cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Labda ni nyie wenzangu, ila mie humu nikiandika mada ya hivi uzi unafutwa, na mie naweza kupewa onyo.Basi andika in a summary hata kwa kugusia kwa mbali tu.
''where we dare speak freely''
Wakati wa shindano la story of change, nliandika mada ya hivi pia, nkaishia kupigwa ban ya 2 months, na uzi kufutwa. Nakuja kurud hapa shindano lishaisha mdaa.
Kilanga komo na kiliiniisha now sitaki mie, niliambiwa nikiwa mbishi kitachofuata n ban ya maisha, nawasoma wenzangu tyuuh now.