Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Hukusoma shule flani ya Jw au Monduli?
 
Thanks mkuu, kiukweli sijawahi kupenda hii hali, na ningekua na uwezo ningejibadilisha niwe kamili , ila sijaweza, nimeamua kuishi kwa kupretend angalau nisiwe aibu kwa familia na jamaq na marafiki, naogopa siku wakujua nitapoteza wengi sana.
Unahisi huwezi badilika?
 
Promo hii wenzake walishaanzaga kitambo sana na nyuzi zao id ndio nazisahau mmoja wao ni huyu Culture Me
 
Be Proud, Be Strong, Be Confidence, Stay Healthy, Invest More Money, Go on Vacations, Have a Pet(s), Life is too beautiful to be anything but HAPPY.
 
Huyu kiumbe kwanini anavumiliwa hapa? Lengo lake huyu ni kuaminisha jamii kwamba kuna watu wanazaliwa wakiwa wameumbwa mashoga na masagaji.

Huu ni uongo na ufedhuli wa mchana kweupe. Yani wewe ni mtu wa nchi jirani hapo. Umeajiriwa na NGO inayotaka kupata kukubalika hapa Tanzania. Umeleta mada kutengeneza credibility.

Tumeshakujua wewe abominable creature na tunakumaliza juu kwa juu. Huu ushenzi peleka hukohuko.

JF hapa imetumika vibaya sana kutangaza na kuweka hii mada katika kumbukumbu. Maxence Melo

Mwisho wako unakuja.
 
Duh toba yarabi!mungu Tuepushe[emoji28]
 
Binafsi naona jamaa ameeleza hali halisi ndani ya jamii yetu na kutoa ushauri ambao nahisi tungejikita hapo, kutukana kukejeli hizo ni stress za maisha na haimaanishi hii tabia haipo la msingi ni kuchukua taadhari kwenye jamii inayokuzunguza, tunapoelekea tutalinda watoto wa kiume zaidi kuliko wa kike blv me
 
Majibu ya maswali yako nliwahi kuleta uzi ulisheheni kila kitu, ila ulifutwa, na niliambiwq kuwa nikiendelea kuandika mada za hivi ntapigwa ban ya maisha.


Siku nikiamua ntakuja na uzi wangu pia mie.
Kwamba na wewe wanakula kisamvu??
 
Duh sijuagi na haiingii akilini yaani mwanaume unaingiliwa nyume tuone Jambo la kawaida hebu tuzidi kumuomba mungu atunusuru na janga hili
Sio jambo la kawaida ni jinsi walivyoumbwa (according to wao wenyewe).
Ni kama vile mtu akizaliwa mlemavu wa akili, au wa kiungo chochote mbona hao hatuwapigii kelele?
Kitu kikishahusisha kiungo cha ngono ndo utaona watu wanapiga kelele.
Mi nadhani tuwaache tu Mungu mwenyewe anajua kama ni kweli ipo hivyo au si kweli..

Mimi huwa nashindwa kujudge kitu ambacho kinahusu hisia.
Kama kuna la kufanya kuwalinda watoto wetu tufanye ila ikishindikana basi hakuna namna.
 
Hilo tatizo lako linaweza kuisha japo utakuwa na watu sahihi hasa rafiki utakayemwamini na awe mtu mzima anaweza kuendle secret. Tatizo lako litaisha
 
Mdau umeandika kwa hisia kweli kweli lakini kiuhalisia ushoga umekuwa janga kwa jamiii yetu hasa kipindi hiki.. Nashauri usiwe mwepesi kuhukumu.

PAMOJA NA YOTE:Ametoa ushauri mzuri pia. Hasa kuwafunza watoto wetu maswala ya utambuzi wa jinsia zao kama njia ya kuwaepusha balaa hilo.
Tusione ufahari tukiona watoto wetu wa kiume wakivaa nguo, viatu za dada zao au kujaribu kuiga haiba za kike.(samaki mkunje angali mbichi)

MY TAKE: Sanaa za kina joti, jaymondi n.k. ambao sanaa yao inahusisha kuvaa uhusika wa kike.. sio wakuwaendekeza kwani wanaweza kuwa kichochezi cha ushoga..
 
Kuzaliwa na hisia za kike sio tatizo,tatizo ni kujiingiza kwenye matendo ya kufirw.a hapo ndipo uliharibu,14yrs ni mkubwa sana ungeweza kushare hisia zako kwa mtu wa makamo ambaye ni ndugu wa karibu unayemuamini na angeweza kukusaidia,ila kukubali kupigwa pu.mbu ulipenda mwenyewe na hiyo ni AIBU kubwa sana kwako na kwa Familia yako,na haina MSAMAHA,ishi nayo hii!!
 
Wazazi wawe makini na shule za boarding ni za kuziogopa sana huku ndipo chimbuko la tabia izi mtoto anarudi likizo mwezi tu baada hapo shule kinachoendelea ujui lesbians na gays huko ndipo wanapojifunzia nishawahi ona

Ushoga unafundishwa vipi mkuu?

Yaani kirahis rahis tu mtu akufundishe kwamba ukiona dume mwenzio yuko uchi udind*she?

Au akufundishe kushikikishwa ukuta?

Sidhani kama ni rahisi kiasi hicho
 
Kuna tofauti ya ubongo wa gay na wa straight,,,madaktari wa ubongo wanajua hilo (Neuroscientists) Kwahyo ushoga sio tabia ya nje ni kitu cha ndani kabisa....na wanazaliwa hivyo
Acha utapeli wa mawazo,naona mnajaribu sana kuhalalisha hii issue ili ionekane kama ni kawaida. Ukiongea upuuzi kama huu mbele yangu nakulima ngumi ya mdomo.
 
Acha utapeli wa mawazo,naona mnajaribu sana kuhalalisha hii issue ili ionekane kama ni kawaida. Ukiongea upuuzi kama huu mbele yangu nakulima ngumi ya mdomo.
What do you know about neuroscience? Kama huna fact yoyote ya kisayansi pita hivi...sibishanagi na watu wa la 7 b
 
haya mambo mi hata siyaelewagi

yaani ulipata mshindo baada ya kukuingilia au na wewe ulimgeuza??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…