Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

yes nina girlfriend , hajui kama niko hivyo, pia relationship yetu imekua complicated, sababu ananipenda sana ila anahisi simpendi , sababu hata kumpigia simu sometimes zinaweza pia hata 3 days asiponianza nimtafuti, hajui wala hajawahi kuhisi.

Yes huwa tunasex sometimes, japo sio mala nyingi, najua pia anachepuka lakini i dont mind at all.
Na kwenye show huwa unasimamia haswaa au kawaida tu? Na uje una uwezo wa kupiga bao ngapi? Na wakati unapizi hausikii raha yoyote?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] wee nimecheka km mwehu hapa, sasa nitumie I'D nyingne kufungua uzi wa hivi ili iweje?

Sasa mie 14 yrs hata mboo ya mwanaume sijawahi iona, khaaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeiona ukiwa na umri gani?
 
Kiukwel mie ni muhanga wa kusumbuliwa sana na hawa mashoga, ni wengi mnoo....
Ila kuna mmoja ana kampuni ya Tours (anapeleka wabongo nchi za nje) kwa kumuangalia ni mwanaume kabisa na tulianza mazoea kidogo kidogo mwishowe yakazidi.

Kuna wakati alisafiri kwenda USA na tulikuwa tunawasiliana mara kwa mara na wakat anarudi alininunulia simu Samsung S10+ wakati ndio zinatamba. Sasa wakati wa kuchati ikawa makopa kopa kwa sana ikabidi nimuulize babu vipi mbona sikuelewi pigo zako mwanangu. Ndio akaniambia ukweli kuwa ananipenda sana na yupo tayar kunifanyia chochote.....

Kiukwel nilichoka sana, sasa ndio akawa analazimisha nionane nae ila nikawa namgomea, kuna siku akawa anaandaa tour ya Dubai akaanza kunishawishi kuwa nimkubalie atanilipia kila kitu ili nikamgongee huko Dubai ila nikamkatalia, na ushahidi wa screenshot ninao ila nahofia kuweka humu maana nahisi jamaa na yeye atakuwepo JF.
 
Ni ndefu kiasi ila jitahidi umalize.

Natumaini Wote Mu wazima wa afya, kwa walio wadhaifu basi Mungu awaponye na awatie nguvu tena.

Modes nimeamua kutumia ID tofauti na ambayo huwa natumia kwa sababu za privacy tu sababu ID nayotumia nafahamika personally na baadhi ya watu, kwa hivyo naomba msije ku reveal hata mkijua (the matter of privacy), nataka tu kutoa elimu kiasi kuhusu hili jambo kwa faida ya wote.

Kwanza niwape pole wazazi au familia ambazo wamekua na mmoja wa familia ama mtoto mbae labda ni gay/shoga na wameumizwa na jambo hilo,najua sio rahisi kuli handle, ni fedhea hasa katika jamii zetu, ila napenda kuwaambia msijione labda ni wazazi wabaya, au labda hamjui kulea, is not your fault.

Dhumuni kuu la kuanzisha hii thread si kwa ajili ya kuongelea uzuri au ubaya wake ila ni ili kutoa a simple knowledge ya jambo husika (gay) na ili pia niweze kuwapa mwanga wazazi na watu ambao jambo hili limekua likiwachanganya na kuwahudhunisha na labda jinsi ya kuokoa watoto pia. Kwa maana nimesoma maoni na mada nyingi ambazo huandikwa humu na maybe 80% ni very wrong na si kwa ubaya bali ni kwamba wengi hata hawajui jinsi inavokua na kwa kutokujua inafanya hata wasiweze kujua chanzo, na jinsi ya kuepukana na hilo. Nimeonelea mayb ni vyema kama mtapata kitu kutoka kwa real person who have real experience.

Karibu👇
Wengi wangependa kujua kuhusu mimi, watu wengi wamekua wakijiuliza mtu anakuaje gay, ukiniuliza nimekuaje gay sina jibu kamili kuhusu hilo swali, hata ukiniuliza nilianza lini kuwa gay sitakua na jibu sahihi.

