aupandishe hewani

NB: awe mtu ambaye yeye huwa azinguliwi
Naona sio muhimu sana, coz wanasema hilo jambo halipo, ila watu ndo wanaliongelea kulikuzaa, nimeamua kuchagua kuwa kimyaa, kuna maisha nje ya ushoga..
 
Kabla ya tv kulikuwa hakuna ushoga?
Ulikuwepo lakini kwa mazingira yetu ya kiafrika ushoga haukuwepo. Maendeleo ya sayansi na teknolojia imekuwa chachu ya kuenea ushoga kwa kasi zaidi.
 
Unampelekea moto kisawasawa??

Asante kwa elimu nzuri uliyoitoa. Wazazi tunapaswa kuwa makini Sana na malezi ya watoto wetu..
 
Ulikuwepo lakini kwa mazingira yetu ya kiafrika ushoga haukuwepo. Maendeleo ya sayansi na teknolojia imekuwa chachu ya kuenea ushoga kwa kasi zaidi.
Nakazia

UTANDAWAZI.

afu mtu anasema alizaliwa hivyoo lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukiwaiza wa prove wanaleta blaah blaaah. Woiiiiiiih
 
Huyo mpenzi wako wa kike ulishawahi kumuonea wivu? .
 
Yes huwa tunasex sometimes, japo sio mala nyingi, najua pia anachepuka lakini i dont mind at all.
Huwa unatumia mkuyange wako au hizi dilido halafu vipi hata ukimwagia ndani ya kipochi manyoya haupati mzuka wowote yaani unakuwa kama unapiga tu mswaki
 
Alivyosema huwa anaandika kiingereza on his other ID, I was like Roger is in deep shit hahaa!
 
Huwa unatumia mkuyange wako au hizi dilido halafu vipi hata ukimwagia ndani ya kipochi manyoya haupati mzuka wowote yaani unakuwa kama unapiga tu mswaki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] nyie maswali yenu sasa khaaah.
 
True
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…