Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako


Kwa ushauri wako wauwawe au?
 

Maoni yako ni nini? Wanyongwe au vipi
 
Maskini!
Kwa hiyo wewe ndio unatushtua sie,
Wakati mwenyewe amesema wazi kabisa kwenye aya ya kwanza kua ametumia Id nyingine sababu ya siku zote kuna watu wanamfahamu personaly,

[emoji848][emoji849]
Kumbe alisema hvyo mm nilisoma tokea ktk tu
 
Maoni yako ni nini? Wanyongwe au vipi
Hili jambo lazima likemewe hadharani na kwa vitendo. Lazima watoto wetu wajue kwamba ukiwa na hizo tabia wewe ni muasi, muovu na haukubaliki na jamii.

Kuua mtu sio suluhisho. Watu wamrudie muumba wao kwa toba na sala.
 
Usicheke hii kadhia haina mwenyewe sasa maana hujui Sikh wala saa

Nisome na kunielewa vizuri si support ila nazungumza uhalisia na namna muathirika anaweza epuka
Ukishaamini kwamba hili ni suala la kibaiolojia then utakuwa tolerant kwa hao watu na hapo utawakaribisha kuwa majirani.

Hapo utashirikiana nao mambo mbalimbali.. sasa utaanzaje kumwambia mwanao kwamba tabia zao ni mbaya wakati mnashirikiana?
 
Hili jambo lazima likemewe hadharani na kwa vitendo. Lazima watoto wetu wajue kwamba ukiwa na hizo tabia wewe ni muasi, muovu na haukubaliki na jamii.

Kuua mtu sio suluhisho. Watu wamrudie muumba wao kwa toba na sala.

Ni kuulize kitu,shoga unawezaje kumtambua?
 
Tafuta kanisa lolote linalohubiri wokovu utamkuta Yesu hapo.. nenda kkkt kimara, au dpc kinondoni, au capstone bahari beach etc..
Yupo kweli au anahisiwa tu? Sio nipoteze nauli yangu afu nikute picha!
 
Nauliza kuna anaemfaham Hassan Aboud Talib almaarufu kama Kiringo?
 
Brother China walikataa kuwa ushoga upo wa kuzaliwa nao. Lakini leo hii wamekubali wameamua kutengengeneza mazingira hicho kitu kisieffect. Mazingira ni kitu muhimu sana. Unaweza kuwa na roho nzuri sana lakini ukazaliwa nchi kama ya Congo au Somalia na hiyo roho nzuri isijionyeshe katika nafsi yako. Hii ni kwa sababu ya survival instinct.
 
Au mwandiko wa kike, lafudhi ya kiume.
Relaaaaax, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Wew muda wote tu unachekacheka humu ndani daah unakera San HV ujiehtukii kuwa. Ni wew unachekacheka app ktk Uzi huu
 
Mnaotetea ni baiolojia siwaelewi mbona hatuioni kwa wanyama?

Limekaa zaidi kiakili /kisaikolojia na kimalezi /kimazingira na huu ni moja tu ya vitu vingi vya kuonesha kwamba wanadamu wanachagua maisha wanayotaka wao kwa kiasi kikubwa. Na chaguzi zao zinaathiriwa na mambo wanayoyachukulia kwamba ni ya kweli alimradi tu wameyaamini/wameaminishwa. All hope is not lost lakini kwa kuwa wana akili wanao uwezo wa kuyakataa ya uongo na kuyashika ya ukweli
 
Ni kuulize kitu,shoga unawezaje kumtambua?
Shoga ambaye hatambuliki wala hajitangazi madhara yake wala sio makubwa kwa watoto huko mitaani.

Hawa wanaokuja public na kutaka wakubalike ndio chanzo cha ukuaji wa tatizo. Mtu akifanya uovu wake kimyakimya hakuna mtu atakayemfuatilia.

Hawa wakiachwa hivi kuna siku utashangaa wanataka sheria zibadilishwe.

Sasa kwenye swali lako, ni vigumu kumtambua unless kwa wale ambao wanajibadilisha muonekano au wanajivisha na kuenenda kama wanawake. Hawa ndio hatari zaidi kwa jamii.
 

Basi wewe ni mnafiki
 
Acha kujiendekeza na kuleta sababu za kuhalalisha ushoga wako,, kaza hizo sababu na hovyo kabsa unatakiwa ukaze uache huo ujinga
 
Wazazi wawe makini na shule za boarding ni za kuziogopa sana huku ndipo chimbuko la tabia izi mtoto anarudi likizo mwezi tu baada hapo shule kinachoendelea ujui lesbians na gays huko ndipo wanapojifunzia nishawahi ona

Mkuu....unaweza kuja PM???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…