KUHUSU MIMI
Ni kijana, kwa sasa nina 26 years, nimesoma hadi degree, ninafanya kazi nimeajiliwa mahali, sitarajii kuoa soon wala sijawahi kuwaza kuhusu hilo japo mama anaexpect soon nimletee daughter inlaw, hajui kama kijana wake ni gay na wala hajawahi kuhisi, sababu ukiniangalia kwa macho mimi mwanaume kamili, sina girlish behaviour, nina marafiki almost wote ni straight, na wao pia hakuna mtu anajua kua im gay, nina girlfriend pia, napenda kuvaa casual na sitembei kiajabu ajabu niko very normal in my formal life, ila nina boyfriend pia, lakini nina girlfriend pia wakuzugia (yes na hii siifurahii sababu nafanya kuridhisha marafiki na wazazi ili wasihisi chochote na pia sitaki kuwaudhi wala kuwadhalilisha ndugu zangu kwa jambo ambalo najua kabisa jamii yetu haipendi japo ndivyo nilivyo).

Sijawahi kufurahia kua gay hili niweke wazi, na siwezi taka mtu awe, and im not proud of it na siwezi taka mtu wangu wa karibu ajue that im gay, na wala siwezi taka mtu awe gay, ila siwezi kujizuia, ni automatically nimezaliwa hivyo, hakuna mahali nilijifunza au story za vijiweni labda nilifanyiwa vitendo vya ukatili hapana , nachojua ni tangu nikiwa mdogo sijawahi kuwa na hisia na msichana hata kidogo nimejaribu kujifunza sana jinsi gani nihamishe hisia zangu, lakini nimeshindwa, sababu mpaka leo ukiniwekea msichana mrembo sana mbele yangu na mwanaume handsome mbele yangu kitakachotokea ni kuwa mwanaume atateka akili yangu yote, msichana taona tu ni mrembo its fine, hata awe amevua nguo maybe sitaweza hata kumuangalia sababu nitaona is disgusting. Ila yule mwanaume nitakua ni kama vile ambavyo mwanamke akiona mwanaume handsome anavofeel. Natumai umepata picha japo kidogo.
Niliwahi kudhamilia kua straight ila nikashindwa, hisia kwa girls ni sifuri kabisa, natamani ningekua kama wanaume wengine ila nimeshindwa, yani automatically tu, na mahitaji ya mwili yako pale pale.

KABLA NIANDIKE MAMBO MENGINE MENGI, TAFADHARI ZINGATIA HUU USHAURI.

SOMA KWA MAKINI JINSI YA KUEPUSHA WATOTO NA MASWALA HAYA (hapa zaidi kwa wale ambao sio natural born ila wanataka kujaribu)

1- hakuna mzazi au mtu anaweza kuzuia kabisa lisitokee zaidi ya Mungu, hivyo jambo la kwanza kabla ya yote ni kuombea familia yako Mungu awaepusha kizazi chako.

2- Wengi hawapendi kuongea na vijana wao kuhusu masuala ya gender na masuala ya mahusiano na masuala ya sex, hii ni mbaya sana, sababu unampa uwanja mkubwa kijana ajifunze hayo mambo mtaani, wazazi msione aibu kuongea na watoto wenu, siongelei wakiwa wamekua, hapana ila wakiwa wadogo kabisa ongea nao, waambie wewe ni mwanaume na wewe binti, mwambie wewe mwanaume usikubali mtu akufananishe na mwanamke, muelezee yote yanayompasa kutenda kama mwanaume, mwambie mambo ya kuingiliwa sio yako, pia muelekeze kuhusu afya yake, matumizi ya condon, nchi za qwnzetu haya wanafundishwa hata shuleni , ila huku bado ni taboo kuongelea , ongeeni na watoto wenu kuhusu sex na yanayohusu jinsia yao.

