Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Kwan ushoga na kujiheshimu vinahusiana nn? Au wew uliambiwa mashoga hawajiheshimu? Aaaah maswali mengine mnakera mnoo.
Khaaaah

No namaanisha yy huwa anasemaga ni muislamu saf na waislamu wana amini ukifanya huo mchezo humuoni mtume sasa how come yeye anafanya? That why nimeuliza
 
Na ungejaribu tungekupoteza
 
Mfano kuhusu mimi, nimetokea familia yenye uchumi mzuri, nimesoma, ninakazi yangu nzuri yenye mshahara mkubwa, nina kila kitu cha muhimu a
Sijui utaiona uijibu hili swali; Linahusu familia, je ulilelewa na wazazi wote wawili?. Na kwa maneno machache unaweza kuielezea attitude ya baba ako kwa mama ako.

Na je kwako binafsi vipi, ulimpenda baba? ulimchukia? hukumuelewa? alikupenda? alikuchukia? Nafasi yake katika fa......... daah maswali yanakuwa mengi jibu tu utakayojiskia
 
No namaanisha yy huwa anasemaga ni muislamu saf na waislamu wana amini ukifanya huo mchezo humuoni mtume sasa how come yeye anafanya? That why nimeuliza
Daaaah wee jua tyuuh hivyo, mengine sasa ni juu yako kuchanganua, waislamu safi, hivi wanaoongoza kwa gays n nan km sio hao Islamic?

Hebu ustake tubadilishe mada, wwe jua kua kiba n ex basha wa Noel. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila viporo wanapasha.
 
Nmesoma komenti za wengi inaonekana! Hi kitu ushoga hawakielewi hata hawataki kusikia kwa mashoga wenyewe wanaeleza kwa kuhisi kwao ama kwa kulingana na vitabu vya dini zao.
Mm naona jamaa kajieleza vzuri shida Ni sisi kutomuelewa .
Kuna siku mm nilizoea kunyoa saluni fulani kubwa pale tabata lakini yule kinyozi alianza tabia za ajabu ajabu Mara ananishika shika km anataka kunitomasa nkawa namkwepa kiaina akarudia Tena Mara nyingine na nyingine nkaamua kumchana kwamba tabia yake sio poa.
Bhasi akanieleza ukweli kuwa ananitaman na anataka nikambandue daaah! Nilisikitika Sana kwani kwa umri nilionayo sikuwahi kushuhudia watu wa aina hiyo .
Ukimuona huwezi dhani ama kuhisi Kama jamaa Ni shoga kwani ana mademu anawabandua lakin pia naye anabanduliwa Ila naye hajui ilianza lini anasema alijikuta ameshakuwa hivyo.
Mwingine nilimuona kwenye kampuni moja ya ujenzi Tena kubwa ila huyo jamaa Ni muhindi huyu aliniwekea mpunga mezani Kama dola 500 nimbandue Tena nilikuwa Bado life halijakaa sawa lkn hisia zilikataa kata kata ila huyo nilisikia yeye abandui kbs up umbea nilisikia kwa mademu waliokuwa wanafanya usafi ofsin kwake.

Mm mystic ata ufanya aje siwezi mkaza shoga ila kusoma au kuwaoona hakuwezi nibadilisha pia na Sasa natafuta namna Bora na ya mwisho ya kuangamiza hisia zoote za ngono baada ya kuona mbinu za kuamni Jesus kugoma kabisa yaani ile "totally blissful" huwezi pata kwa mbinu zake.
Nakiri awa watu wapo na wanaisia kwahiyo Cha msingi ni kuwaelewa tuu.
 
Atakapoambiwa hadi mashuka alolalia yalikua na rangi gani. Ila haya mambo timuombe sana Mungu akiepushe kizazi chetu jamani. Hivi mtu anazaliwaje na hiyo tamaa ya kumtamani mwanaume mwenzie. Mi nadhani kinachochangia hapo kwa asilimia kubwa ni mazingira. Kibaya zaidi ni kama vile mtoa mada hataki kuacha ila anatushauri tuwasaidie wengine wasiwe kama yeye.
 
Uzi unakimbia huu lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Afu ukute mtoa mada, nae yupo na ID yake kongwe anatuma povu kwa comments hapa

JF never boring. Woiiiiiiih
 
This is not true, kwamba Ushoga ni suala la kibaolojia, Ushoga ni chaguo, yaani ni sawa na kusema Wanawake wanaosuguana visimi ni suala la kuzaliwa
Huyo ni mpuuzi mwenzao anataka kuleta vijifact vya jalalani hapa kuhalalisha upunga.
 
Ww humjui Ali kiba, yule sasa ndio mfano halisi wa chui aliejivika ngozi ya kondoo.

Sasa haya mambo yalipofikia ni kufumba tu macho na kusikia husimuamini mtu katika wat nilio kuwa na waamini alikiba no one dah sasa mpk aslay [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] tunapoelekewa wanaume tutakua adimu af unakuta washikaji kabisa wana gombea shoga [emoji30][emoji30]
 
Nimesoma sehem kubwa ya uzi, nichojifunza ni kuwa ushoga ni mwingi na ata mtaani unakuta bodaboda wanataniana kuingiziana which i always see weird

Anyways, nachojua ni ushabiki unaplay part kubwa katika ushoga
Mfano ukuze watoto mapacha wawili, identical twins(in theory its the same person)
Moja akawa anaangalia porn ya gays mwanzo mwisho, mwingine ni straight porn mwanzo mwisho, lazima moja awe gay, mwingine straight

Ushoga sio kuzaliwa bali ni ukuaji, na kadli wanavyozidi kuwa wengi ndo wanaongezeka zaidi sababu ya kuigana, ni kama zamani wadada zetu walikuwa hawaliwi mitaro ila sikuizi wanatoa kama hawana akili nzuri

Kitu cha muhimu ni mtoto wako aishi maisha mbali na mashoga na pia aishi na vijitoto ambavyo vitaanza kupendapenda na kutaman taman visichana tangia utotoni, maana sie wengi ndo tumeishi hvyo
 
Umesema huna hisia na mwanamke , kwa hiyo huyo girlfriend wako huwa humuingilii au husimamishi , na Kama unasimamisha inakuaje unakua huna hisia na mwanamke ?

Naendelea kuomba mungu anusuru kizazi changu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…