3- Usikubali mtu yoyote amfananishe mtoto wako wa kiume na msichana, au kumsifia wewe ni mrembo, mwambie na umfundishe mtoto ako kabisa kua wewe ni wa kiume, wewe sio mrembo, mtu akikuambia hivo manaake anakutukana na anakudhalilisha, mtengenezee mindset mtoto wako ajione yeye ni mwanaume ,jambo lolote linalomfananisha na mwanamke achukulie ni matusi na dharau, nataka kusema tu kua hii mindset game inasaidia sana mtoto kujizuia hata kujaribu mambo furani sababu ameshaweka kwa akili yake kua ni kitu kibaya, na hii itafanya hata kuwa vigumu kushawishika. (nitelezea chini zaidi)

4- Mtoto akiwa mdogo, tafadhari wewe mama, dada, kaka, baba, ukiona anapenda vitu wanavyopenda wasichana, anapenda kujaribu jaribu viatu vya kike, rangi za kucha, sjui midoli ya princes , ama kuiga waschana either wanavotembea au kuongea, usifurahie , hapo kengele ilie kichwani mwako, hapo fanya jitihada zote kumnusuru mtoto katika umri huo mdogo, akipita hapo, basi huezi fanya kitu tena. Kuna watu watasema mbona wangu alikua hivyo na sasa sio gay, nakwambia ni gay ila incloset like me, ila huezi kujua sababu anafanya iwe privacy. Kama huamini, fanya jambo moja, hakiisha una unlock simu yake bila yeye kujua na fatilia emails, texts, whatsapp, browsing history etc, utapata kitu hakika.

Jambo la mwisho ni kufatilia mienendo ya watoto wenu, hapa nimesema kabisa , kama mtoto ni gay atakua gay tu huwezi zuia ila kwa kumtegemea Mungu peke ake, ila angalau ukifanya hayo ya juu , utamuokoa mtoto wako na familia yako kutoka kwenye fedheha na aibu ndogo ndogo na kubwa, sababu ni afadhari awe gay na usijue pia watu wasijue iwe siri yake kuliko ukute mwanao amevaa kama mwanamke anakatiza mitaani na makeups, ama uone watu wakimdhalilisha nitandaoni sababu ni gay, hiyo inaumiza zaidi.

HAYA CHINI NI MAONI YANGU NA EXPERIENCE YANGU NA PIA UFAFANUZI WA BAADHI YA MASWALA PENGINE UNAWEZA KUJIFUNZA KITU NA KIKAKUSAIDIA KUJUA JINSI YA KUHANDLE.

Kuna watu nimeona humu wanacomment kua gay unaweza mtibia hospitalini, kwamba unampeleka gay anaenda kupigwa bomba sababu akiingiliwa anakua anawashwa huko kwenye haja kubwa hivyo akiwashwa anatafta mtu wa kumuingilia, HII STORY SIO UKWELI

Kua gay ni suala la hisia zaidi , wala sio swala la kuwashwa, ni hisia, badala ya mtu kupenda jinsia tofauti anapenda jinsia yake, hii story ya vijiweni itafanya kweli wazazi wahangaike kupeleka mtoto wao akapigwe bomba ili aache kua hivyo na kumbe wanapoteza tu pesa na muda bure, hii story ya kuwashwa sjui hata watu wameitolea wapi.

Nimekua gay tangu niko mdogo, naongelea kihisia yani kupenda same gender, ila mala yangu ya kwanza kusex ilikua wakati nipo na 14 years, miaka hiyo yote hadi nafikia miaka 14 sikuwahi kuwashwa huko, na hata baada ya hiyo first time sijawahi kuwashwa , sababu hisia zinatoka ndani sio huko, ni kama msichana akimpenda mvulana , sijui kama hua anawashwa huko chini, nachojua ni hisia tu, anampenda mtu na anatamni kua nae, pia huko iko hivyo. Hakuna gay anaewashwa huko chini ndio atake kuingiliwa, hivyo hata ukipata mwanao yupo hivyo hio sio solutuon hata kidogo. Watu wanaopigwa bomba ni wale waliokua assulted , na wanatoa zile sparm kwa njia ile ili kuepusha maambukizi yoyote uko kwenye haja kubwa kama fungus au magonjwa mengine kama aliemuingilia alikua na magonjwa, na mtu akiwashwa huko basi ni kwa sababu amepata maambukizi either ya fungus au bacteria , ndio anakua anawashwa thats why anafaa akapigwe bomba, hata wasichana wakibakwa na wakalawitiwa pia hupigwa bomba kuepusha hizo infections.

Suala lingine watu wengi wamecomment ni suala la kusena ati vijana wanajiingiza kwenye ushoga sababu wanapenda maisha mazuri hivyo wanakubali kuingiliwa ili waishi maisha ya starehe na wanajiuza sjui na nini. Huyo anaefanya hivyo ni prostitute tu kama ilivyo kwa straight wanaoamua kujiingiza kwenye ukahaba ili wapate pesa. Nachoweza kusema ni kwamba hakuna mtu anaejibadilisha kua gay, maybe yes hao wa hivyo wako ni kama straight people tu, sio kila msichana anajiuza ila wako wanaojiuza kwa sababu zao, the same kwa hawa gays pia wako wanaojiuza ila wengi pia hawajiuzi wala hawafanyi sababu wanataka pesa ama nini hapana.

Mfano kuhusu mimi, nimetokea familia yenye uchumi mzuri, nimesoma, ninakazi yangu nzuri yenye mshahara mkubwa, nina kila kitu cha muhimu ambacho vijana wengi au watu wengi wangependa kumiliki pia na vyote nimevipata kwa kupambana, na work very hard, namake sure sikati tamaa wala kutegemea favour ama kutarajia kitu kutoka kwa boyfriend, NO, unawezaje sema nimekua gay sababu nataka mteremko sjui maisha mazuri? Hivyo hiyo dhana muachane nayo, wazazi deal na hisia za mtoto, usijefikilia labda hujampatia maisha mazuri ndio kawa hivyo, hapana, tena wengi walitoka familia bora ndio wanakua hivyo, ni sababu wanazaliwa hivyo.

Pia kuna watu wanasema kwamba mtu anakua gay sababu labda aliingiliwa kwa nguvu akiwa mtoto labda aliingiliwa na mjomba ama sjui nani ndio akawa hivyo, hii pia ni uongo, kwa sababu kuna watu waliwahi kulawitiwa wakiwa wadogo au hata wakiwa wakubwa ila hawajawahi kubadilika na kuwa gays na wameendelea kua malijali mpaka sasa japo hilo swala la kulawitiwa lime waaffect psychologically (sio kua gays), hivyo hata mtu akibakwa hawezi kubadilika na kua shoga, akibadilika ujie alikua gay kitambo.


Lakini pia nataka mfahamu jambo moja, kua hili tatizo ni kubwa sana katika jamii yetu (nimetumia neno tatizo sababu linahesabika kama tatizo kwenye jamii), ni kubwa kuliko mnavodhani, watu wanawaangalia hao gays kama kina James delicious wanaojionesha na akiona watoto wake wako sawa anatukana hao wengine, hapana hujajua tatizo lilivyo bado. Sitaki kuongelea sana hao wanaojionesha sababu pia sijawahi kujiassociate nao wala sijawahi kua na rafiki anaejionyesha hivyo sijui sana. Ila fahanu haya kwa leo:-

Taelea hii mifano inayonihusu ili mjue kua hata ndoa haziko salama sana kama watu wanavoamini kwamba mtu akioa hawezi kua gay.

(1) Wanawake mlioko kwenye ndoa ombeeni ndoa zenu sana. Siwezi sema ni kwa % ngapi ila wanaume wengi ni bisexual, au bisexual curious, mimi binafsi nimewahi kua kwenye relationship na mume wa mtu sio mala moja. Ngoja niongelee hii sababu nimekua napatana sana na mtu ambae ni mume wa mtu mala nyingi, moja ambayo ilikua very serious relationship pia alikua mume wa mtu, from very happy family, alikua sometimes wanakuja wote na mke wake office ninapofanya kazi , hii ilikua inanikasirisha sana , hadi leo najiona mwenye makosa sana sababu mke wa jamaa alikua ananipenda sana na kuniheshimu bila kujua tunashare. Ila jamaa hakutaka kuniacha, alinipenda sana ila ilikua kwa siri sana sababu ni mheshimiwa pia, hivyo hata dating zetu ilikua tunasafiri kwenda mkoa mwingine ama hata kenya au nchi nyingine kwa ajili ya privacy. (alikua mtu wa kusafiri sana hivyo tulisafiri pamoja), hata sasa hivi bado yuko na mkewe na watoto family iko poa ila mkewe HAJAWAHI KUJUA HILI HADI LEO.


Nikawa kwenye uhusiano na mtu mwingine , huyu tulianza relationship kitambo pia, alikua hajaoa, funny thing ni hadi akanitambulisha kwa demu wake kama rafiki, girlfriend akaamini , hivyo hata akinikuta natumia gari la jamaa anajua ni shemeji, akikuta nimelala ndani ya nyumba anajua ni shemeji tu hadi harusi nilishiriki pale mlimani city sababu jamaa alitaka lazima niwepo, na kabla ya harusi yani siku moja kabla, alikuja kwangu tukasex kama kuniaga na kesho yake akafunga ndoa, hata alipooa japo tulikubaliana kuachana ila hatukuachana, hadi sasa ni happy family ila mke wake HAJAWAHI KUJUA.

Story ni nyingi ila wacha niishie hizo sababu zingine zitareveal kirahisi ID yangu maybe na za hao watu na nisingependa iwe hivyo, ila walioko kwenye ndoa wengi ni bisexual hasa hizi modern marriages. Watu sasa hivi wanaoa sababu tu jamii inataka waoe thats why hali ni mbaya, hata mimi mother akinipush sana nioe nitaoa , na cycle itaendelea like that, wapo vijana na watu wazima wengi ni gays ila huezi jua hata siku moja, kuna mtu tulikutana tu kwenye dating site moja ya huko nnje sababu hutumia zaidi dating site za kulipia kwa ajili ya privacy, siku tunakutana kwa mala ya kwanza sikuamini kama ni yeye, ni mtu maarufu sana na anaeheshimika sana ( ni kijana ) huko siasani. Pia mwingine huko kwenye music industry na nyimbo zake zinapendwa sana , ni za maadili.

Nataka kusema kua tatizo lipo more than you can imagine na sio rahisi kumjua mtu, hivyo kuliko kunyooshea vidole tu bila solution , ni vyema kuangalia ni kwa namna gani mtu anaweza kuzuia yasitokee kwake na kwa nwingine.

(2) Kuna watu hutongozwa na hawa gays kwenye mitandao, wala usijione unamkosi au labda umefanana na gays, hapana wewe ni straight. Kuna watu hulalamika kua ametongozwa na gay facebook au kwenye social medias, ukimuangalia huyo mtu utagundua kua ni very handsome na attractive , na gays wengi hudate na watu attractive zaidi , huwa hawafuati watu ambao wana sura personal, ndio sababu msione hao wanaotongozwa na gays huko labda wananyota mbaya au nao wanaonekana gays , hapana ila ni sababu wako attractive, tena gays wanapenda watu ambao sio gays, yani hata mimi watu niliodate nao naweza sema ni straight. Hivyo kama wewe ni handsome expect tu siku moja inaweza kukutokea na isikufanye uwaze sana na ujishushe thamani, mwambie tu im not gay then block that person. Hivyo wenye vijana ambao ni handsome wako attractive, msihisi kua labda vijana wenu ni gays hapana, ila tu nuombe Mungu awaepushe kufuatwa na gay, sababu ninachoweza kusema gays ni watu ambao wako na ushawishi mkubwa sana, unawesa hata kusex nae na mkimaliza ndio ukajiuliza imekuaje hadi ukafanya vile na unakua umechelewa tayari.

(3) Wanaume wengi ni curious, yani wameumbwa kutaka kujaribu vitu, hivyo imekua rahisi sana kushawishika, hata hawa ambao wako humu wanaongea kwa hasira na kufoka kuhusu gays tena hao ndio rahisi sana kuwashawishi, hasa wanaokunywa pombe, nina mshikaji wangu mmoja ambae ni gay, humuogopa sana sababu ana huo ujasiri wakutongoza atraight na wanaingia box, alishawahi kumtongoza straight guy akiwa na demu wake, jamaa alishindwa amfanye nini , girlfriend wake akacheka sanaaa wakaondoka. Ila hakukata tamaa na alimpata jamaa one day baada ya miezi mingi, hadi leo najiuliza sana.

La mwisho ni hili, watu mnapinga sana haya mambo ya NGO's za kusaidiwa hawa gays, ila hilo jambo lina faida sana hamjui tu, sio kwao tu kwa kila mmoja wenu, hata wewe straight ambae hauna mtoto gay, sababu hili jambo ni mzunguko. Gays ni watu ambao wako kwenye risk kubwa ya kupata maambukizi mbalimbali hasa HIV, Especially kwa wale ambao hawana elimu ya kutosha , Hizo NGO's zinasaidia kuwapa elimu na kuwapa dawa mbalimbali za kuzuia wasipatwe na magonjwa au kuambukizwa magonjwa , inawapa huduma muhimu hata kama wanaumwa ili kuzuia wasiambukize wengine, na hii ni muhimu sana, sababu hili la magonjwa linakuja kukuathili hadi wewe straight huko ambae hata huhusiki,.mzunguko uko hivi👇

gay na gay wanasex, mmoja anamshawishi wasitumie condom, bila kujua anamuambikiza mwenzake let say HIV, huyo mmoja anaenda tena kusex na mwingine, anamuambukiza pia, huyo mwingine ni straight ila curious , anenda kusex na gay anaambukizwa, nae anaenda kumuambukiza girlfriend wake, ambae huyo girlfriend ana mchepuko pia ambae ni mume wa mtu, nae anaambukizwa , nae anaenda kumuambukiza mke wake nyumbani, hatimae unafikiwa.
Au huyo gay alieambukizwa, anamshawishi kijana wako (vijana wengi straight wanashawishika kirahisi sababu ya kutaka kujaribu kuona inakuaje), kijana wako anasex nae anaambukizwa, nae anamuambikiza girlfriend wake na cycle inaendelea, ni hatari kwa taifa.

Serikali ruhusuni hizo NGO's kuokoa taifa, nawaambia ukweli gays wako wengi sana , na wale ambao ni uneducated au wanaojiuza wengi wanamagonjwa na hawapati msaada hata huko hospitali za kawaida, huko Kenya wameruhusu NGO's na zinasaidia sana , wako mpaka na special hospitals , psychologists ambao wanawasaidia pia kuishi normal na wale ambao wameshawishiwa kujaribu kuwafanya waache. NGO's haziko kwa ajili ya kuwamotivate , hapana, ziko kwa ajili ya kuzuia usambaaji wa magonjwa.

Naomba niishie hapa , kama kuna swali lolote uliza kwenye comment nitakujibu, tupo kujifunza na kusaidia kupunguza hili jambo, hivyo tafadhari tusitumie kugha za kuuudhi sana na nimejaribu kuelezea kidogo ili mpate kujua naongelea nini. Karibuni.
Pole saana kwa unayoyapitia.

Binafsi hii changamoto nilianza kuifajamu wakati nafanya project moja ambayo inawahusiha saana jamii hii ya watu.

Kiukweli ilinichanganya saana maana lacha ya wale waliojiweka wazi kumbe kuna usiowategemea nao ni walewale.

Imenifanya niwafuatilie zaidi ilinijue kipi kiliwasukuma lakini wengi wao walisema ni power within that they couldn't control it... Ni watu ukiongea nao unaona majuto walio nayo na wengi walishajaribu kuacha Mara kadhaa wakashindwa, walifanya maombi na maombezi wakashindwa.

Nilifanya maombi nikamsihi Mungu kwanza aniepushe binafsi maana wengine wanaushawishi wa ajabu (ushetani) pili nilimuomba Mungu aipeshe familia yangu na hii fedhea.

Baada ya miaka kadhaa nikaja gundua mdogo angu (ndugu) ni shoga chakusikitisha ni very handsome mwenye kila uwezo wa kushawishi mademu...kumbe hisia na ke hana maana yeye ni bottom (m.s.e.nge).

Nilimtrick as if am top (basha) ili nidhibitishe na alikubali na mwisho akafunguka kua alianza primary school hio Tabia. Nilimshauri kwa mashauri yoote ya dini na kimila nashukuru alinielewa.

Akajaribu kuanzisha mahusiano na dem hata siku ya kwenda kumgonga aliogopa ilibidi nimtie moyo kwakumuambia ulizaliwa mwanaume na utakufa mwanaume tuu.... go and do your responsibility, nashkuru alifanikiwa mpaka akaoa na sasa mkewe ni mjamzito.

After three year ya kuwasiliana kwa simu maana tulitengana mikoa juz kati akanitafuta very urgent akisissitiza Mimi ndo wa kumsaidia nilipokutana nae Amalia kwamba ile hali inamtesa mno maana anapata hamu ya kuingiliwa na yeye hayupo tayari kurudia ushoga ila anashindwa kuzuia akili yake na mwili wake...ameenda hospital ameambiwa hamna dawa zaidi ya kufanya (ushoga) kwa makini kulinda afya yake.
Sasa na yeye ameona bora ivo na isingekua anaogopa na kuheshimu wazazi wake ni bora angeolewa na me mwenzake kuliko mateso anayopitia.

Kusema ukweli jamii ya mashoga Tanzania inapitia wakati mgumu mno, na ushoga haujawahi kumpa MTU amani duniani most of gays wanaishi na hatia pamoja na majuto.

Siwezi tukana gays maana now ninawatoto me na ke sijui kesho yao. Nilichojifunza hakuna gay atakae kutana na Mungu kisha Mungu akamuuliza if I give you a second chance would you be a gay again I believe hakuna tena with big NO hakuna.

Bro pole saana mi nnaimani unanafasi ya kuepukana na hii changamoto believe me si maamuzi ya Mara moja but ukidhamiria kuutesa mwili wako yuo can!
 
Yaani dah, unaishi duniani Kwa ajili ya nn. Kama huwezi acha si Bora ufe tu,mwanaume mwezangu anikojolee? Ningekufa siku hiyo hiyo.
Yani mkuu na mie nawaza sana, eti unainama kabisa unaingiziwa paipu polepole then unaanza kupigwa miti, yan inaingia then inatoka kwny mk*ndu afu unafurahia kabsa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Astaghafirullah.
 
Mungu hapendi ushoga, sasa kwako aumbe watu wa namna hiyo?
Kwani shetani aliumbwa na nani??
Hawa watu wanateseka kinoma...alafu wapo wengi balaa nakupa five years to come kama hautakugundua within your family kuna shoga achilia mbali wewe binafsi kushiriki vitendo hivyo.

Nakuhakikishia mpango wa dunia wabongo wamekataa kuujua ila mashoga ndo ajenda ya kuendesha dunia sasa na hautozuilika kwa maandamano zaidi ya imani tena imani sio dini ndugu yangu
 
Vitu vingine bora tu usijue jmn nimesoma lkn naogopa. Maana aliyeandika anaonekana ni mtu wa kawaida tu mpk mwenyewe ajielezee.Pia napenda kuuliza kuwa ulilelewa na baba na mama au ni mama pekee?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa makatani mwenyewe analiwa na kula, ko walikua wanapeana zamu zamu. Hahahah

Ila aslay tapeli had kwa mashoga anawafanyia u marioo na kibenten. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naamini hakuna msanii wa bongo anaependa machoko kama Ali Kiba.
 
[emoji419][emoji53]
IMG_20220414_114155.jpg
 
Kiukwel mie ni muhanga wa kusumbuliwa sana na hawa mashoga, ni wengi mnoo....
Ila kuna mmoja ana kampuni ya Tours (anapeleka wabongo nchi za nje) kwa kumuangalia ni mwanaume kabisa na tulianza mazoea kidogo kidogo mwishowe yakazidi.

Kuna wakati alisafiri kwenda USA na tulikuwa tunawasiliana mara kwa mara na wakat anarudi alininunulia simu Samsung S10+ wakati ndio zinatamba. Sasa wakati wa kuchati ikawa makopa kopa kwa sana ikabidi nimuulize babu vipi mbona sikuelewi pigo zako mwanangu. Ndio akaniambia ukweli kuwa ananipenda sana na yupo tayar kunifanyia chochote.....

Kiukwel nilichoka sana, sasa ndio akawa analazimisha nionane nae ila nikawa namgomea, kuna siku akawa anaandaa tour ya Dubai akaanza kunishawishi kuwa nimkubalie atanilipia kila kitu ili nikamgongee huko Dubai ila nikamkatalia, na ushahidi wa screenshot ninao ila nahofia kuweka humu maana nahisi jamaa na yeye atakuwepo JF.
Hebu huko na weweeee,
Kwa msimamo gani ulonao upewe ofa ya kwenda Dubai ukatae, [emoji57]

Sema unatamani atokee wa hivyo ila wanaokufata ndio hao vichenchede wakina James Utamu,

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani shetani aliumbwa na nani??
Hawa watu wanateseka kinoma...alafu wapo wengi balaa nakupa five years to come kama hautakugundua within your family kuna shoga achilia mbali wewe binafsi kushiriki vitendo hivyo.

Nakuhakikishia mpango wa dunia wabongo wamekataa kuujua ila mashoga ndo ajenda ya kuendesha dunia sasa na hautozuilika kwa maandamano zaidi ya imani tena imani sio dini ndugu yangu
Bro, hiyo 5 years jipe wewe mwenyewe kwenye familia yako.

Allah aninusuru mimi na kizazi changu juu ya hii laana.
 
Dume zima unarutubishwa na mwanaume mwenzio!

Mbona vijijini huko hakuna mashoga,nyie huku mjini ushoga mnaupatia wapi?

Malezi ya kinyanyanyanya ndiyo sababu
 
Hebu huko na weweeee,
Kwa msimamo gani ulonao upewe ofa ya kwenda Dubai ukatae, [emoji57]

Sema unatamani atokee wa hivyo ila wanaokufata ndio hao vichenchede wakina James Utamu,

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda nikuambie tu kiufupi Dubai wewe ndio utapaona pa ajabu ila mie nmeenda mara tatu na nina ndugu wa damu kabisa huko, na sio kufikia hotelini.

Nimeishi mwaka mmoja Abu Dhabi.
 
Watu wanamjua sana, wameamua kumsitiri na kumstahi, couz yeye ana maintain na kulinda heshima na status yake. Ila wanajua vizuri uhalisia wake.
Kabisa yani,jamaa anachokifanya anahisi watu hawamjui,anasahau sometimes watu wanaweza kuwa wanajua uchafu wake ila wanashindwa tu kumchana kwasababu hawajui hawa waanzie wapi,hiyo michezo anaifanya jamaa ila aibu wanaona wao kutokana na uzito wa suala lake na jinsi jamii inavyomchukulia,ni vigumu hata kumweleza.
Akitaka ajue kwamba watu wanajua uchafu wake ajaribu kumdodosa mtu yeyote wa karibu yake,utasikia "Tulikua tunajiuliza tuanzie wapi kukuambia boss", "Hivi ni kweli boss unaliwa?",n.k

Kwa kifupi anachokifanya jamaa ni sawa na kujificha katika shamba la karanga,anahisi haonekani.
 
Mleta mada hii amejiunga jamii forum juzi tu j nne tarehe 11 April na kapandisha Uzi na sasa kaingia mitini

Nyinyi hamshtuki kbsa kuwa Kuna mtu humu ndani kaja na I'd mpya kutu enjoi tu alfu Ni mtu ambaye Ana uzoefu na jamii forum had kujibu comment zake anatumia maneno ambayo hutumiwa Happ Mara kwa Mara

Shtukeni huyu mtu Ni mzoefu na pengine Yuko app app Tena Kama kurudisha comment na kuuliza maswali ya kufikirisha
 
Labda nikuambie tu kiufupi Dubai wewe ndio utapaona pa ajabu ila mie nmeenda mara tatu na nina ndugu wa damu kabisa huko, na sio kufikia hotelini.

Nimeishi mwaka mmoja Abu Dhabi.
Povuuuuu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mleta mada hii amejiunga jamii forum juzi tu j nne tarehe 11 April na kapandisha Uzi na sasa kaingia mitini

Nyinyi hamshtuki kbsa kuwa Kuna mtu humu ndani kaja na I'd mpya kutu enjoi tu alfu Ni mtu ambaye Ana uzoefu na jamii forum had kujibu comment zake anatumia maneno ambayo hutumiwa Happ Mara kwa Mara

Shtukeni huyu mtu Ni mzoefu na pengine Yuko app app Tena Kama kurudisha comment na kuuliza maswali ya kufikirisha
Maskini!
Kwa hiyo wewe ndio unatushtua sie,
Wakati mwenyewe amesema wazi kabisa kwenye aya ya kwanza kua ametumia Id nyingine sababu ya siku zote kuna watu wanamfahamu personaly,

[emoji848][emoji849]
 
Back
Top Bottom